Kutoka CHADEMA: Updates juu ya msiba wa Mheshimiwa Regia Estelatus Mtema

msaidizi wake wa kazi nae amefariki mda mfupi uliopita....alikuwa nae ndani ya gari
 
Raha ya milele umpe ehee bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani...Poleni Chadema na familia nzima ya Mtema kwa msiba mkubwa uliowafika..
 
AMEN...AMEN...AMEN!

Mh.umetangulia lakini nasi ipo siku tutafata,Mungu akurehemu milele!
 
Njia uliyoiendea ni njia ya ulimwengu wote, umetangulia sisi tupo nyuma yako tunakuja huko. Mwenyezi Mungu utuongoze sisi waja wako pindi mauti ikitufika tulale na tusife, ili ujapo tufufuliwe nawe na kwenda katika makao ya amani mbinguni. Amen
 
wanaharakati wa mageuzi,tumeondokewa na mmoja wawapigania haki za wanyonge,kuvunjika koleo si mwisho wa uhunzi,changamoto ulizotuachia katika kipiindi hiki kigumu ni chachu ya maendeleo katika harakati za kulikomboa taifa hili toka kwenye mikono dhalimu ya wachumia tumbo.Mungu ilaze mahali pema peponi roho ya mwanamapinduzi Regea Mtema ameen
 
So hard to believe, but it's true she is gone! R.I.P. Kamanda Regia
 
msaidizi wake wa kazi nae amefariki mda mfupi uliopita....alikuwa nae ndani ya gari

Aaaah pole jamani. Maumivu juu ya maumivu. Mwenyezi Mungu wasaidie majeruhi walio hospital waweze kupona.
 
Innallillah, I had a chat with her only on Thursday as late as 10pm! Kazi ya Mungu Haina makosa. Yeye mbele sisi nyuma
 
Tumaini Maken na Wana JF,

Nawapa pole wote tulioguswa na Msiba wa Mwanaharakati, Dada, na Mpiganaji wetu Regia Mtema, kazi ya Mungu haina makosa, tumshukuru Mungu kwa kila Jambo, Bwana alitoa na Bwana alitwaa na Jina la Bwana na Lihimidiwe, Amina
 
Back
Top Bottom