1. Posted Date::6/14/2008
Tuhuma za ushirikina Bungeni zafikishwa polisi
Na Midraji Ibrahim, Dodoma
1. SPIKA wa Bunge, Samuel Sitta amesema suala la mbunge na afisa mmoja wa bunge kuzunguka na kunyunyiza vitu vinavyohisiwa vya kushirikiana kwenye kiti viti vya wabunge limekabidhiwa kwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma (RPC) na Idara ya Usalama wa Taifa.
2. Akizungumza baada ya kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC-CCM) jana, Sitta alisema Kaimu Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashililah amekabidhi suala hilo kwa RPC na usalama wa taifa kwa ajili ya upelelezi.
3. ''Tukio lipo na kamera sita zilikuwa zimezimwa, lakini moja ililinasa ingawa picha imefifia, sasa tumekabidhi kwa RPC na usalama wa taifa watachezesha kuanzia mwanzo wa tukio mpaka mwisho baadaye tutapata taarifa,'' alisema.
4. Sitta alisema, sio vizuri hivi sasa kuzungumzia kwa undani tukio hilo kwa sababu, linahitaji upelelezi na kwamba, picha hiyo inaonyesha watu wawili wakipita kwenye viti vya wabunge.
5. Aliongeza tukio hilo limeshtua bunge kama taasisi
Quote:- Fundi Mchundo
1. Kuendekeza usiri ndiyo mara nyingi unatuletea matatizo na si vinginevyo. Tatizo lako ni kuwa unataka kutuaminisha wote kuwa video inaonyesha kuwa Chenge anaweka kitu wakati hakuna ushahidi isipokuwa hearsay!
2. Au mwenzetu unataka kutuambia kuwa ulishuhudia hicho kitendo cha Chenge? Au uliiona video?
3. Usitegemee hata siku moja kuwa wote tutadandia band- wagon ati kwa sababu Mkuu umeleta dataz. Wewe (na sehemu kubwa ya jamii) unaamini kuwa Chenge alikuwa anafanya usangoma, na ni haki yako kabisa. Mimi siamini (pengine niko peke yangu), na ni haki yangu kabisa.
Hee wakuu bado mnataka video?... ama kweli ndio maana mlitaka picha za marehemu Balali... duh!
Hivi mnafahamu kwamba video zenye kuonyesha tukio zima huwa hazikubaliwi kama ushahidi kortini?... Na sababu kubwa ni kwamba video zinaweza kuwa edited, manipulated, modified to extent that ikapotosha ushahidi mzima.
Mara nyingi video ambazo zinaweza kubalika ni zile zinazoonyesha mazingira ya sehemu husika, jinsi ushahidi ulivyokusanywa kama ushahidi wenyewe kama upo (maji yaliyomwagwa vitini) hii ni baada ya tukio lenyewe, ama report ya kitengo cha Criminal Investigation Department ambayo kutokana na utumiaji wa video hiyo wameweza kumbana mhusika akakubali kuhusika..
Video hutumiwa na vitengo vya polisi kumbana mhusika na ikisha toka hadharani (public) haiwezi tena kutumika kama ushahidi,(naomba kukosolewa na wanasheria) na hata kama korti zetu zinaruhusu video za namna hii. Kisha tunajaribu kutafuta kitu gani hapa?... wananchi kuhakikisha kuwa alikuwa Chenge?... je akiwa ndiye then what! maanake ni video hiyo hiyo inayotazamwa na vyombo vya usalama ambao wanaweza kuchukua hatua lakini sisi Wadanganyika sana sana tutacheka sana kumwona Chenge akivua digree zake na kubakia uchi wa nyama akinuizia elimu nzito ya sayansi ya mwafrika!..
Jeshi la Polisi limesema kuwa unga unga uliokutwa kwenye baadhi ya viti vya Wabunge wiki iliyopita baada ya Mhe. Chenge kuvipitia "akitafuta mahali pa kukaa" utapelekwa kwa Mkemia Mkuu wa serikali Jijini Dar kwa uchunguzi zaidi. Hayo yamesemwa na Jeshi la Polisi leo na wameahidi kuwa matokeo ya uchunguzi huo yatatangazwa mara moja.
Next time kabla hujakurupuka hapa JF na uzandiki na majungu na chuki zako, hakikisha kuwa una facts, kwa sababu sisi huwa tunaongea na facts na sio majungu na uazndiki na chuki kama zako, now look at the facts hapo juu kutoka kwenye gazeti la taifa,
Hizi zote ni facts na sio dataz, sidhani kama mtu anahitaji kuwa professor kuamini kuwa I have nothing to na hizi facts, uache majungu na chuki bro!
Hapa JF hakuna wagon wala nonesense, hapa tuna dataz na facts always hatuna ujinga hapa!
Ahsante Mkuu!
Hakuna mahali ambapo wanasema alikuwa uchi wa nyama kama ilivyodaiwa na baadhi yetu.
Mpaka sasa hamna facts hapa inayothibitisha imani yako.
Naaam, uko sahihi kabisa kusema kuwa mimi ni mtu mzima. Na ni ovyoooo! Lakini bado haujani'convince' na hizo dataz zako. Wengine pengine, lakini siyo mimi.
wakati tuko kurasa ya 65 na kuendelea kujadili suala hili,
usitegemee kuwa wote tutazikubali kwa kuwa FMES amesema hivyo. baadhi yetu tutaendelea kuzichambua na kuzitafakari kama ambavyo hoja yeyote inayoletwa humu na mtu yeyote.
Yasitukute ya Madison, Wisconsin!
3. ''Tukio lipo na kamera sita zilikuwa zimezimwa, lakini moja ililinasa ingawa picha imefifia, sasa tumekabidhi kwa RPC na usalama wa taifa watachezesha kuanzia mwanzo wa tukio mpaka mwisho baadaye tutapata taarifa,'' alisema.
Kumfungia Jmushi kuna mashaka.
Sasa mnataka msibishiwe?
Nomba uonyeshe facts au ushaidi wa haya maneno kusemwa na mimi kama huna basi ndio uzandiki wenyewe huo na chuki, ukweli huna mkuu on this kama unao uweke hapa, niliposema haya maneno yako?
Mimi nimesema kuwa sina time na uchawi hata siku moja, lakini ninajua kuwa Mwakyembe anaumwa sasa hivi, na Amina Chifupa mekufa na huo huo uchwai, naona unajaribu tu kwa nguvu kulazimisha kisichokuwepo, nyamaza mkuu aibuu! facts zote hizo juu sio mimi mkuu ni Spika na maofisa wa bunge wakiosema mimi na Enigma tulileta dataz tu baadaye ukweli umethibitishwa na ni huo hapo juu, sasa unaweza kula mwawe kama hutaki!
Mkuu ni wapi nimejaribu kuku-convince ninachooona hapa ni wewe kujaribu kujiweka kimbele kama kawaida yako, huku ukiwa huna hoja wala ukweli zaidi ya chuki na uzandiki, sijawahi hata siku moja kuja hapa kuajribu kum-convince mtu ambaye hawezi ona ukweli kuwa aliyesema kuwa kuna video ni Spika, na ushaidi ni uleee juu sasa unaponililia mimi ndio ukweli unajisema kuwa una lako mkuu hiovi huoni aibu wakati facts zote zile eeee juu!
Next time tafuta facts kwanza, nilijua kuwa toka mwanzo wa hii topic huko uliko unakufa kiroho na here you are aibuuuu mtu mzima, Mkuu nikukumbishe kuwa aliyeleta hizi dataz ni Enigma, sio mimi na Spika ameziunga mkono kuwa zipo mpaka video, sasa wewe una tatizo gani na mimi mkuuu? Acha chuki bro na fitina umeshakuwa hapa kwa muda mrefu sasa vipi bado tu hujaalemika tu!
Eti uko bongo damn!
Niliisha kuambia kuwa una delusions of grandeur. Si kila kitu kinamzunguka FMES. Wachangiaji ni wengi humu ndani na si peke yako. Aliyezungumzia suala la chenge kuwa uchi wa nyama ni Mkandara.
Mimi napinga hizi habari, whether amezileta Enigma, FMES au mwingine. Tatizo lako ni hako ka inferiority complex ambacho kinakufanya kuona kila anayepinga hoja unayoleta humu ana personal vendetta na wewe. Ndiyo maana hauchelewi ku'personalise' issues.
Ujinga, uzandiki, Chuki, fitna, utu uzima ovyoo, kutokuelimika na mengine yanahusiana nini na hii mada na kuwa mimi naipinga?
Wewe ukiwa yule yule ambaye haukawii kukimbilia kwa refa watu tukitaja neno upumbafu! mimi kuwa bongo, marekani, uhindini kuna husiana nini na mada hii? Your ignorance shows. Hauna ubavu wa kunielimisha.
Amandla.......
Vipi ukituonyesha ushahidi wa Mushi kufungiwa? Na amefungiwa na nani? Na amebishana na nani?
FMES naona umesikia sana raha mimi kufungiwa.
Mimi nimeona raha wewe kufungiwa? Wewe kwanza ni nani hasa maana haielweki, sasa aliyekufunguia ni nani hasa mbona husemi? Halafu umefungiwaje wakati uko hapa kama unavyosema mwenyewe?
Kwanza mimi sijui wewe ni nani? Halafu mimi sijalumbana na wewe sasa nimengiaje kwenye haya maneno yako? sasa kama unaenda huko wapi sijui mimi ukiniambia inanihusu nini hasa?
Sasa unaona uwezo wako mdogo wa kufikiri, sasa wewe huo ubavu wa kunielemisha mimi uko wapi? Mbona kila wakati unarukia matusi tu na kashafa kama una elimu kweli mbona siiioni? Acha hizo mkuu facts ziko clear hapa kuwa una matatizo ena makubwa sana!Nimesema hauna ubavu wa kunielimisha. Hauna, period.Wameshindwa wengi tu, ama sivyo ningekuwa mhandisi na si Fundi Mchundo.
Anayemtukana mwenzie nani? Naona unataka kuelekea nisikokutaka. Siko hapa kukuvisha kilemba cha ukoka. Si hulka yangu. Nimeshaelezea msimamo wangu na sioni sababu ya kuendelea kubishana na wewe. Ila nakuhakikishia kuwa utapoleta dataz nisizokubaliana nazo, nitazipinga. Kama ambavyo nitampinga mwingine yeyote. Sio personal, ndivyo nilivyo.
Amandla.........
Hili mkuu wala sina tatizo nalo, maana najua kuwa hapa JF kuna wenye akili sana ya kuweza kujua kati yangu na wewe nani ana shida ya inferior, hata mtu akifutailia kwa makini hiii topic atajua nani ana shida na inferior, tena hata kwenye real life hizi ndio zako mkuu you know it au mpaka tuseme?