kuna mtu ambae amekuja kwako kukuomba ajira mkuu?
 
Biashara hii,nikeifanya nilipokuwa dar,nilikuwa naagiza kutoka bukoba nilianza ndio moja kubwa mpaka nikafika ndoo tano,nikaanza na kuuza jumla sema zile bhana Zina msimu,wake nilipanga kununua mpaka niweke stoo sema Mambo yalibadilika ikabidi nihame mkoa
 
Mkuu unasema kweli kabisa biashara ya chakula inalipa sana. Kwasababu mtanzania ana hulka ya kupenda na kuendekeza kulakula tuuu.
 
Nitahitaji ushauri wako. Mtaji ninao Mimi ni bihawana graduate wa CBA
 
Kwa nini una post thread hii mara ya 2. Uliileta sikumbuki mwezi upi, je kwa nini?
 
Mkuu ntakutafuta ndugu yangu unipe njia na mimi mlalahoi niangalie fursa ya kupita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…