Kutoka Bungeni-Star TV wamnyima coverage Mbunge Hines CHADEMA Ilemela

Wakuu, redio yao yaani Radio Free Africa huwa wanajiunga na matangazo ya sauti ya Ujerumani na BBC Idhaa za kiswahili.

Sasa kama hamku note wakati ule wa sakata la kukamatwa kwa Mbowe, kila idhaa hizo zilipokuwa zinaripoti kuhusu sakata hilo RFA walikuwa wanakata matangazo! Tangu hapo idhaa za nje nazitafuta kupitia vituo tofauti vya redio.
 
By the way ben nimesubiri kipindi lakini naona kitu tofauti.Angelo mwaleka yupo na akina meena wanajadili juu ya uandishi wa habari za siasa na uchumi.Hujatujulisha kama ulicancell ben!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom