Kutoka Daudi Bashite mpaka Paul Makonda

Kutoka Daudi Bashite mpaka Paul Makonda

Huyu jamaa jina lake la utotoni ni Daud paul bashite, lkn miaka ile ya 2000 akiwa chuoni wanachuo wenzake walipenda kumuita jina la baba yake yaani paul, sasa kw vile kulikuwa na akina paul wengi pale chuo walitofautishwa kwa makabila yao,
Kwa hiyo huyu tunaemuongelea hapa aliitwa paul makonde.sasa baada ya chuo akalipotezea hili jana makonde na kujiita paul makonda
(tango poli)

......kirahisi hivyo!!! No! No! No
 
Mimi nina mpango wa kuhama mabibo, siwezi kukaa jimbo analoongoza na kilaza huyu. ni aibu kkubwa sana kuwa na mbunge asiyejua hata mahali pa kuanzia, hivi kubenea asili yake wapi!

Makonda mwenuewe alisha kili kwenye maojiano furani iv nilitaonaga STAR TV kua elimu yake maka kufika apo alipo aliungaunga sana
 
Kuna haja Magufuli afanye mpango wa kuteua upya wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi atutolee wanamtandao waliopo kwa mjibu wa wapiga deal
 
Daudi Bashite alinunua jina la Paul Makonda baada ya kukosa eligibility ya kupata mkopo HESLB. Ni wengi sana walipigwa chini baada ya uchunguzi makini kufanyika lakini nashangaa jamaa alipona vipi!...
 
Mengine majungu tu na kutaka kumkandia mtu, kwani kubadilisha jina kuna ajabu gani? yeye kaamua kubadilisha wewe unaona nongwa kwani jina lako lake punguza ujinga.
kama hakuapa mahakamani basi Paul Makonda ni najisi yeye bado ni Daudi Bashite
 
Kubenea ndio mbunge kilaza pengine kuliko wote katika bunge hili la sasa
 
Mimi nina mpango wa kuhama mabibo, siwezi kukaa jimbo analoongoza na kilaza huyu. ni aibu kkubwa sana kuwa na mbunge asiyejua hata mahali pa kuanzia, hivi kubenea asili yake wapi!
Daudi Bashite aka Paul makonda hivi hii ni kweli wanachosema waungwana hapa kwamba darasani ulikuwa unachapia na sup kibao na disco juu
 
Kubenea ndio mbunge kilaza pengine kuliko wote katika bunge hili la sasa

daudi bashite aka Paul Makonda anongoza jimbo lenye one of the best university nchini vita vyake huwa havina msaaidizi makonda atajifunza adabu
 
Moja kati ya mawili.
1.Ni kweli na Magufuli anashughulikia wapinzani wake badala ya matatizo ya nchi.Bado ana hangover ya uchaguzi.
2.Si kweli na unachofanya wewe ni kumchafua kijanja ili kumwonesha kama hana nia thabiti bali hangover ya uchaguzi.
Unataka kumaanisha wote wanaowajibishwa na rais kuwa walikuwa hawamuungi mkono Magufuli wakati wa kampeni.
 
Daudi Bashite alinunua jina la Paul Makonda baada ya kukosa eligibility ya kupata mkopo HESLB. Ni wengi sana walipigwa chini baada ya uchunguzi makini kufanyika lakini nashangaa jamaa alipona vipi!...

ndio maana anatabia za kiwehu wehu kupiga wazee kutukaana matusi ya nguoni wazee chozi la kumzaba kibao warioba lina jibu atang,olewa kwenye ukuu wa wilaya kinondoni kwa aibu kubwa viatu havimtoshi mwizi aliibia serikali kwa kufoji jina
 
Mengine majungu tu na kutaka kumkandia mtu, kwani kubadilisha jina kuna ajabu gani? yeye kaamua kubadilisha wewe unaona nongwa kwani jina lako lake punguza ujinga.

Kwani wewe Kabla ya kuitwa Nicholas j Clinton ulikua unaitwa nani make inaonyesha wewe ni walewale.
 
Mengine majungu tu na kutaka kumkandia mtu, kwani kubadilisha jina kuna ajabu gani? yeye kaamua kubadilisha wewe unaona nongwa kwani jina lako lake punguza ujinga.
wewe unajulikana humu kuwa mtu wa kujikomba,unajikomba mpaka kinyaa.kama wewe ni msemaji wa Makonda lete ushahidi kuwa alibadili jina
 
Kuna mshikaji wangu alisoma ushirika na huyu jamaa aliniambia alikua mtu wa kusup sanaa sikumbuki kuhusu disko
 
ndio maana anatabia za kiwehu wehu kupiga wazee kutukaana matusi ya nguoni wazee chozi la kumzaba kibao warioba lina jibu atang,olewa kwenye ukuu wa wilaya kinondoni kwa aibu kubwa viatu havimtoshi mwizi aliibia serikali kwa kufoji jina

kafunzwa na Ex- bwana mkubwa,tabia mbaya ndio jadi yao!
 
Back
Top Bottom