Kutoka Daudi Bashite mpaka Paul Makonda

Kutoka Daudi Bashite mpaka Paul Makonda

Hiyo topic haina mshiko si tupo na vingereza bungeni
 
Na ndio habari hizi mliziibua tena juzi kuziendeleza sababu mwanzoni mlishindwa.

Uongo mtupu umewajaaa, baada ya Madawa mkajaribu tena na kugonga mwamba.

Makonda oyeeeee
Ukweli ni upi wewe ???
Paul makonda ni Daud Albert Bashite
Hilo halina ubishi..!!
 
Huyu bwana DC wa Kinondoni miaka ya 2000 enzi hizo aliitwa Daudi Bashite. Lakini ajabu alipojiunga na Chuo cha Ushiriki akaanza kuitwa Paul Makonda.Sifahamu kivipi anaitwa Makonda leo hii

Daudi Bashite a.k.a Paul wa usalama wa Taifa.
 
Kumbe hii habari ya Bashite ipo kitambo hapa Jf? Hawa TISS na mfumo wao wanapwaya
 
Aliliona hadi leo hana hata proof moja ha ha haaaaa

Ndio hawa hawa walimuanzia na wivu alipoanza kupata vyeo

Makonda oyeeeee

Lazima utakuwa na ile kitu oversize, not fit for human consuption. Mbona hujitambui?
 
Watanzania nchini Kenya wameenda uganda kuomba kibali Burundi cha kuishi Rwanda

Sio lazima uelewe..!!
 
Huyu bwana DC wa Kinondoni miaka ya 2000 enzi hizo aliitwa Daudi Bashite. Lakini ajabu alipojiunga na Chuo cha Ushiriki akaanza kuitwa Paul Makonda.Sifahamu kivipi anaitwa Makonda leo hii
Daud Bashite, Paul Makonda, Mkuu wa wilaya, Mkuu wa mkoa sasa hivi ni first,,,,,,,,,,
 
Huyu bwana DC wa Kinondoni miaka ya 2000 enzi hizo aliitwa Daudi Bashite. Lakini ajabu alipojiunga na Chuo cha Ushiriki akaanza kuitwa Paul Makonda.Sifahamu kivipi anaitwa Makonda leo hii
Pamoja na juhudi zote za kumpaka matope wauza unga mmemshindwa Makonda. Sasa unapoendeleza issue bashite,bashite,unatuboa !!
 
Pamoja na juhudi zote za kumpaka matope wauza unga mmemshindwa Makonda. Sasa unapoendeleza issue bashite,bashite,unatuboa !!
Hivi CCM mlizaliwa na mama mmoja,wote mnakurupuka kuanzia juu mpaka chini
 
Duuuh kumbe ishu ya Bashite wa Koromije imeanza kitambo 2015 kabisa.
Afu jamaa yupo kimya na anaendelea kutia ubabe hadi wa kutikisa nchi.
 
Kwa hii thread ya kitambo ni uthibitisho tosha kuwa Daudi Albert Bashite ndiye anaejiita Paul Makonda leo hii
 
Back
Top Bottom