Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

Mkuu, umesababisha nicheke!
ni bahati naye Invisible yumo humu.
Lakini "huyo mtu" ukweli huwa anakera sana!! yaani hii ndiyo priority sasa!

Sasa wewe unataka kutuondelea mood ya kuendelea na hii thread, huyu mtu wako ungekwenda kumpost kwingine, tupo na Invisible kwenye hii thread usitutafutie ban bure ndugu yangu.:disapointed::disapointed:
 
Kwa hali ya kawaida Le Mutuz hapiti ......


kumbe hata wewe umeona?....ujana mzima ameutumia kuzurura nje ya nchi usiku umeingia ndo anarudi kutaka kuitumia nchi......we si umeona tofauti kati ya le mutuz na makongoro
 
Kwa hali ya kawaida Le Mutuz hapiti ......

Even in normal & abnormal case.... he is below standard .... kapitwa mbali sana sana....the balling is rolling against him surely hata yy anajua....maskini Le Mutuz....
 
Sio kweli wala kingereza sio kigezo cha wewe kupata viza Uingereza na Marekani Docoment zikiwa vizuri unapewa viza.
Usibishane na sisi tunaosafiri kwenye nchi hizo, American Embassy sasa Document is not necessary, sio lazima upinge hata vile ambavyo huna ufahamu navyo. unatumia Internet tafuta hizi taarifa utazipata online.
Viza ya UK na US inadepends on urself na siyo makaratasi.
 
Kukosoa ung'en'ge wa wenzako ni rahisi sana. Ona na wewe unaiponda lugha ya Malkia..... hapo unaandika utakavyo, sasa ukisimamishwa mbele ya watu (50 tu) si utaibomoa kabisa? Sahihisha hiyo red.

Hahahahaaaa umeona eeeh? Yaani kiujumla kukosoa ni kazi rahisi sana.

Kwa hiyo mimi hao wagombea wote nawapa pongezi kwani inahitaji ujasiri sana kusimama mbele ya watu wote hao na kujenga hoja zako.

Inawezekana kabisa wengine ni watendaji na wachapakazi waadilifu lakini si wazuri kihivyo katika kuongea mbele ya watu hivyo kupelekea kuonekana kana kwamba wao siyo "vichwa" (hili neno hata sijuagi maana yake).

Pongezi maalumu ziende kwa William. Hata kama hatapita kile kitendo chake cha kuthubutu kujitosa kwenye kinyang'anyiro kuliko kujificha kwenye mitovuti na majina bandia na kurusha madongo, kulalamika, na kulialia, yeye aliamua kufanya kweli, kitendo chake hicho kinahitaji pongezi.
 
kwikwiwkwiwwiiiwiwiw chingereza chidaaaaaaaaaaaaaa kwelikweli nafikiri jf ingekuwa lazima kuchangia kingereza wengi tungekuwa outttttttttttttttttttttt
uzi huu ni burudani kabisa
 
Kwa hali ya kawaida Le Mutuz hapiti ......
suntzu16_1024.jpg
 
Akipita le mutuz najivua uanachama JF
Kijana Wonders shall never end in this country, CCM wao huwa hawaangali vigezo wanapopiga kura, usije kushangaa Huyo Le Mutuz ndio akaongoza kwa kura nyingi na Madam Kessy akapata kura 10. usitoe hicho kiapa, nadhani hata Spika wa Bunge unajuwa amepatikanaje.
 
Nimemuona mheshimiwa Adam Malima akidesa aka akipiga chabo kura aliyopiga mwenzake.Huyu Adam Malima ni bonge la kilaza yeye muda wote anawaza totozi.
 
Back
Top Bottom