Kutoka Bungeni: 2006 - 2010

Kutoka Bungeni: 2006 - 2010

HABARI kubwa leo ni jakaya alikuwa ahutubue bunge ..laakini last touches wamesema kuwa atahutubia wabunge kupitia wazee wa mkoa wa dodoma...hii ina maana kuwa hotuba yake haitaweza kujadiliwa rasmi na wabunge kwa kuwa haijatolewa bungeni...

watu wanajiuliza kisa cha kikwete kukimbia wabunge .....na zaidi inahusishwa na kebehi alizopewa na spika wa bunge mara ya mwisho alipohutubia ...hatua iliyopelekea ikulu kususa kupeleka copies za hotuba ya rais kama fomalities zinavyotaka ili waijadili....ile ilikuwa hotuba pekee kutolewa na rais bungeni na isijadiliwe[tangu tupate uhuru]...

Yes, It was such an empty worded speech. Mungu apishe mbali isijirudie tena. Bora awahutubie 'wazee wa kigogo'
 
Kawakimbia wabunge coz hataki ajadiliwe, inaeleweka hotuba zake huwa zimejaa pumba most of the time!!
 
Hivi wakuu, huu utaratibu wa kuhutubia 'wazee' umekaaje nchi hii? hao wazee ni kina nani hasa na mtu anatakiwa awe na umri/qualification gani ili aweze kuingia kwneye hicho kikao cha 'wazee'? je ni wale waliopigania uhuru? kama ndivyo ni wangapi wapo hai, na kama wapo, wana uelewa gani wa mambo yanayoendelea sasa hivi duniani?

naombeni msaada wenu katika hili, maana kila kukicha nasikia mara raisi analihutubia taifa 'kupitia wazee' mara leo atahutubia WABUNGE....jamani WABUNGE.....kupitia 'wazee' vilevile....sasa sijui tunakoelekea ni wapi? Na hapa sina maana ya kuwadharau wazee, hapana, ningependa tu kujua hao 'wazee' wa miaka yote ni kina nani hasa? tangu uhuru?
 
Inaweza kuwa speech ya kawaida kama zile za mwisho wa mwezi na atayaongelea yale yaliyo kwenye agenda ya serikali yake na siyo ajenda za wapinzani wake.
 
Hata akiongea mazuri yenye mantiki, kama ile hotuba yake ya kwanza bungeni alipochaguliwa (hotubal ilisifiwa hadi na wapinzani); tatizo ni utekelezaji, coz yale tu ya wakati ule hatuoni kitu.

Issue ni utekelezaji mazee!
 
Mkubwa leo kwanza atacheka cheka na wazee, na kuelezea ya usa na muda utakuwa umeisha....ila sidhani kama ataruhusu maswali ahaa ha ataruhusu kumbe anachukuwa wazee ambao baadhi hata net work zimekata ili awadanganye/wasimshone maswali magumu.
 
Hivi wakuu, huu utaratibu wa kuhutubia 'wazee' umekaaje nchi hii? hao wazee ni kina nani hasa na mtu anatakiwa awe na umri/qualification gani ili aweze kuingia kwneye hicho kikao cha 'wazee'? je ni wale waliopigania uhuru? kama ndivyo ni wangapi wapo hai, na kama wapo, wana uelewa gani wa mambo yanayoendelea sasa hivi duniani?

naombeni msaada wenu katika hili, maana kila kukicha nasikia mara raisi analihutubia taifa 'kupitia wazee' mara leo atahutubia WABUNGE....jamani WABUNGE.....kupitia 'wazee' vilevile....sasa sijui tunakoelekea ni wapi? Na hapa sina maana ya kuwadharau wazee, hapana, ningependa tu kujua hao 'wazee' wa miaka yote ni kina nani hasa? tangu uhuru?

....MZEE anaye qualify kuingia kwenye kundi hili ni wale wanaokaa vibarazani au mashambani...wasioweza kuhoji zaidi ..ya kusubiria mgawo wa tzs 10,000 na usafiri wa basi kuwarudisha baada ya pilao na soda baada ya hotuba.......ccm bank on our poverty.....sijawahi kuona wazee wajanja wajanja kama retired seniour civil servants au proffessionals wajihudhuria hizi hotuba ......infact hotuba za wazee enzi ya mwalimu zilikuwa na lengo la kisiasa zaidi kuliko issues serious...hata mzee mwinyi alizitumia hivyo....kwa issue anayotaka kuongelea rais ya uchumi na mtikisiko nina mashaka kama wazee watamuelewa na nabaki kuamini kuwa bungeni ingekuwa ndio sehemu muafaka ili ipate kuchambuliwa ipasavyo....
 
Hata akiongea mazuri yenye mantiki, kama ile hotuba yake ya kwanza bungeni alipochaguliwa (hotubal ilisifiwa hadi na wapinzani); tatizo ni utekelezaji, coz yale tu ya wakati ule hatuoni kitu.

Issue ni utekelezaji mazee!

Mkuu, ile hotuba ya mwanzo unayoizungumzia inaelekea alikuwa ameandaliwa na wala hakuwa na inputs zozote. Ndio maana ilisifiwa na hakuitekeleza. Maana inawezekana hakuielewa wala kuiamini.

Mkuu, hata kampeni zake zilifanywa ki-program na wahusika waliomuandalia program ile ndio waliokuwa wakiziendesha (EL, RA, AK na wengine). Yeye hakuwa na input yoyote katika yote. Sasa hivi hao waliokuwa wakimuandalia mambo hayo wako nje ya ulingo. Labda awaite wamsaidie tena, ndipo si ajabu tukasikia hoja zenye mshiko.
 
....MZEE anaye qualify kuingia kwenye kundi hili ni wale wanaokaa vibarazani au mashambani...wasioweza kuhoji zaidi ..ya kusubiria mgawo wa tzs 10,000 na usafiri wa basi kuwarudisha baada ya pilao na soda baada ya hotuba.......ccm bank on our poverty.....sijawahi kuona wazee wajanja wajanja kama retired seniour civil servants au proffessionals wajihudhuria hizi hotuba ......infact hotuba za wazee enzi ya mwalimu zilikuwa na lengo la kisiasa zaidi kuliko issues serious...hata mzee mwinyi alizitumia hivyo....kwa issue anayotaka kuongelea rais ya uchumi na mtikisiko nina mashaka kama wazee watamuelewa na nabaki kuamini kuwa bungeni ingekuwa ndio sehemu muafaka ili ipate kuchambuliwa ipasavyo....

kwa hiyo inaniaminisha kuwa kuna kitu anakikwepa hapo kuhutubia wabunge, sasa kama amefikia hapo, kwa nini tusiitishe uchaguzi wa mapema tu kama hawezi kuwaface wajamaa wa chama chake? si ndo wako wengi? au kuna rebellions?
 
Hivi wakuu, huu utaratibu wa kuhutubia 'wazee' umekaaje nchi hii? hao wazee ni kina nani hasa na mtu anatakiwa awe na umri/qualification gani ili aweze kuingia kwneye hicho kikao cha 'wazee'? je ni wale waliopigania uhuru? kama ndivyo ni wangapi wapo hai, na kama wapo, wana uelewa gani wa mambo yanayoendelea sasa hivi duniani?

naombeni msaada wenu katika hili, maana kila kukicha nasikia mara raisi analihutubia taifa 'kupitia wazee' mara leo atahutubia WABUNGE....jamani WABUNGE.....kupitia 'wazee' vilevile....sasa sijui tunakoelekea ni wapi? Na hapa sina maana ya kuwadharau wazee, hapana, ningependa tu kujua hao 'wazee' wa miaka yote ni kina nani hasa? tangu uhuru?

The so called "wazee" ni wale wapambe wa CCM ambao kazi yao kubwa ni kupiga makofi na kuchekacheka kila mkulu anapozungumza hata kama ni pumba.

Sifa yao nyingine ni kupeleka majungu kwa mkulu kupitia mgongo wao huo wa "wazee"

Na kama alivyoeleza PM hapo juu, mshahara wa hawa jamaa ni msosi, pombe na soda na posho isiyozidi 10,000/= pamoja na usafiri wakati mwingine haupebwa hata kwenye malori.
 
kwa hiyo inaniaminisha kuwa kuna kitu anakikwepa hapo kuhutubia wabunge, sasa kama amefikia hapo, kwa nini tusiitishe uchaguzi wa mapema tu kama hawezi kuwaface wajamaa wa chama chake? si ndo wako wengi? au kuna rebellions?

mwenzio anaogopa kebehi za sitaa..siunakumbuka last time alivyovunjiwa protocal ...na spika kwa kumuambia cha kufanya[alimuambia ...mzee tumekusikia lakini ongeza ukali...[akimaanisha awe serious zaidi]....that was a face slap to president........kwa kawaida mkuu akishatoa hotuba regardless what kinachofuatia ni kumshukuru kwa hotuba...mambo ya ku comment unawaachia wabunge mjadala ukianza....saasa naona hajarecover ...na ameligwaya bunge.......
 
Mkuu PM nakumbuka hii sehemu, lakini ndo ukweli, mbona huko UK bwana Brown kawekwa kiti moto? sisi hatujafikia hapo bado?

kama haweza kuwaface wabunge, basi tuna a vary serious problem
 
Halafu haingii akilini eti Raisi anaenda kuwaeleza wazee waliojichokea eti unajua.. mhh.. uchumi wa dunia ehee economic global crisis.. blah blah.. hivi kweli wataelewa kitu wazee wetu?

something must be very wrong somewhere!
 
..nini wabunge wanafunzi wa chuo tu pia nao anawaogopa .....mara ya mwisho kuongea nao alituma magari ya scandinavia[RIP Inasubiri bail out ya jk].....yaakaenda kuwachukua vyouni na @20,000 na fulana na kofia[jamani wasomi wetu wachache nao]...aliwapata wachache akawasomba akawapeleka diamond kuongea nao....wengine waliojazia ukumbi wakawa ni wakereketwa ambao nao walijifanya wanafunzi...

hata mkulu mwinyi anamshinda angalau alikuwa na balls za kusimama pale NKRUMAH kuongea na wanafunzi.....yeye tangu ameingia hajagusa NKRUMAH...hata juzi museveni alipokuja alikacha kumsindikiza nkrumah...siku hiyo waziri wake wa elimu alizomewa sana!
 
Halafu haingii akilini eti Raisi anaenda kuwaeleza wazee waliojichokea eti unajua.. mhh.. uchumi wa dunia ehee economic global crisis.. blah blah.. hivi kweli wataelewa kitu wazee wetu?

something must be very wrong somewhere!
Misguided-hayo yanayosemwa kuwa anataka kuyazungumza hii wala si audience yake
 
Mimi naisubiri sana siku atakapojiuzulu sababu ya afya ...ili aepuke aibu iliyo mbele yake...alidhania uraisi ni rahisi hivyo???apumzike sababu ziko nyingi sana kubwa iwe afya.....inatosha aichie nchi.........hana jipya wala hajawahi kuwa nalo
 
Hiyo ndo Ari mpya, Nguvu mpya na Kasi mpya..... never mind!!! these were just slogans
 
Back
Top Bottom