Kutoka Daudi Bashite mpaka Paul Makonda

Kutoka Daudi Bashite mpaka Paul Makonda

Huyu bwana DC wa Kinondoni miaka ya 2000 enzi hizo aliitwa Daudi Bashite. Lakini ajabu alipojiunga na Chuo cha Ushiriki akaanza kuitwa Paul Makonda.Sifahamu kivipi anaitwa Makonda leo hii

Makubwa haya!
Mkuu Msingi kasomea wapi?
 
Mengine majungu tu na kutaka kumkandia mtu, kwani kubadilisha jina kuna ajabu gani? yeye kaamua kubadilisha wewe unaona nongwa kwani jina lako lake punguza ujinga.
 
Huyu bwana DC wa Kinondoni miaka ya 2000 enzi hizo aliitwa Daudi Bashite. Lakini ajabu alipojiunga na Chuo cha Ushiriki akaanza kuitwa Paul Makonda.Sifahamu kivipi anaitwa Makonda leo hii

yale yale ya mzee wa div 5
 
Dah, watu ni wabaya mmefukunyua mafaili hadi ya zamani. Usiombe kugombana na mwandishi wa habari za kiuchunguzi atakuchunguza hata umekula nini. Mkuu mautingo umeingia choo cha kike kwa Kubenea cc Lizaboni

Huyo mwandishi alikuwa wapi kuandika hayo!! Kalamu ya Mwandishi makini huelemisha jamii kwa mambo ya msingi na siyo ya kuumbuana na majungu. Ni dhahiri Huyo ni mwandishi uchwara. Kama kweli aliyetoa hiyo taarifa ni Mwandishi wa Kubenea naye ataisoma namba.

TAFAKARI CHUKUA HATUA.
 
Last edited by a moderator:
Thinking capacity yake tu inaonyesha ualakini! Kwa Kubenea ametua, atulie alinywe vizuri
 
Huyu jamaa jina lake la utotoni ni Daud paul bashite, lkn miaka ile ya 2000 akiwa chuoni wanachuo wenzake walipenda kumuita jina la baba yake yaani paul, sasa kw vile kulikuwa na akina paul wengi pale chuo walitofautishwa kwa makabila yao,
Kwa hiyo huyu tunaemuongelea hapa aliitwa paul makonde.sasa baada ya chuo akalipotezea hili jana makonde na kujiita paul makonda
(tango poli)

hahaha mkuu umenikumbusha mbali sana....eti tango poli. Makinda bhana
 
Huyu atakuwa alitumia vyeti feki vya mtu mwingine ili kupata nafasi chuoni hapo, huu mchezo upo Sana, cheti chake cha kuzaliwa kichunguzwe upya kwa umakini
 
Huyu jamaa jina lake la utotoni ni Daud paul bashite, lkn miaka ile ya 2000 akiwa chuoni wanachuo wenzake walipenda kumuita jina la baba yake yaani paul, sasa kw vile kulikuwa na akina paul wengi pale chuo walitofautishwa kwa makabila yao,
Kwa hiyo huyu tunaemuongelea hapa aliitwa paul makonde.sasa baada ya chuo akalipotezea hili jana makonde na kujiita paul makonda
(tango poli)
Usitufanye wajinga, vyeti vya shule na kuzaliwa viliandikwa daudi bashite, alafu kirahisi tu unajibalisha Jina?!
 
Mbona hata Kubenea mwaka 1995 alikuwa anaitwa Sarah? Iko simple like that, kutype kitu roho inataka ni rahisi sana!
Alafu nimemsikia mbunge wa Ubungo EATV, jamaa ni kilaza, yaani hoja zake nyepesi sana, yaani msingi wake wa hoja ni mimi ni mpinzani, serikali ikienda kulia mimo naenda kushoto, haijalishi ni zuri au baya!

Kwa ufupi, inaingia mara mia kwa Mnyika! Anasema yeye hapendi unafki? Kweli? Mwanahalisi na Lowassa!
Eti yeye ni mkweli? Kweli?

Ni nunda! Ubungo mmepata kilaza.
Utetezi wa kiumbavu huu! hapa tunajadili mtu kubadili majina wewe unakuja na mitakataka yako! ----- wewe!
 
Lisemwalo lipo kama halipo ............., huu msemo unaweza kuwa kweli?
 
Leo amepigwa ngumi chini ya mkanda kwenye gazeti la Mawio
 
Mbona hata Kubenea mwaka 1995 alikuwa anaitwa Sarah? Iko simple like that, kutype kitu roho inataka ni rahisi sana!
Alafu nimemsikia mbunge wa Ubungo EATV, jamaa ni kilaza, yaani hoja zake nyepesi sana, yaani msingi wake wa hoja ni mimi ni mpinzani, serikali ikienda kulia mimo naenda kushoto, haijalishi ni zuri au baya!

Kwa ufupi, inaingia mara mia kwa Mnyika! Anasema yeye hapendi unafki? Kweli? Mwanahalisi na Lowassa!
Eti yeye ni mkweli? Kweli?

Ni nunda! Ubungo mmepata kilaza.

Mimi nina mpango wa kuhama mabibo, siwezi kukaa jimbo analoongoza na kilaza huyu. ni aibu kkubwa sana kuwa na mbunge asiyejua hata mahali pa kuanzia, hivi kubenea asili yake wapi!
 
Ni Watanzania wachache sana jina la primary school,o level,advance level mpaka chuo liwe ilo ilo ni kwa wale walio pass..huu mtindo wa kutafuta credit wengi wameishia kununua matokeo ya watu..
 
Back
Top Bottom