Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,446
Wenje anasema elimu ni haki na si upendeleo, CCM imeifanya elimu kwa wananchi ni previledge na matokeo yake ni kunyima fursa watu kusoma na kumtolea nafasi mheshimiwa Lusinde kuwa matunda ya mfumo huo wa CCM, amekosa elimu kwa sababu tu muono hasi wa CCM na kumsihi Waziri Nahodha alione hilo....
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
Bora ya Malecela kuliko huyo Lusinde maana alicho ongea sijui kinawasaidiaje wapiga kura wake.