Kutoka Daudi Bashite mpaka Paul Makonda

Kutoka Daudi Bashite mpaka Paul Makonda

HILI JINA DAUDI BASHITE
JE HILI NI MIONGONI MWA MAJINA YA WATANZANIA KWELI NAPATA MASHAKA SANA, SIO MKIMBIZI HUYU.
TAFITINI HILI JINA ""BASHITE""
ii
 
Daudi bashite bana..kumbe na yeye ni mwizi wa mitihani kama Mr February kipara..hawa ccm vipi hawa?
 
Huyu bwana DC wa Kinondoni miaka ya 2000 enzi hizo aliitwa Daudi Bashite. Lakini ajabu alipojiunga na Chuo cha Ushiriki akaanza kuitwa Paul Makonda.Sifahamu kivipi anaitwa Makonda leo hii

mbona hata Vasco da Gama aliitwa Samwel Luhanga?
 
Last edited by a moderator:
UKAWA mnazidi kutia aibu. Poor mind discusses about people...watu wazima mnamfungulia kijana wa miaka 29 na kumjadili! Kweli UKAWA mmeishiwa.
 
Dr. Ngwazi kwa kuwa mmejilisha ujinga kwamba CHADEMA ni ya wachaga, na kwa kuwa wewe unataka kujua asili ya Kubenea,basi asili yake ni Marangu!!
 
Last edited by a moderator:
UKAWA mnazidi kutia aibu. Poor mind discusses about people...watu wazima mnamfungulia kijana wa miaka 29 na kumjadili! Kweli UKAWA mmeishiwa.
Hapa hajadiliwi mtu bali kinajadiliwa kitendo cha mtu kubadili jina lake. Maana ya kujadili mtu badala ya kujadili hoja hapa haiswii!!
 
Huyu bwana DC wa Kinondoni miaka ya 2000 enzi hizo aliitwa Daudi Bashite. Lakini ajabu alipojiunga na Chuo cha Ushiriki akaanza kuitwa Paul Makonda.Sifahamu kivipi anaitwa Makonda leo hii
Thanks for your concerns Mr.OKW......you are a whristleblower
 
Naive members ask me why we attack this Bashite after publishing fake drug dealers list.Shame on them,as u can observe we were complaining about this since 2015

Na ndio habari hizi mliziibua tena juzi kuziendeleza sababu mwanzoni mlishindwa.

Uongo mtupu umewajaaa, baada ya Madawa mkajaribu tena na kugonga mwamba.

Makonda oyeeeee
 
Na ndio habari hizi mliziibua tena juzi kuziendeleza sababu mwanzoni mlishindwa.

Uongo mtupu umewajaaa, baada ya Madawa mkajaribu tena na kugonga mwamba.

Makonda oyeeeee
Can u now respond why this guy is Makonda and not Bashite?can u say something on trending issue of education certificate
 
Huyu bwana DC wa Kinondoni miaka ya 2000 enzi hizo aliitwa Daudi Bashite. Lakini ajabu alipojiunga na Chuo cha Ushiriki akaanza kuitwa Paul Makonda.Sifahamu kivipi anaitwa Makonda leo hii
Mkuu uliliona hili wakakudharau sasa linawatesa. Mdharau mwiba mguu huota tende.
 
Back
Top Bottom