Kutoka Dodoma!


Mushi mimi sio Kikwete maana unaonekana kuchanganya ishus hapa!
 
Uwezo mdogo wa kufikiria tunao sisi wananchi tulio wengi...HOWEVER Kuna wale waliojitokeza kutusemea na kutupa ukweli...Wazalendo wa kweli kama kina DK Slaa!
God willing....WE WILL EVENTUALLY EMERGE THE VICTORS!
 

Mkuu Mushi,

Hakuna chama chochote cha upinzani kinachofurahiswa na kazi yako hapa, huu unaoandika ni ujuha, kwa sababu huna hoja, Kikwete ni rais wa Tanzania, aliyechaguliwa kwa mujibu wa katiba ya jamhuri yetu, sasa anaweza kuondoka kwa kuwa impeached, kitu ambacho wabunge wetu kuaniza wa CCM mpaka upinzani hawajawahi ku-suggest,

Kwa hiyo kutoka kwake kutakuwa ni kwa uchaguzi wakura, until then nina haki kama mwananchi ya kumjadili ninavyomuona kikazi yake kwa taifa, maneno kwamba ninamfagilia kikwete ni ujuha, wewe tafuta dataz za Balali kwuwepo hai, uzilete hapa, lakini hizo hasira zako na kila mtu ni ujuha mtupu, na ninaomba nikuambie hivi hakuna chama chohcote cha upinzani ambacho kinafurahiswa na kazi yako hapa ya kukurupuka bila ukweli, hapa wananchi wote tunakuja kuelimishana siasa na yanayojitri na taifa letu lakini sio kukufurahisa wewe Mushi who are you mpaka wote hapa ni lazima tuandike unavyotaka wewe tu?
 
Mushi mimi sio Kikwete maana unaonekana kuchanganya ishus hapa!

Sijachanganya issue yoyote ile!
Kikwete ni mwana CCM mwenzako na muendelee tu na mipango ya kuijenga nchi pamoja na huo umaarufu wenu na uwezo mkubwa wa kufikiri!
Msisahau uwezo mdogo wa kufikiri hauhitaji kubezwa kama kuna waanga wenye kujitolea kuwa upande wao ili haki ipatikane na kuweza kuwapatia maendeleo na elimu ya kutosha.
 
MKUU FEMS TUMESHAWAPA THE ULTIMATUM...Mje na solutions na si mbwembwe za maneno ya kuwaondoa wananchi kutoka kwenye mjadala wa Taifa!
Hayo mambo yenu ya CCM yanamsaidia nani?
Tunataka watu wakamatwe!
Kwanini eti wakamatwe mara baada ya kuvuliwa uanachama?
Ina maana ukiwa ndani ya CCM wewe ni mtakatifu hata ufanye nini?

Si walikuwa wakitetewa na viongozi wakuu wa chama kama Kikwete mwenyewe na Makamba?

Sasa ufisadi toka lini ukamalizwa na mafisadi?

NB:Umeshasahau alipowaambia wasijali kuitwa mafisadi?
Alipokataa Ballali asiletwe?
 
Uwezo mdogo wa kufikiria tunao sisi wananchi tulio wengi...HOWEVER Kuna wale waliojitokeza kutusemea na kutupa ukweli...Wazalendo wa kweli kama kina DK Slaa!

Kijana mdogo Mushi, huo ukweli Dr. Slaa anautoa wapi? Anautoa mbinguni? Si lazima aashirikiane na baadhi ya viongozi wa CCM wenye nia njema na taifa, mbona huelewi kitu kabisaa mkuu kuhusu siasa ya nchi yako mwenyewe?


God willing....WE WILL EVENTUALLY EMERGE THE VICTORS!

Haya ndio maneno ya kutafuta umaarufu wa cheap kijana, unahitaji kujifunza sana siasa maanaunaonekana bado huelewi tena mabo madogo madogo sana, kwamba hata huko bungeni Dr. Slaa anashirikiana na baadhi wa wabunge wenye nia njema na taifa kutoka CCM, mimi ni mwanachama wa CCM na I am proud to be one, na sijawahi kuficha hapa, sasa Mushi kama unataka hii forum iwe ya upinzani tu wewe ni kusema tu, lakini hilo hutafanikiwa hata siku moja hapa tunakutana wananchi wote wenye nia njema na taifa, licha ya uchama,

Msimamo wako ni wako hauwezi kuwa wangu kwa kul;azimsihwa niandike unayotaka wewe, huo ni ujuha mkuu, na mimi siwezi kukulazimisha kuadnika ninavyotaka mimi, jaribu kujifunza namna ya kujibana kwenye forum na wenye mawazo tofauti na yako mkuu!
 

Mbona unashupalia sana issue ya umaarufu?
Pumba zangu zitanipatia vipi umaarufu?
 
MKUU FEMS TUMESHAWAPA THE ULTIMATUM...Mje na solutions na si mbwembwe za maneno ya kuwaondoa wananchi kutoka kwenye mjadala wa Taifa!

Hizo ultimum mbona unaonelkana wewe ndio unahitaji ili kuwa kichwa safi, maana unaoenakan huelewi unachosema, mimi ni CCM lakini huwezi kunilazimsiha nifikiri kama wewe, maana mawazo yako haya-fit kwenye upinzani kabisa wewe uko taifa klingine kabisaa mkuu sio bongo, wewe unaweza kunipa mimi ultimum ya nini?

Hayo mambo yenu ya CCM yanamsaidia nani?
Tunataka watu wakamatwe Kwanini eti wakamatwe mara baada ya kuvuliwa uanachama? Ina maana ukiwa ndani ya CCM wewe ni mtakatifu hata ufanye nini?

Haya maneno yako ulipaswa kuyasema huko kwenye mkutano Dodoma, sio hapa JF ambako hakuna hata kiongozi mmoja aliyehusika na maamuzi yao, kwa hiyo mkuu hapa huna hoja kabisaa!

Si walikuwa wakitetewa na viongozi wakuu wa chama kama Kikwete mwenyewe na Makamba? asa ufisadi toka lini ukamalizwa na mafisadi?NB:Umeshasahau alipowaambia wasijali kuitwa mafisadi?
Alipokataa Ballali asiletwe?

Haya maneno yako ya ushallow unayarusha to the wrong person, ulipaswa kuyapeleka Dodoma, ndio maana ninasema kuwa unataka umaarufu wa cheap hapa JF, huna hoja na hasira zako unazilenga kwa the wrong person, zipoeleke Dodoma mkuu!
 

Hatutaki huo ushirikiano kama walioutoa kina Zitto na kwenda kwenye kamati kulipwa mishahara!
CCM ni mafisadi na mwenyekiti wao KIKWETE NDIO RING LEADER!
Hawa wabunge wa CCM wachague moja maji yeshamwagika!
Waweke mambo wazi na waamuwe kuwa upande wa wazalendo na kuwakamata hao Mafisadi na kama inavyoonyesha hawawezi kwasababu ya mgawanyiko...Hivyo dawa ni uchaguzi huu unaokuja wa 2010...JK NI FISADI PAMOJA NA CCM YAKE...UPINZANI HAUJAJA BADO NA AGENDA MADHUBUTI...Wanayumba mno na MABILIONI YA US DOLLARS ZA CCM WALIZOWAIBIA WANANCHI zinaweza kuwa zimewanasa wengi!
CCM NI BIG NO!
 
Usizungushe mambo....CCM NI MAFISADI NA KIKWETE PIA...Sasa umaarufu hapo wa nini?
 
Mbona unashupalia sana issue ya umaarufu? Pumba zangu zitanipatia vipi umaarufu?

Kwa sababu mkuu, nimekuwa kwenye hizi forum kwa muda mrefu sana, watu kama wewe wanapotaka umaarufu wa cheap na haraka haraka, hujifanya ni wanamapinduzi sana kuliko wengine wote waliowakuta pale na kujfanya kurusha maneno ya kimapinduzi bila kujali wanayemrushia kama yanamhusu, and that is exactly unachofanya, acha hizo kijana,

jaribu kujifunza kuelewa ishu kwanza halafu ndio urushe hizo sumu zako, mimi sio kiongozi wa CCM, wala sikwenda Dodoma, wala sikuhudhuria huo mkutano sasa for you kuja na kuanza kunishambulia kwa sababu tu mimi ni mwanachama wa CCM, huo unakuwa ni ujuha,

Na ktaka kunilazimisha nzione ishu kama unavyoziona kwenye box lako huo pia ni ujuha sana mkuu, hapa tunataka majadiliano ya faida kwa taifa, na sio kutafuta umaarufu tena a cheap one, ninarduia tena mimi sio Kikwete, na wala sina ubia wowote na urais wake, sasa kama una ya kumsema mseme yeye au uende Dodoma ukasema au mtumie barua!
 
Hatutaki huo ushirikiano kama walioutoa kina Zitto na kwenda kwenye kamati kulipwa mishahara!

Tizama sasa jinsi ulivyo na uwezo mdogo wa kufikiri?



Haya maneno yako mengine yana hoja, lakini hapa unayarusha to the wrong person mimi nina msimamo wangu kuhusu taifa langu na sidhani kama kuna mtu haujui hapa JF, naona wewe ndio mtu wa kwanza kuja na hizi nyepesi nyepesi, mkuu haya maneno peleka kijijini na majimboni ili uwaamshe wananchi, wasiipigie kura CCM!
 
Usizungushe mambo....CCM NI MAFISADI NA KIKWETE PIA...Sasa umaarufu hapo wa nini?

Hapa ndio unazidi kuonyesha ujuha wako mkuu, sasa haya maneno yako yananihusu vipi? Mkuu are you okay kweli? Mimi haya maneno yananihusu vipi?
 
Hapa ndio unazidi kuonyesha ujuha wako mkuu, sasa haya maneno yako yananihusu vipi? Mkuu are you okay kweli? Mimi haya maneno yananihusu vipi?
Hivi unachanganya vipi ujuha na ukuu?
Unafikiri maneno yako machafu yananitisha?
Umaarufu maarufu...Yani wewe shida yako ni kupenda UBABE na kutake charge kimabavumabavu na intimidation!
Mi sikujui na sina haja ya kukujua!
Nina uwezo wa kutemblea thred zote ulizoanzisha pamoja na postings zako zote ili kujua kama una mdudu kichwani ama la!
Ukiona watu wanafurahia habari..Mambo ni safi!
Ikikosoliewa...Basi wewe ni dume la nyani!
 

Mushi haya ni maneno uliyoyaleta mwenyewe kwenye topic yako, sasa mbona hukuyashambulia haya ambayo sikuandika mimi yameandikwa na gazeti la umma, vipi hawa nao ni CCM au aliyeandika ni Kikwete?
 
Hivi unachanganya vipi ujuha na ukuu?
Unafikiri maneno yako machafu yananitisha?
Umaarufu maarufu...Yani wewe shida yako ni kupenda UBABE na kutake charge kimabavumabavu na intimidation!

Finally, sasa unaanza kufika kwenye tatizo lako lililokufanya uteme sumu, sasa Mushi kweli unaamini mimi ninatishika na wewe? Ulichokifanya kwenye hiii topic ni ujuha kwa sababu unatka kunilazimisha mimi niwe na mawazo kama yako, na mimi nikifanya hivyo basi una haki zote kuniiita juha, lakini sio ninapowakilihsa dataz za mkutano ambao mimi sikuwepo, sasa kama una tatizo basi shambulia dataz, au sema ni za uongo, lakini kunishmabulia mimi as if mimi ndiye Kikwete huo ujuha ndugu yangu sina neno lolote zaidi ya hilo!

Mi sikujui na sina haja ya kukujua!

Aliyekuambia kuwa mimi nina shida ya kukujua wewe ni nani mkuu? Ni wapi niliposema hayo? Hivi kweli Mushi unaamini mimi nina shida ya kukujua wewe na hizi pumba zako? Ili unisaidie nini hasa?

Nina uwezo wa kutemblea thred zote ulizoanzisha pamoja na postings zako zote ili kujua kama una mdudu kichwani ama la!

Mushi kweli unaamini kuwa wananchi hapa JF ni wajinga kwamba hawawezi kujua nani kati yangu na wewe mwenye mdudu kichwani?

Ukiona watu wanafurahia habari..Mambo ni safi!

Tizama more of your problem, mimi ninaleta dataz sijali kama unazipenda au huzipendi, halafu pia ninazipeleka kwenye media ya bongo pia, I do not care kama unazitaka au huzitaki, kama una shida nazo sema kuwa ni za uongo, halafu wewe uweke za ukweli, lakini mimi sihusiki na kuzitengeneza zimetengenezwa na mkutano wa CCM kule Dodoma sasa wewe aliyekulazimisha kuzisoma na kuzisifia ni nani hasa? Hivi kweli uanaamini mimi ninajali kama wewe unazifurahia dataz au huzitaki?

Ikikosoliewa...Basi wewe ni dume la nyani!

Unachokosoa hapa ni nini hasa? Jamani hili neno kukosoa labda sielewi maana yake, I mean unachokosoa hapa ni nini hasa? Habari zimetoka Dodoma sasa mimi ninahusika vipi na kukosoa kwako? Mimi ndio Chiligati au Kikwete?

Mkuu jikosoe mwenye maana huna akili za kutosha, maaana kama heuelewi wa kukosolewa hapa ni nani kati ya CCM na mimi, basi uwezo wako ni mdogo sana wa kufikiri na unaonyeshwa kabisa hapaa katika maneno yako mwenyewe!
 
Mushi tizama, hiii ni article uliyoileta mwenyewe, na kama una akili timamua unaweza kuona ukweli wa kila neno nililolileta as a dataz kutoka kwenye huo mkutano, hivi ni kwa nini uliiileta hiii article kama unaamini kuwa kama dataz zangu imeandikwa na mtu wa CCM? Hivi kweli mkuu akili zako ziko sawa?

Kwa hiyo aliyeandika hii article naye ni mtu wa Kikwete? Vipi mkuu umechanganyikiwa nini? Hebu soma matapishi yako mwenyewe uliyoyaleta halafu usome dataz zangu ambazo nilizitoa kabla ya haya magazeti yako! Acha kutrukia watu mkuu bila hoja za maana ni kupoteza nafasi za ishu muhimu kumbuka kuna watu wanalipia hii forum!

 

Mkuu Mushi, Shimboni!

Mkuu Field Marshall ES, Kama unampango wa kuoga kutokana na majasho kila unapoingia JF basi endelea kujibishana na Mushi.

Kwa ukweli nimeshamzoea alikuja na kitu moja hapa watu wenye akili timamu wakamtuliza Thanks to MZEE MWANAKIJIJI NA REV KISHOKA alikuja na issue yake ya Balali kwamba hajafa na kuna message amezipata ZABA SEARCH hili ni moja katika mlolongo wa mambo yake tata na sasa kawa mpole kwahiyo ndio hivyo hivyo mchukulie maana sio kosa lake na wala Hajaomba kwa Mungu awe hivyo.
 
Duh! ama kweli JF sii mchezo mdogo!..
Haya leteni manyanga ya Dodoma!... imetosha kinaendelea nini huko?
 
Mushi na wapinzani wake uwanjani JF,
Kwanza nianze kwa kusema asante kwa kunipa mwanga juu ya mauwaji ya watu kati ya Tz/Kenya. Nafikiri hata Uganda nao wamo. Cha ukweli hapa ni kwamba viongozi wetu walikuwa siku zote 1 step ahead. Sasa wakija akina Kambona na zile story ambazo nasikia kuwa eti alishinda bahati nasibu na kuwa milionea kumbe ni hela za CIA. Alipokwama akaenda UK na kufika huko kawa masikni sasa hela zimeishia wapi? Nafikiri wengi walipojaribu kufurukuta basi walikutana na mkono mkali sa JKN. Mungu bariki Nyerere wengi aliishia kuwapa kifungo au frustations hadi wanajiuwa wenyewe. Nchi nyingine ilikuwa ni risasi tu. Ila hadi leo sijui kwa nini Sokoine walimrudi. Mie naamini aliuliwa Dodoma na mwili wae kubebwa kwenye gari. Siku hiyo tuliiona ndege ya Rais asubuhi Dom kuja kumchukia. Baadaye tukasikia eti alisema anarudi na wenzie kwa gari mmmhhh, hivi ukiwa na wenzio kwa ndege si mnakaa wengi na kupiga story sasa gari sana sana wawili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…