Hakuna ishu ya uzalendo. Ngosha anatia aibu. Na kama alitaka wananchi wake waelewe kinachozungumzwa, naombeni mnijuze kma kila alipoongea rais wa Zambia kuna mtu alitafsiri kwa Kiswahili.Eti Kisingizio cha Uzalendo wakati lugha haipandi
Hili nalo nenoHakuna ishu ya uzalendo. Ngosha anatia aibu. Na kama alitaka wananchi wake waelewe kinachozungumzwa, naombeni mnijuze kma kila alipoongea rais wa Zambia kuna mtu alitafsiri kwa Kiswahili.
Ras Simba ndo nani ? weka picha basiNimemsikia Rasi simba akitafusili
ni yule aliyekuwa anazungumza baada ya mkulu kuzungumzaRas Simba ndo nani ? weka picha basi
Inasikika sauti tu , sioni sura ya anaetafasirini yule aliyekuwa anazungumza baada ya mkulu kuzungumza
jamani mbona wachina hawajui kiingereza? au kwa kuwa ni Phd holder?
Sio kujua kimombo kwa nini mtumie lugha ya wakoloni na lugha yenu ipo?? " "Emancipate yourselves from mental slavery" ..kwa nini wachina, japan, France na wengineo wanaongea lugha zao sisi ngozi ndo tuna shida kuigaiga tu lugha za wenzetu.. tubadilike! Ngosha onyesha njia baba.Eti Kisingizio cha Uzalendo wakati lugha haipandi
Acha kutetea wasiojua ngosha lugha hajui ndio maana anajifichia kwenye lugha ya kiswahili, Jiulize mbona mama yetu wa zenji huwa anatema yai vzr tuSio kujua kimombo kwa nini mtumie lugha ya wakoloni na lugha yenu ipo?? " "Emancipate yourselves from mental slavery" ..kwa nini wachina, japan, France na wengineo wanaongea lugha zao sisi ngozi ndo tuna shida kuigaiga tu lugha za wenzetu.. tubadilike! Ngosha onyesha njia baba.
Ukosoaji huu wa mwendokasi wa Mkulu,ndio unaowafanya Lizaboni na wenzae wakosekane humu!punguzeni wakuu,dah!Hakuna ishu ya uzalendo. Ngosha anatia aibu. Na kama alitaka wananchi wake waelewe kinachozungumzwa, naombeni mnijuze kma kila alipoongea rais wa Zambia kuna mtu alitafsiri kwa Kiswahili.