Kutoka IKULU: Ziara ya Rais wa Zambia Mhe. Edgar Lungu nchini Tanzania


kibwenzi

kibwenzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
2,498
Likes
1,327
Points
280
kibwenzi

kibwenzi

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
2,498 1,327 280
Marais wa Zambia na Tanzania wazungumza kutoka Ikulu ya Tanzania. Rais wa Zambia mhe. Lungu yupo nchini Tanzania kwa ziara ya siku tatu.

=======
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Rais wa Zambia Edgar Lungu watiliana saini makubaliano ya kuboresha reli ya TAZARA inayoyaunganisha mataifa hayo na makubaliano kuhusu bomba la mafuta la TAZAMA.

Rais Magufuli:
"Tumekubaliana na Zambia kupunguza idadi vituo vya kukagua magari ya mizigo na kubakia vinne".

 
kunze

kunze

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Messages
297
Likes
307
Points
80
Age
40
kunze

kunze

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2016
297 307 80
Wanazungumzia nini,tafadhali vunja ukimya,kapicha ndugu
 
mputamaseko

mputamaseko

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
1,406
Likes
908
Points
280
mputamaseko

mputamaseko

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
1,406 908 280
wananchi wanasikiliza
 
Ghazwat

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Messages
18,473
Likes
54,060
Points
280
Ghazwat

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2015
18,473 54,060 280
Sasa maswali kuhusu Tazara yatakuwa yameeleweka
 
kibwenzi

kibwenzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
2,498
Likes
1,327
Points
280
kibwenzi

kibwenzi

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
2,498 1,327 280
Sasa ni muda Wa kupga picha kwa marais na viongoz Wa serikali
 
number41

number41

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
1,411
Likes
801
Points
280
number41

number41

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
1,411 801 280
Huyo ameombwa kujenga nn kiwanda cha khanga au kanisa dodoma
 
Kurzweil

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Messages
5,943
Likes
6,697
Points
280
Kurzweil

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined May 25, 2011
5,943 6,697 280
Tunasubiri utekelezaji...
 

Forum statistics

Threads 1,274,859
Members 490,833
Posts 30,526,117