Kutoka Dodoma!

Imani huponya au kuua, hivyo inategemea Dr HM anaamini kuwa ameugua kwa uchawi au ugonjwa wa kawaida kwa kiasi gani. Imani aliyonayo ina nafasi kubwa sana katika kumponya kwake mapema.

Kama anaamini ni ugonjwa wa kawaida na ameshakwenda hospitali huko wamshughulikia inavyopaswa na atapona.

Vile vile kama anaamini ni uchawi inabidi atafute mganga wa kienyeji ili aweze kumshughulikia ipasavyo, vinginevyo psychologically ataamini kuwa kalongwa na hajaenda kwa mtatibu anayepaswa na hivyo kuzidi kudororesha afya yake. Ni mtizamo wangu tu.
 

..watu wote wanaopenda madaraka hufanya hivyo,regardless ya chama chao!
 

Bunge waweke tume ya waliobobea kuchunguza hili swala kwa kina na upelelezi mkali ufanywe ni wangapi wamekufa kutoka kwa mikono ya hawa watu hadi kujipenyeza kwenye system na kufika juu kabisa kwenye uongozi wa serikali! Time is now.

Haiwezekani kwamba wameanza kufanya hivi wakati huu, Mwizi haibi mara moja, uchunguzi ufanywe kila mahali ambako walipitia. Hawaibi tu kwa furaha lazima serikali iweke mfano kwa hawa watu ili iwe fundisho kwa wengine watakaojaribu.
 
If it were me,

I would have intoxicated of poisoned these folks I hate at day light, with everyone watching and no one would have known it was me.

I can not fathom (comprehend) that an Intelligent person (academic and through Security Service training) such as Chenge would dare to do such a thing, knowingly that there are security cameras.

He must have been high, intoxicated, drunk or a Zombie to go back to the new and modern Bunge building with all sorts of high tech and perfom what he did.

It does not sink in my mind that he was that naive, stupid and ignorant to think or assume that a secured place like that will lack security at the minute that Mzee Mnyintuzu alikwenda tambika!
 
Kishoka,
You forgot one thing. Desperation na chuki binafsi.
 
Posted Date::6/14/2008

Tuhuma za ushirikina Bungeni zafikishwa polisi
Na Midraji Ibrahim, Dodoma

1. SPIKA wa Bunge, Samuel Sitta amesema suala la mbunge na afisa mmoja wa bunge kuzunguka na kunyunyiza vitu vinavyohisiwa vya kushirikiana kwenye kiti viti vya wabunge limekabidhiwa kwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma (RPC) na Idara ya Usalama wa Taifa.


2. Akizungumza baada ya kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC-CCM) jana, Sitta alisema Kaimu Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashililah amekabidhi suala hilo kwa RPC na usalama wa taifa kwa ajili ya upelelezi.

3. ''Tukio lipo na kamera sita zilikuwa zimezimwa, lakini moja ililinasa ingawa picha imefifia, sasa tumekabidhi kwa RPC na usalama wa taifa watachezesha kuanzia mwanzo wa tukio mpaka mwisho baadaye tutapata taarifa,'' alisema.

4. Sitta alisema, sio vizuri hivi sasa kuzungumzia kwa undani tukio hilo kwa sababu, linahitaji upelelezi na kwamba, picha hiyo inaonyesha watu wawili wakipita kwenye viti vya wabunge.

5. Aliongeza tukio hilo limeshtua bunge kama taasisi
 

Kosa ni kurudia kosa, kuna funzo kali toka kwenye kizaa zaa cha Balali. Wananchi tuko nyuma ya shujaa wetu Mwakyembe. Naamini Mungu atamjalia neema na kupata nguvu na ujasiri mara 10 zaidi ya alivyokuwa. Uhuru hauji kirahisi, kuna mapambano lazima yawepo. Hakuna aliye kipofu kutambua kuwa tuko katika mapambano makali. Saa ya USHINDI haiko MBALI.
 
Wakuu heshima mbele, kikao cha NEC ndio kwanza kimeisha, sasa hivi wajumbe karibu wote wako kwenye tafrija ya Birthday ya Mwenyekiti wa CCM Kilimanjaro, inayoendelea sasa hivi Dodoma Hotel,

Lakini kama tulivyoahidi ni kuwa tunaendelea ku-monitor kwa karibu kabisa kinachoendelea sasa hivi Dodoma, na pindi zitakapopatikana tutaendelea kuhabarishana, na mimi sasa nipate nafasi ya kuisoma hii thread nzima.

Ahsanteni Wakuu! JF mbele always one step ahead na kumkoma nyani yaani mchana kweupee!
 
1. Cut One Go......!

Quote:- hollo

kuna uhakika gani kuwa ni uchawi?hizi ni blah blah


2. Cut two Go..........!


Mkuu "Hollo",

It is about time sasa unahitaji kusubiri kwanza kabla hujakurupuka, maana this is very humiliating, kama sio aibu kwa mtu mzima, maana hapa sasa watu wote wenye akili timamu wanajua kuwa wewe ni nani kama nilivyosema mwanzoni kuwa unageuza hii JF kuwa ni kama mahali pa watoto wadogo, wakati sisi wote ni watu wazima, sasa ona mkuu aliyesema mambo ya ushirkina ni Spika wa Bunge letu la taifa, sasa kama wewe ni mstaarabu kama unavyotaka hii forum ikuamini basi ukishikwa pabaya kama hapa ukubali hadharani kuwa umekurupuka, badala ya kuwa kimyaaa!

utabadili majina mpaka utachoka lakini nilikuambia mkuu kuwa sisi huwa tunasafishwa na ukweli tu, na tutadumu sana hapa JF na mahali popote tulipo kwa sababu siku zote huwa tunaongozwa na ukweli, na sio chuki za binafsi, majungu wala uzandiki, ninarudia tena kuwa ni wenye ukweli, facts na hoja nzito ndio watadumu sana hapa JF!

Ahsante Mkuu!
 
5. Aliongeza tukio hilo limeshtua bunge kama taasisi

And they wanted it remain as a secret. Kuna mambo anapoamua kuyafanya mwanadamu unajiuliza uwezo wake kiakili na uwezo wake katika kufanya mambo ya aina ile...

Nilipopata taarifa hizo (dakika chache baada ya tukio) nilipata mshtuko na pamoja na kuwa nilikuwa naendesha gari ilinibidi niweke gari kando na kujiuliza 'what's up'?.

Ni ujasiri wa kifisadi!
 
Cut One Go...!

Quote:Originally Posted by hollo

hata thomaso ni hadi alipoona alama za misumari!kuwepo kwa data siyo hoja!data zinaweza zikawepo na zikawa wrong vilevile

But Wait A minute,.... Cut Two Go..!



Mkuu Steve D,

Heshima mbele kwa kujaribu kumsaidia ndugu Mtanzania mwenzetu ili naye aelewe, ingawa bado sio rahisi lakini dawa ni kama ulivyofanya, yaaani kuchapa bakora!
 
Chenge is soo desperate, badala angetumia huu muda kushugulikia ishu yake na BAE anahangaika na kitu ambacho kiko hadharani tayari, atawalozi wangapi??
 

........mmmhh, heshima mbele Mkuu
 
Cut One Go...!



But Wait A minute,.... Cut Two Go..!




Mkuu Steve D,

Heshima mbele kwa kujaribu kumsaidia ndugu Mtanzania mwenzetu ili naye aelewe, ingawa bado sio rahisi lakini dawa ni kama ulivyofanya, yaaani kuchapa bakora!

mhuu makubwa!!
 
Ninapata sasa hivi sms inasema Chenge ndiyo zake na ndiyo maana hata baada ya Mwanyika kukalia kiti chake baada ya yeye amekuwa kama zezeta anasoma haelewi anaambiwa hasikiii na sasa aliona anaweza kufanya zali kule jumbani .Si mimi ni vi Lunyungu @ work .
 

Mzee mwenzang kwa hiyo unataka kusema Chenge ameweka sumu?
 
Mkuu Field asante kwa info, nilikuwa napata kidogo, kwa jinsi nilivyokuwa addicted na JF nimekuja mbio kuangalina kama kuna lolote jipya nisinge lala unono sana kama nisinge kuta mambo kama haya

Thanks Comrade
 

Msomi wa Havard huyo.... nachoka kabisa
 
Nakuheshimu sana Ndugu yangu!Pls and Pls Nimebadili jina lipi na lipi?Mtu mzima ovyo kabisa.Je unaweza kuniambia majina yote unayosema nabadili?pls and pls again give me a break!acha hisia za kijinga ambazo huna prouvement
nazo!pls and pls!natumia jina hili hili moja tu!
Asante!
Hollo
 

Mkandara

sisi wenda hua si wagunduzi kwa sababu kitu tukikiona cha staajabisha tunakita imani.

UCHAWI si imani Ni sayansi ambayo bado tafiti zake hazijatoa majibu hii ni kutokana na Techonojia tuliyonayo hajikomaa ila theory zipo za kutosha,Ni kama vile theory za fibre optics zilikuwepo karne nyingi ila implementation ilikua ngumu kutokana na technolojia wakati huo haijakomaa.

kifupi.
electrons hua zinaishi kwenye valency band ktk maada yoyote lakini hiyo maada ukiipa energy mfano mwanga,moto,chemical(uchawi,kemia) hua electorn inaruka na kwenda kwenye condunction band,sasa basi electorn ikipoteza hiyo energy inaanguka kutoka conduction hadi valency band na nguvu iliyopotea inapaa hewani kama photons.

Na kwa vile electrons hua zinatofautiana energy vivyo hivyo photons hewani zitatofautiana energy na hii energy ndio ina characterize masafa (frequency) yake ,sasa basi hili bando la photons lililo na energy tofautitofauti huitwa spectrums,Na photon zenye energy kubwa ndizo zina frequency kubwa kumbe basi spectrum sio continuous bali discrete.

Sasa basi ktk bando hili la photons(spectrum) wanasansi ambacho wameshaona ni-
1.Radio wave 0.3-3KHz ambazo ndio masikio ya mtu yanaweza sikia,hivyo electron yoyote iliyo ktk masafa hayo masikio ya mtu yanausikia mwendo huo.

2.microwave 3-300kHz electrons iliyo ktk masafa hayo inaweza kuchemsha maji .hapa watu wengi hujiuliza kwanini ukiweka chakula kwenye microwave ni chakula tu ndio kina pata joto walakini chombo hakipati joto.kumbuka michrowave inachemsha maji tu kumbe chakula kinachemka kwa sababu kina majimaji.
3.Light 3-30GHz electrons ktk masafa hayo inatoa mwanga ambao macho ya binadamu unaweza kuyaona.
4.infrared
5.ultraviolet
6.x-ray 30-300PHz hii inaweza penyeza kwenye nyama na ndio elecrons zilizo ktk mwendo huo hua zinatumika kule hospitali kupiga x ray
7.gamma ray 30-300 EHz

Sasa basi Wataalamu wa jadi hua wanatumia chemical means (kuchanganya miti,nyama ya mtu,ubongo wa mtu)kuzirusha electrons ambazo hua zinapaa ktk spectrums with very specific frequency ambazo hazipo hapo juu Na

zinakua ktk makundi mawili 1. kuyahadaa macho na akili ya binadamu yani hizi photons zikigonga akili na macho kinafanyika modulation yani signal inahamisha frequency iliyozoa macho ama akili ndio maana badala ya mtu unaweza ona mbuzi badala ya karatasi unaweza ona fedha(mazingaombwe) mfano mtu akikupiga ngumi vizuri ktk macho unaweza ona shimo refu sehemu iliyotambalale,kumbe hii ni energy aliyo apply ktk macho ni sawasawa tu na energy ya electrons ila tofauti ziko ktk form tofauti ya energy moja ni mechanical nyingine ni electromagenet.

2.Ni hiyo ya kudhuru ambayo unaiua cell za binadamu kama ilivyo tu neuclear,x-ray ama gamma-ray.

Na kumbuka kila kitu cha moto kinatoa (emmit) microwave ndio maana upo unajotojoto na kila mwili unakua ktk resonance frequency fulani sasa mtaalamu(mchawi) anaweza kukutrace sehemu yoyote ulipo yani anachukua band yote ya microwave anaifanyia kitu kinaitwa filtering anaipeleka kwenye kitu kinaitwa matched filter anakupata.Hii matched filter kazi yake na kucompare signal inayoingia na reference aliyo nayo.

Hii reference signal anakua nayo anakua ameichukua mapema physically kutoka kwako ndio maana kuna kamsemo wanasema mlozi hawezi loga mtu asiye mjua maana anakua hana reference signal.Hii technologia nadhani hata akina bush wanatumia kuwatafuta akina Ossama.

Hizi ni theory zangu risechi sijaiweza maana wachawi hawataki kutoa ushirikiano.
Samahani kwa kuvamia maada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…