Kutoka Bungeni: 2006 - 2010

Kutoka Bungeni: 2006 - 2010

Zitto hamjamwelewa wote; sikuitafika mtamwelewa; hope ANA HAKI; ANA NAFASI; TA KUONGEA; kama wewe unavyojikunja ktk keyboard; ZITTO aliteleza; YES; lakini hope hajatueleza tu undani wa kile alichokuwa anakitetea; else bado ndio sheria ovyo imepita; eti zitto asiseme
 
hakuna chochote mpaka sasa rais mwenyewe kachelewa mpaka sasa haonekani
 
ndo raisi kaanza!!! cha ajabu kaingia katanguliwa na lowasa
 
hakuna chochote mpaka sasa rais mwenyewe kachelewa mpaka sasa haonekani
 
KWELI BADO TUPO KIZANI. YANI WATU WANATARAJI KITU KUTOKA KWA JK

HAPO HAKUNA KITU NI POROJO TU, NA NDO MAANA KAKIMBILIA KWA WAZEE.....WATAPELEKWA KWA USAFIRI WA FEDHA ZA WALIPA KODI, WATAPEWA KAPOSHO....BAADAYE WATATOA KAHOTUBA KALIKO EDITIWA NA WANA-CCM WENZIE

Kwa mtu yeyote aliyekulia ndani ya ccm na kufanya kazi ccm basi ujue ni porojo tu na majungu

nenda ofisi ya ccm sasa hivi ukaone wanachofanya....wanafikiria uchaguzi, posho kwisha

TANZANIA WILL NEVER EVR DEVELOP UNDER CCM
hahahhaha unanichekesha unaposema
"Kwa mtu yeyote aliyekulia ndani ya ccm na kufanya kazi ccm basi ujue ni porojo tu na majungu nenda ofisi ya ccm sasa hivi ukaone wanachofanya....wanafikiria uchaguzi, posho kwisha,TANZANIA WILL NEVER EVR DEVELOP UNDER CCM"
mzeee wa usafi nambie yupi kati ya viongozi hao wa upinzani ambaye hajawahi kuwa mwana CCM, kufanya kazi ndani ya CCM?
AND out of curiousity chama kipi au kiongozi yupi unaona anafaaa ambaye atafanya maajabu akipewa nchi among upinzani?
 
NgomaNzito,
ZITTO awaache WASAFI WAONGEE!that is how politicians do!
unajua viongozi wetu 'uroho' umewatawala.wanashindwa hata kuimitate what the 'developed-countries' politicians' are doing.

ZITTO has lost his TASTE!he is TASTELESS.
awaache WASAFI WAONGEE!
Sio kweli kabisa, Zitto sio mchafu kiasi cha kutojaliwa katika hoja zake. Zitto alipishana na wengi katika suala la kimtizamo juu ya ununuzi wa mitambo ya umeme. Na bahati mbaya ni kuwa watu wengi hawawapendi wale wanaosimamia katika kile wanachokiamini na hasa kama hakipendwi nao.
Kauli za Zitto leo Bungeni ni za kupongezwa maana ndicho alichotumwa na waliomchagua
 
hakuna chochote mpaka sasa rais mwenyewe kachelewa mpaka sasa haonekani
 
hakuna chochote mpaka sasa rais mwenyewe kachelewa mpaka sasa haonekani
 
jamani jana jioni nilipo rudi kibaruani kwangu na kujipumzisha sebuleni huku nikiangalia kipindi kutoka bungeni tbc1

mara nikamuona mzee mudhihir akichangia bajeti kwa maneno makali sana na akimtuhumu waziri hadharani na kumfananisha na joka la mdimu

anasema waziri huyo anakwamisha ujenzi wa kiwanda cha saruji jimboni kwake kisa ni yeye mudhihir maana akisikia waziri jina la mudhihir huwa kama aliekuwa na mimba anakuwa hajifai huhitaji ndimu na mbirimbi mbichi

kwa kweli vijembe na lugha za kuudhi zilikuwa nyingi hadi nikajiuliza kuna nn nyuma ya pazia tusichokijua
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi nilisikia, lakini alisema waziri wa mikoa ya kusini, siyo nyanda za juu kusini!
Hebo tueleze, imekuwaje akawa Mwandosya?
Tena Mwandosya ni Prof siyo Dr!!! vipi mkuu, uko sawasawa??!
 
Huyu jamaa kazi ya ziada ni kutunga mashairi ya nyimbo mbalimbali ikiwemo taarabu. Pengine ni namna ambayo yeye ameona itakuwa nzuri kuufikisha ujumbe kwa walengwa. Kwakuwa hakusema jina si vizuri kutamka alimsema nani maana inawezekana kabisa kukosea.
 
Hata mimi nilisikia ule mcahngo wa Mudhihir. Hakuna taja jina a mtu yeyote kwenye mchango wake. Sidhani kama ni busara kutaja majina ya viongozi hapa... Nakumbuka hata jana, Spika katika kutoa mwongozo wake, alisema si busara kutaja jina la mtu anayetuhumiwa Bungeni, maana kutavuruga amani....
 
Ujenzi wa kiwanda cha saruji na waziri wa maji ni wapi na wapi?

Mwanzilishi wa thread kama umeamua kutaja jina la prof. Mwandosya basi ungefafanua zaidi kwanini unadhani yeye ndiye alikuwa anaongelewa?
 
Prof Mwandosya anahusika vipi na ujenzi wa kiwanda cha saruji?
 
huyu jamaa jina la mwandosya limemkaa sana kichwani,
 
Back
Top Bottom