Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

Naona JF tunachukulia simple sana hii kitu..watu kijasho kinawatoka hapo

Hebu jiweke wewe ndo uko kwenye kikaango hicho kama hujaanza ze ze na yes yes nyingi na kusahau point zote .......
Au kuzimia kambisa unafanya mchezo kuongea mbele ya waheshimiwa tena kigereza....hahahahaha
 
s#
name
vote
party
1
*
*
*
2
*
*
*
3
*
*
*
4
*
*
*
5
*
*
*
6
*
*
*
7
*
*
*
8
*
*
*
9
*
*
*
 
  • Thanks
Reactions: EMT
babu hataki kukubali ukweli......alikuwa anataka makongoro aongee huku amekza ulimi .....jasiri haachi asili...

Mkuu nlishafuta kauli. Jamaa ni kichwa bana.

Kumbe alishakamata diploma yake Urusi afu yuko mbioni kujikamatia Masters yake.
 
Nafuta kauli mkuu. Unajua alivyoanza na habari ya vita vya Iddi Amin nikashtuka kidogo na kuhisi atakuwa bonge la kilaza. Lakini kadri muda ulivyosonga mbele akaniprove wrong.

I vote for Makongoro.
Ha ha ha haaah!! Babu hatimae umemkubali??
 
Au kuzimia kambisa unafanya mchezo kuongea mbele ya waheshimiwa tena kigereza....hahahahaha

Hahahaaaa kweli aisee. Hata mimi nadhani Kiingereza ndiyo kinaweza kuharibu kabisa na kukufanya usionekane "kichwa".

Ila kama kuna mtu alikuwa na shaka kuwa Kiingereza ni dili basi hilo shaka aliondoe kabisa. Kiingereza ni dili na kitakubeba kwa mambo mengi sana.

Wewe hata hapa ukiandika Kiingereza halafu kionekane kiko tofauti na cha wengine utapata washobokaji wengi tu. Nakumbuka enzi za Bluray....teh teh teh!!!!

Sisi bado kabisa hatujakomboka kifikra.
 
huyo bernad musomi murunya hamna kitu,ameshindwa kuliendeleza shirika la hifadhi ya wanyama pori,wanyama wote wameibwa wamejazana kwenye zoo za uarabuni,mwizi huyo hafai kabisa,watanzania tuache zana ya kua ukiongea kiingereza kwa ufasaha basi wewe ni msomi na unafaa kwenye kila jambo.wabongo uzalendo hatuna na itachukua muda sana kuja kuwafikia wenzentu.serekali ya kifamilia na kujuana ndio sera inayoendelezwa na wabunge wa sisiemu.
 
Komba atakuwa kam_pm spika akanywe valeur arudi,awezi vumilia arosto muda mrefu ktk kiti.afu lusinde na komba mbona hawakuuliza maswali? A wish Lema angekuwepo msikie gramma engl yake ilivo poa
 
kijana wetu aliyetoka kuzurura anaweza kupita leo?

Kwa kuhalisia hapaswi kupita ila kwa magamba hakuna lisilowezekana.

Kuna hatari hili bunge likawa na Nyerere, Mwinyi, Bilal, Malecela.

Ole wetu ambao baba zetu waliishia kuwa wakulima.
 
Back
Top Bottom