Kutoka Daudi Bashite mpaka Paul Makonda

Kutoka Daudi Bashite mpaka Paul Makonda

mukuje leo jenesta kaenda knondoni kijana kafyata kinoma kumbe waziri noma sadick hakwepo
 
Ebu mwaga mambo hadharani hii tabia imezidi sana ccm.

Siyo hivyo tu, makonda ana ndugu yake Kahama anaitwa Fadiga, huyu Fadiga alimbaka taahira tena anayetokwa na udenda inasemekana Makonda akamtoa jela huyo mbakaji hii ishu naikusanyia ushahidi kisha tuitoe kwenye gazeti la MAWIO. ila ni kweli tupu mimi ni shuhuda.
 
siyo hivyo tu, makonda ana ndugu yake kahama anaitwa fadiga, huyu fadiga alimbaka taahira tena anayetokwa na udenda inasemekana makonda akamtoa jela huyo mbakaji hii ishu naikusanyia ushahidi kisha tuitoe kwenye gazeti la MAWIO. ila ni kweli tupu mimi ni shuhuda.

Hii tabia ya watu kutumia vyeo vyao kuhalalisha madhambi iko siku zitawatokea puani.
 
Kwahyo dc wangu no Kilaza alifeli hata form 4!!!! Silali kuamin aiseeeee
 
Last edited by a moderator:
Mbona hata Kubenea mwaka 1995 alikuwa anaitwa Sarah? Iko simple like that, kutype kitu roho inataka ni rahisi sana!
Alafu nimemsikia mbunge wa Ubungo EATV, jamaa ni kilaza, yaani hoja zake nyepesi sana, yaani msingi wake wa hoja ni mimi ni mpinzani, serikali ikienda kulia mimo naenda kushoto, haijalishi ni zuri au baya!

Kwa ufupi, inaingia mara mia kwa Mnyika! Anasema yeye hapendi unafki? Kweli? Mwanahalisi na Lowassa!
Eti yeye ni mkweli? Kweli?

Ni nunda! Ubungo mmepata kilaza.

mbona unaleta ushabiki wa kikuda, hapa uzi unamhusu makonda sio mwingine
 
DAUDI BASHITE------>>>PAUL MAKONDA.
TYPICAL INCLUTIONS.
HII NI DOSARI NA KOSA,
YAELEKEA YUPO MTU AIYWAYE P.MAKONDA AMBAYE HUENDA ALIFAULU MASOMO, AKASHINDWA KUHUDURIA.
ii
 
Daud Bashite aka Paul makonda. Amepigwa sup sana hapo ushirika na hata kudisco. Yaani ana kichwa kizito balaa. Ngoja kubenea aje na full cv yake mpaka ataipenda!
 
acheni uongo mbona kaka yake yule mkurugenzi anaitwa makonda
 
Mbona hata Kubenea mwaka 1995 alikuwa anaitwa Sarah? Iko simple like that, kutype kitu roho inataka ni rahisi sana!
Alafu nimemsikia mbunge wa Ubungo EATV, jamaa ni kilaza, yaani hoja zake nyepesi sana, yaani msingi wake wa hoja ni mimi ni mpinzani, serikali ikienda kulia mimo naenda kushoto, haijalishi ni zuri au baya!

Kwa ufupi, inaingia mara mia kwa Mnyika! Anasema yeye hapendi unafki? Kweli? Mwanahalisi na Lowassa!
Eti yeye ni mkweli? Kweli?

Ni nunda! Ubungo mmepata kilaza.

yan ata hauelewek unakiandika n kitu gan?
 
Back
Top Bottom