Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,020
tangu asubuhi Kptn Komba hajala, tumbo litakua limejaa gesi sana.
Sasa wewe unataka kutuondelea mood ya kuendelea na hii thread, huyu mtu wako ungekwenda kumpost kwingine, tupo na Invisible kwenye hii thread usitutafutie ban bure ndugu yangu.:disapointed::disapointed:
Akipita le mutuz najivua uanachama JFKwa hali ya kawaida Le Mutuz hapiti ......
si mda uchaguzi utaanza,kwa sasa spika makinda anasoma kanuni na sheria zilizounda bunge hilo na haki ya bunge letu kuchagua watanzania kutuwakilisha afrika mash.
spika amekataa mwongozo wa mbunge aliekuwa anataka kuomba kwake.
tufuatilie
my take;haki itendeke
Matokeo:
Name Patry
Kwa hali ya kawaida Le Mutuz hapiti ......
Kweli hii inahitaji thread yake...Anzisha thread yake hapa tusichanganyane.....
UWT = Umoja wa wanawake WA ccm Tanzania
UWT= TISS
Which is which!!!!......
Kwa hali ya kawaida Le Mutuz hapiti ......
Jamaa atkuwa ameshatoa oda ya nyama choma akitoka hapo ni nduki mbaya...tangu asubuhi Kptn Komba hajala, tumbo litakua limejaa gesi sana.
Usibishane na sisi tunaosafiri kwenye nchi hizo, American Embassy sasa Document is not necessary, sio lazima upinge hata vile ambavyo huna ufahamu navyo. unatumia Internet tafuta hizi taarifa utazipata online.Sio kweli wala kingereza sio kigezo cha wewe kupata viza Uingereza na Marekani Docoment zikiwa vizuri unapewa viza.
tangu asubuhi Kptn Komba hajala, tumbo litakua limejaa gesi sana.
Kukosoa ung'en'ge wa wenzako ni rahisi sana. Ona na wewe unaiponda lugha ya Malkia..... hapo unaandika utakavyo, sasa ukisimamishwa mbele ya watu (50 tu) si utaibomoa kabisa? Sahihisha hiyo red.
komba ameingia kwa siri na mishikaki yake minne na pilipili .... ameonekana akijifuta futa midomo kila mara
Huyo baharia ndio kachemka vibaya...NAONA MMEIONA TOFAUTI YA Makongoro na mijitu inayozurura ujana wotee usiku umeingia yanarudi Tanzania kuganga njaa kwenye siasa.
Kwa hali ya kawaida Le Mutuz hapiti ......
Kijana Wonders shall never end in this country, CCM wao huwa hawaangali vigezo wanapopiga kura, usije kushangaa Huyo Le Mutuz ndio akaongoza kwa kura nyingi na Madam Kessy akapata kura 10. usitoe hicho kiapa, nadhani hata Spika wa Bunge unajuwa amepatikanaje.Akipita le mutuz najivua uanachama JF
Matokeo:
Name
Patry Williama malechela
ccm
shyrose
ccm
makongoro
ccm
mwinyi
ccm
Nime i add/ like Tunein Mkuu.
Bab kubwa. Huyo Makinda anaendesha bunge kama shule ya msingi!