Kutoka Daudi Bashite mpaka Paul Makonda

Kutoka Daudi Bashite mpaka Paul Makonda

Na ndio habari hizi mliziibua tena juzi kuziendeleza sababu mwanzoni mlishindwa.

Uongo mtupu umewajaaa, baada ya Madawa mkajaribu tena na kugonga mwamba.

Makonda oyeeeee

We dada angu hivi ni ushabiki au? Maana hii ishu ilikua hot kitambo sana since 2015 wewe bado unadhan ni ishu ya drugs, i pity you maana hutaki kuukubali ukweli. Kwan anakupa nn mpk uupe kisogo ukweli?
Swala la vyeti kachemka, sasaiv kaamua kujificha kwny kivuli cha drugs ili wachache kama wewe waendelee kuamin kuwa anaonewa kwenye swala la vyeti.
Ww hujiulizi kwanini hakubali wala kukanusha jina la Daud Albert Bashite..?
Hii post ya kuhusu jina lake ipo hapa mwaka mmoja kabla hata ya drugs issue enzi hizo bado ni DC wa kinondoni afu wewe bado unaona anaonewa kwann lakin hutaki kushirikisha ubongo wako? Au ndo unakamilisha maneno ya kinabii kwamba:- wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii....?
 
hata swala la Sizonje kupiga hela ndefu kwenye bombardiers itakuwa wazi tu miaka ijayo.
 
Na ndio habari hizi mliziibua tena juzi kuziendeleza sababu mwanzoni mlishindwa.

Uongo mtupu umewajaaa, baada ya Madawa mkajaribu tena na kugonga mwamba.

Makonda oyeeeee
Hatukushindwa sababu mtuhumiwa hakuja kuthibitisha kuwa yeye si daudi bashite..kama alivyofanya mwigulu wakati anatuhuma kama hizi..mwambie bashite aje ajaribu angalau kujitetea..
 
Hatukushindwa sababu mtuhumiwa hakuja kuthibitisha kuwa yeye si daudi bashite..kama alivyofanya mwigulu wakati anatuhuma kama hizi..mwambie bashite aje ajaribu angalau kujitetea..

Kikaratasi kile si mlikishangalia au ndio mlijua mmeingizwa mkenge? Ha ha haaaaaa


Makonda ni Makonda

Kiongozi anayewakimbiza, leo kasema kagundua bil 5.7 watu walitaka kulipana kwa kazi hewa.

Hapa kazi tu
 
Mkuu uliliona hili wakakudharau sasa linawatesa. Mdharau mwiba mguu huota tende.

Aliliona hadi leo hana hata proof moja ha ha haaaaa

Ndio hawa hawa walimuanzia na wivu alipoanza kupata vyeo

Makonda oyeeeee
 
Can u now respond why this guy is Makonda and not Bashite?can u say something on trending issue of education certificate
Hawezi kukujibu kamwe..le mtumboz yeye anateteaga tumbo lake tu...jitu zima lina miaka 60 bado linajikomba kwa kina bashite vitoto vya juzi...
 
Kikaratasi kile si mlikishangalia au ndio mlijua mmeingizwa mkenge? Ha ha haaaaaa


Makonda ni Makonda

Kiongozi anayewakimbiza, leo kasema kagundua bil 5.7 watu walitaka kulipana kwa kazi hewa.

Hapa kazi tu
Hujielewi na nina uhakika umeishia darasa la saba ukafeli...huna hoja kabsa
 
Under this CCM or what?

Kumbe umeanza kumtafuta zamani... ila madawa yakawaibua tena. Kama ulikuwa unajua ni ya kweli huu hmuzi ulijificha wapi, ulileta udaku mwaka huo na hadi leo ni udaku.

Mtu huwezi kuanzisha thread ukaisahau kama ilikuwa jambo la kweli, ila jwasababu ulikuwa uongo uliojaribu kuupitisha alipoanza kupaa ukaudahau.

Eti leo ndio umeuibua na sijui ukajuaje kujibu haraka haraka kwa uzi huu after huyo ameandika sijui neno uka quote fasta mmmmmh!!!

Na bado mtanyooka tu

Makonda oyeeeee
 
Huyu bwana DC wa Kinondoni miaka ya 2000 enzi hizo aliitwa Daudi Bashite. Lakini ajabu alipojiunga na Chuo cha Ushiriki akaanza kuitwa Paul Makonda.Sifahamu kivipi anaitwa Makonda leo hii
Haya toka 2015...wale watetezi wa vita ya madawa ya kulevya mje na swaga mpya...makonda ni bashite kaiba cheti cha Paulo Christian
 
Hujielewi na nina uhakika umeishia darasa la saba ukafeli...huna hoja kabsa

Vizuri umeona kwa udaku siingiii hata kidunchu, sasa wewe unaejielewa endelea na udaku wa kusambaza uongo kwasababu ya wivu uliowajaa na madawa.

Makonda oyeeeee
 
Wote mnaodandia uzi huu bila proof ya huu udaku ambao hamna bora mfunge midomo yenu, na hizo bando mkimalizia humu inaonyesha ni kiasi gani mnampenda sana Mhe. Makonda hadi mnashindwa kujizuia.


Kiongozi jembe.
 
Hakuna mamlaka yoyote yenye uhalali wa kuhoji uhalali wa jina la mtu.

Isipokuwa kuna mamlaka za kuthibitisha wewe ndiye mmliki wa jina Fulani tu.

Kwa Paul Makonda mtapoteza muda sana itabaki kuwa Paul Makonda Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam.
 
Back
Top Bottom