Kutoka IKULU: Ziara ya Rais wa Zambia Mhe. Edgar Lungu nchini Tanzania

Kama kiingereza tatizo au confidence hana! Kwanini isiandaliwe hotuba nzima ya kiingereza ili asome tu yaishe. Je na yeye akenda ziara Zambia waongee kiluga chao? How would he feel? Kwa kweli anachemsha! Hata kama kiingereza anakijua pamoja na PhD yake, kuto kukiongea inatia shaka kwamba uwezo na hiyo lugha hana. itakuwa vichekesho kwenye maneno km assess n acces.....
 
Acha kutetea wasiojua ngosha lugha hajui ndio maana anajifichia kwenye lugha ya kiswahili, Jiulize mbona mama yetu wa zenji huwa anatema yai vzr tu
Hivi kwanini nyie ngozi nyeusi huwa hamko proud na vitu vyenu?? Katika races zote weusi ndio huwa hawajitambui why????? Ni shauri ya utumwa??? Maana hata matajiri wa kiarabu tu huwa wakienda nchi zingine wanaongea ki lugha chao kwa nini ni nyie ngozi tu ndio wenye shida kushadadia wazungu ???
 
Hivi kwanini nyie ngozi nyeusi huwa hamko proud na vitu vyenu?? Katika races zote weusi ndio huwa hawajitambui why????? Ni shauri ya utumwa??? Maana hata matajiri wa kiarabu tu huwa wakienda nchi zingine wanaongea ki lugha chao kwa nini ni nyie ngozi tu ndio wenye shida kushadadia wazungu ???
Jibu swali mbona mama yetu wa zenji huwa anatema yai,?
 
Sio kujua kimombo kwa nini mtumie lugha ya wakoloni na lugha yenu ipo?? " "Emancipate yourselves from mental slavery" ..kwa nini wachina, japan, France na wengineo wanaongea lugha zao sisi ngozi ndo tuna shida kuigaiga tu lugha za wenzetu.. tubadilike! Ngosha onyesha njia baba.

Mkoloni ni nani? Ni afadhali sana hao Wazungu walituletea misingi mikubwa ya maendeleo wakati wakiwa viongozi wetu kuliko ukoloni wa ndani.

Huwezi kukataa lugha eti ya wageni wakati hata familia yako unawafanya waishi kama ngedere poril.
Kwenda huko na kasumba za kudanganyana. Leo hii ukiitisha kura ya maoni Watanzania wachague nani awaongoze kati ya Mzungu na viranja wetu, utashangaa 90 wanapiga kura ya mzungu kwa sababu Mzungu alionyesha njia sahihi ya ubinadamu.

Sana sana nakuona kama kizungu hakipandi kwa kuwa ulikimbia umande sasa uantaka kuhalalisha failures zako kwa kuwachukia wazungu. wamekukosea ninin?

Wazungu ni wazuri sana. Angali aleo hii wako kwao lakini bado wanaweka misingi angalau ya binadamu duniani watawaliwe kiutu. Unataka kusema nini ?
 
Mtambeza sana lakini ndiyo raisi wa watanzania wanaojuwa kiingereza na wasiojuwa...Anawaajiri wanaojuwa kimombo na yupo juu yao.
 
Back
Top Bottom