Kutoka CHADEMA: Updates juu ya msiba wa Mheshimiwa Regia Estelatus Mtema

Upumzike kwa amani Dada Regia, ni vigumu kuamini hili lililotokea ila maisha yetu wanadamu ni kama maua huchanua na kusinyaa kisha kuanguka baada ya muda.Bwana ametoa Bwana ametwaa Jina la Bwana Libarikiwe.Amen.
 
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi.Tukiwa na afya miaka 70 na ukijaliwa bas ni miaka 80
 
Regia kwa nn umetuacha mapema hivi dada yetu? Hakika umetuachia pigo mujalabu wanachadema na watz...we will miss you regia! Especially here in JF!
Pumzika kwa amani dada regia!
 
naomba kufanyike marekebisho kwenye maelezo hapo juu AMEFARIKI TAREHE 14 JANUARI 2012 na si 2011
 
47f3b105-f9e1-4bc5-ab78-3b0fe19d6f97.jpg




Regia Estelatus Mtema,
You shall live in the hearts of those who loved you
And will thus never die or be forgotten!
RIP !
 
R.I.P dada Regia Mtema, hatuta sahau mchango wako hapa Jf. Tunakuombea pumziko la milele
 
Gone too soon & too young ! we will miss you very much !
Mungu akurehemu Regia upumzike kwa amani !
 
Mungu ameona ufanisi wake akaamua ampangie kazi nyingine Mbinguni! CDM Mungu anampango wake!
 
"Wema hawana maisha" Mungu ailaze roho ya Dada yetu,kamanda wetu,mtetezi wetu.Mungu amlaze mahala pema peponi,nimeumia sana ila sina uwezo wa kumludisha tena duniani,Kazi yake Mora haina makosa.
 
Ooh! shocking news. This is a time the people of our country needs most, why, why Mtema why?
 
Poleni Sana ndugu zake Regia, Jamaa na Marafiki wote;

Poleni chadema na wanasiasa wote Tanzania, Poleni sana JF members

Nimeguswa sana na kifo hiki, it is just too early ...that's all I can say!

R.I.P Regia,
 
Mbona nimeshindwa kuamini nilichosoma; so soon!! Ulikuwa active sana katika mambo mbali mbali ya kijamii kiasi kuwa umetuachia pengo kubwa sana sisi wafuasi wako.

Hata hivyo, kazi ya Mungu haina makosa.

Tangulia kwa amani, na ninakuombea kwa aliyekuita akupumzishe mahala pema peponi
 
Back
Top Bottom