Kutoka Bungeni: 2006 - 2010

Kutoka Bungeni: 2006 - 2010

Haya ndiyo maelezo muafaka ya sheria inayozungumziwa hapa. Kila budget huwa inapitiswa kwa hiyo Finance Bill

Asante Asha kwani unatoa shule tosha kwa hawa wana ccm maana c unajua wengi uelewa wao katika mambo haya mdogo? ndiyo sababu huwa wanapitisha kila hoja mia kwa mia😱
 
CHA KUPIGANIA BUNGENI SASA NI MAFISADI WAKAMATWE NA SI NAMNA YA KUSHIRIKIANA NAO...
Haya hawa CCM waliochota pesa za EPA halafu kwa kuitumia serikali yao wakampoteza Ballali huku wakidhani ushahidi umekufa na sasa wanataka MISIFA ILI TUSONGE MBELE....

Samuel John Tegeza Sitta</STRONG>
Huyu ni mwanasiasa machachari. Kitaaluma ni mwanasheria na mtu ninayeweza kusema pasipo kusitasita, kuwa ameandika historia pekee tangu akiwa kiongozi wa juu wa Bunge.
Ni ukweli usiopingika kwamba katika kipindi cha miaka miwili na nusu tangu awe Spika, Sitta amefanikiwa kulijengea Bunge heshima ya pekee kutokana na namna alivyoweza kusimamia kwa umakini mkubwa baadhi ya masuala mazito.
Kwanza Sitta anaweza akatajwa kuwa ni Spika aliyesaidia sana kuliongezea meno na nguvu Bunge, akiliweka katika mstari sahihi wa kimaamuzi na kulijengea taswira ambayo haikupata kuwapo siku zilizopita.
Uzito wa maamuzi kama lile la kuundwa kwa Kamati Teule ya Bunge kuchunguza utata katika mkataba wa Richmond, ni ushahidi mmoja tu wa mafanikio ya Uspika wa Sitta, ambao kwa kiwango kikubwa yalimjengea heshima ya pekee ndani na nje ya Bunge.
Matokeo ya Kamati hiyo Teule ya Bunge iliyoongozwa na Dk. Harrison Mwakyembe ambayo ni pamoja na kulazimishwa kujiuzulu kwa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa, na mawaziri wengine wawili - Nazir Karamagi na Dk. Ibrahim Msabaha - yamemfanya Sitta aonekane shujaa wa kipekee ndani ya Bunge.
Richmond, kwa upande mwingine, imemfanya Sitta aonekane na achukue sura ya kuwa mpambanaji dhidi ya vitendo vya kifisadi ndani ya chama chake na pengine serikalini. Huu ni ukweli unaopaswa kuheshimiwa.
Ni jambo la bahati mbaya sana kwamba ushujaa huu wa Samuel Sitta umefikia hatua ya kumvimbisha kichwa hata kumfanya aanze kutembea kifua mbele na kujiona kuwa ni mtu asiyetaka kuguswa.
Leo hii ni kosa kubwa na baya kabisa kumgusa au kumkosoa Sitta.
Ushahidi wa maandishi unaonyesha bayana kuwa wanahabari waliopata kumgusa mwanasiasa huyo tangu alipojitwalia ushujaa katika Kashfa ya Richmond, wamejikuta wakipewa majina mabaya kabisa na wakati mwingine wakihusishwa na kundi la mafisadi.
Hivi karibuni, mwandishi mmoja wa habari wa ‘Tanzania Daima’ Jumapili; Charles Mullinda, alifanya ‘kosa’ - kwa kujua au kutojua, kwa makusudi au kwa bahati mbaya - akamgusa Sitta sehemu mbaya kwa kuandika makala moja dhidi yake.
Kwa namna ya ajabu kabisa, ukosoaji huo dhidi ya Sitta umechukua sura ya pekee. Wabunge na waandishi kadhaa wa habari wamesikika wakieleza namna Sitta alivyoshtushwa na makala hiyo hata kuiunganisha na kile alichopata kukielezea kuwa ni ‘siasa za majitaka’.
Kwa namna ile ile alivyopata kufanya wakati zilipoandikwa taarifa kuhusu tuhuma za kutumia - isivyofaa - fedha na mali nyingine za Bunge, Sitta amesikika safari hii chini chini akihusisha upinzani huo wa hoja dhidi yake na ajenda ya mafisadi kumchafua. Huu ni upuuzi.
Sitta, kwa sababu ya kile kinachoweza kuonekana kuwa ni jeuri inayotokana na matokeo ya vita dhidi ya ufisadi, amegeuka na kuwa mtu anayeweza kusema lolote baya dhidi ya watu wengine na akaaminika na hata kuonekana kuwa ni msema kweli. Hali hii lazima ifikie mwisho.
Hivi sasa kwa sababu ya ‘jeuri’ hii, maofisa wa Bunge wanaomuona Sitta kuwa shujaa wao wa vita dhidi ya ufisadi ambayo ‘Tanzania Daima’ ina kila sababu ya kutembea kifua mbele cha kupambana na tatizo hili kabla Spika huyo hajatiwa ‘wakfu wa ushujaa zama za Kamati ya Mwakyembe’, wamefikia hatua ya kuwaogopesha wanahabari kutomgusa mkuu wao wa kazi
 
Kama watanzania wenzetu wamesharogwa...Sisi tulioko Nje ya nchi BADO!

Ndugu zangu wazalendo tuwe makini kwani pesa ni nyingi walizoiba,umafia wanaujua na CCM wanalicheza TAIFA NA WATU WAKE...
Haya mambo ya KIKWETE NA LOWASSA KAMA MAFIA WAKUU WAKISAIDIWA NA MAGAIDI WENZAO WENYE RANK ZA JUU NDANI YA CHAMA TAWALA...WANATUCHEZA AKILI AMA KUTUFANYA MISUKULE...

Lowassa si alishasema mbele ya kikao chao cha KIMAFIA kuwa alimshauri TOP Mafioso KUWA RICHMOND NI UTAPELI?
Kwanini Kikwete hakusimamisha mkataba wa RICHMOND licha ya kwamba alikuwa anajua?
Kwanini hakusimamisha malipo HEWA ya EPA ambayo kutokana na wingi wake ni LAZIMA ALIKUWA NA TAARIFA?
KWANINI BALLALI HAKUWAHI KUTAJWA KAMA MTUHUMIWA LICHA YA KWAMBA ALIHUSIKA DIRECTLY NA HUKU AKIJIGAMBA NI PESA ZA IKULU?
Wapi hao wasaidizi wao ambao walisaini documents wakampelekea na yeye kusaini na kuwarudishia huku kukiwa na udhibitisho wa saini na barua kuwa serikali ilitaka pesa hizo ziltolewe KIMAFIA? Kina DEP,DDDD,DF, Director of Supervisions...HAWA MAFIA WANAWAACHA MAFIOSO MAFISADI WENZAO KWENYE KAZI ILI WAWAUWE WATU,KUWATISHA NA KUHARIBU USHAIDI!
JOHNSON MWANYIKA ambaye ni kinara wa UMAFIA wa RICHMOND NDIYE ALIYEWEKWA KUWACHUNGUZA WALIOHUSIKA NA EPA...Wanafikiri sisi ni wajinga kiasi hicho?
Wakamweka Zitto ndani ya KAPU LA UFISADI na sasa shombo EVERYWHERE!
JE TUTAFIKA?
 
Ahsante sana Zito kwa maelezo yenye uelewa na yaliyojitosheleza.Lakini ....,baada ya yote haya mwisho wake ni nini?????Tatizo langu siku zote ni kuwa hawa wanazi'CCM' wanajua yote haya mabaya lakini wanakanyagia vilevile.....wakati wa kampeni ukifika tutabembelezwa kidogo then watarudi madarakani,full stop!!..waliomo humuhumu na wadanganyika wengine ndio watasimama kutwa nzima kuwapa kula!!!!...

Zamazamani karibu jamvini
Ni kweli unayosema lakini elewa kwamba wanataka kubadirika au la hawataki hiyo haitatuzuia kuwambia ukweli ili mwisho wa siku wasidhani haatujui linaloendelea. Na daima uongo una mwisho tu. Uongo haujawahi kuibuka na ushindi wa milele. Siku zote kuna siku utaibuka umeshindwa. Amini ipo siku.
 
Swali si kwamba kuna mashamba au hamna, sijauliza comeback ya kulimwa.Niko interested kujua kama mkonge unalipa katika soko la dunia.Kuna kipindi hapa kati watu walikuwa wanatumia sana synthetic products ikawa kama mkonge hauna deal, je tunatumia resources zetu vizuri kwa kulima mkonge au tunshindwa tu kuyabadili haya mashamba ya mkonge na kulima mazao mengine yenye faida kubwa zaidi?

Hilo ndilo swali.

Kwa mtizamo wangu naona sasa dunia inakimbilia kuwa eco friendly zaidi kuliko hapo mwanzo...hivyo basi tukiangalia mbele, soko kama halipo litakuwepo.....lakini kwanza tujitosheleze sisi wenyewe...Zitto nadhani alimaanisha tufufue viwanda vyetu hapo tuta create ajira na tunaweza kuuza nje.Je kama Bangladesh wameweza ku market na kuiuza hiyo junte itakuwa uzembe wetu kutofanya hivyo
 
CCM INA SERA NZURI...ILA IMETEKWA NA MAFIOSO!
ZITTO WALIMWEKA KWENDA KUTOA USHAURI AMA KUMYAMAZISHA?
HATUTAKI MCHEZE KWENYE MATOPE!
SERA ZA MADINI NZURI ZINAJULIKANA KABLA HATA ZITTO HAJAZALIWA...UTEKELEZAJI NDIO MBOVU KWA SABABU YA VIONGOZI MAFIA MAFISADI...
Sasa hizi kelele ni za kutaka kamati nyingine ama nini?
Haya ya CCM kwenye uchaguzi wa 2005 wameshayatekeleza?
Mtakaa vipi kwenye kamati na bungeni pamojana Mafioso HUKU MIKIWA NA NDOTO YA KUTUSAIDIA WANANCHI NA TAIFA?
Mnafikiri sisi ni wapumbavu?
CCM Kuongeza kiwango cha MadiniBy Mike Mushi | Published 11/26/2005 | Habari Mpya |
CCM Kuongeza kiwango cha Madini

shein-2005-52.jpg

Chama Cha Mapinduzi kinakusudia kuongeza kiwango cha thamani ya madini kutoka asilimia 0.3 ya hivi sasa hadi kufikia asilimia 3 iwapo chama hicho kitashinda katika Uchaguzi Mkuu ujao.

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk Ali Mohamed Shein amesema pamoja na kuongeza viwango vya madini hayo pia serikali ijayo itahakikisha inatengeneza vito vya madini hapa hapa nchini ili kuweza kuuza madini kwa tija.

Dk. Shein ametoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki alipokuwa akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Londoni wilayani Manyoni.

Amesema suala la madini limepewa kipaumbele katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2005-2010 kutokana na ukweli kwamba sekta ya madini inachangia kwa kiasi kikubwa katika kuinua uchumi wa nchi.

Amewaambia wananchi waliohudhuria mkutano huo kuwa ili kufanikisha azma hiyo serikali itatoa mikopo na elimu kwa wachimbaji wadogo wadogo kwa njia ya semina na mikutano ili waweze kujua namna ya kuchimba madini hayo kitalaam.

&#65533;Baada ya kupewa mikopo, mpewe elimu kwa njia ya semina, mikutano au warsha mjue namna ya kuchimba madini hayo kitalaam&#65533;. Aliwaeleza wananchi hao ambao wengi wao ni wachimbaji wadogo wadogo wa dhahabu katika eneo hilo.

Dk. Shein amethibitisha kuwa serikali ya awamu ya nne itaendelea kukaribisha wawekezaji wakubwa katika sekta ya madini na pia itaangalia upya sera yake ya madini ili iweze kuwanufaisha wadau wote.

Amesisitiza wananchi wakichague Chama Cha Mapinduzi kwa kuwa ndio chama pekee kinachoonyesha jitihada za kuwawezesha wachimbaji wadogo wadogo kuweza kupambana na umasikini hali ambayo hatmae itawafanya kuwa na maisha bora.

Katika hatua nyingine Mgombea Mwenza huyo amewataka wachimbaji wadogo wa madini nchini kutumia fedha wanazozipata kwa kujijenga kimaisha kwa kuwa na nyumba bora, kutunza afya zao na kusomesha watoto na sio kwa anasa.

&#65533;Fedha ni fedheha, zikiwa nyingi zinachanganya kidogo hujui utazifanyia nini, unaishia sehemu ukiulizwa wewe nani na wewe unauliza pia wewe nani. Huo si utumiaji mzuri wa fedha&#65533;. Alisema Dk Shein

&#65533;Hata hivyo starehe zikizidi inachangia maambukizi ya ukimwi hilo nalo ni tatizo tukitambua ukimwi sasa ni janga la kitaifa. Hivyo hamna budi kuwa waangalifu na matumizi ya fedha&#65533;. Aliongeza.
 
kwa Mtizamo Wangu Naona Sasa Dunia Inakimbilia Kuwa Eco Friendly Zaidi Kuliko Hapo Mwanzo...hivyo Basi Tukiangalia Mbele, Soko Kama Halipo Litakuwepo.....lakini Kwanza Tujitosheleze Sisi Wenyewe...zitto Nadhani Alimaanisha Tufufue Viwanda Vyetu Hapo Tuta Create Ajira Na Tunaweza Kuuza Nje.je Kama Bangladesh Wameweza Ku Market Na Kuiuza Hiyo Junte Itakuwa Uzembe Wetu Kutofanya Hivyo

Viwanda Ninakufa Kwasababu Umeme Ni Ghali Na Serikali Haitoi Incentinves Kama Inavyotakiwa Kufanya Huku Dowans Aka Richmond Ikiendelea Kulipwa Fidia Za Pesa Ambazo Mkapa,rostam Aziz,mwanyika Na Wengineo Walitakiwa Wailipe Serikali Huku Wakiwa Tayari Ndani!
Sasa Hawa Wabunge Wanarudi Vipi Mezani Kwenye Mazungumzo Na Mafioso Waliko Miongoni Mwao Ambao Sasa Ni Wazi Wanawaogopa Kwasababu Ya Uwezo Wao Na Intimidation Ikiwa Ni Pamoja Na Ndumba?
 
Ushauri wangu ni BUNGE LIIRUDISHE SERIKALI KWA WANANCHI!
NI BAJETI GANI HIYO ITAKAYOJADILIWA KABLA YA HAO MAFISADI MAFIOSO HAWAJAWAJIBISHWA?
YANI MAFIOSO MAFISADI WAENDELEE KUJADILI MUSTAKABALI WA NCHI YETU KABLA HATA HAWAJAWAJIBISHWA?
HALAFU WABUNGE WA CCM KWA KUSHIRIKIANA NA MANAZI WENGINE WANATAKA KUWAAMINISHA WANANCHI KUWA WANAOGOPA KWASABABU WATUHUMIWA NI WAZITO?
HAO KINA MWEMA AMBAO KIKWETE ALIWACHAGUA NAO SI WALISHAWATISHA WABUNGE TAYARI?
WAO WANAFIKIRI HATUONI?
KAMA WATANZANIA MMEROGWA....SISI BADO KWANI UCHAWI HAUVUKI BAHARI!
 
Zitto asante sana kwanza kwa kuweka kweupe kabisa hoja ulizotoa bungeni kuchangia bajeti. Hii kama wangefanya wabunge wengi ingetuweka katika hali yakujua nini mnafanya mujengo. Hata hivyo usikate tamaa hata kama hawatatoa jibu kwa hoja zako maana ndiyo kawaida ya hawa ccm lakini message sent na sisi wana nji tuko nyuma yako mzee. Tunaku support sana.
Ila nimesikitishwa kwamba hata sasa madini yetu yanaondoka bila kulipiwa chochote. Sijui tutawafanyaje hawa. Ngoja tu siku moja tutaamka vichwa vyetu vimenoki tufanye kama wale vijana wa south walivyofanya. Ndivyo itakuwa kwa hawa wezi wa madini yetu. Nyie subir tu nawambia iko siku hatutajali ffu wala nani tutakuja wazima wazima tuone kama wataendelea kuwa katika migodi yetu. Ipo cku. Yaani hadi baada ya awamu ya tano ndiyo walipe kodi???????????? eeeee si kila kitu kitakuwa kimekwisha ardhini? au wanasubiri tupate makombo? No Ipo siku.
 
Ivi masikio ya chama tawala na serikali yake yametiwa pamba kiasi cha ata kutoona mapendekezo hayo jamani.
Issue ya hii serikali yetu ni kuwa hawatakagi kupokea kitu kutoka upinzani.
Hawajui kuwa upinzani nao ni wananchi so kizuri toka kwao kichukuliwe sio kuleta ubishi tuu
 
Hivi watu wana wazimu ama ni nini?
Mapendekezo ya nini kabla ya kuwakamata mafisadi?
Mapendekezo yatakayojadiliwa na MAFISADI MAFIOSO yatasadia nini?
Si alishatoa mapendekezo kwenye kamati ya madini?
RIPOTI IKO WAPI?
Watakaa vipi ki UHURU UHURU BUNGENI HUKU WAKIWA NA JICHO LA WOGA KUTOKANA NA WAO KUJUMUIKA NA MAFIOSOS NDANI NA NJE YA BUNGE?
AMA wao wanaona kama ni michezo ya KITOTO?
Bunge livunjwe ili seriakali ijiuzulu tuanze UPYA!
 
...Bulyanhulu Gold Mine ambayo inangepaswa kuwa imeanza kulipa kodi ya mapato haitalipa kodi ya mapato kutokana na faida yake mpaka mwaka 2019 yaani haitaanza kulipa corporate tax mpaka mwaka wa mwisho wa Rais wa awamu ya tano na hawa wameanza na Rais wa awamu ya tatu...

I strongly recomend DNA Test for our Leasers. Carry out the test to determine:

a) Fanctional ability of their Brain.
b) Why the stupidity is so consistecy?
c) The partein in which it repeats..is so interesting..God, How is this so possible?

D) Do other related analysis to enable the possible Resolutions.
 
Ahsante.

Kwa hiyo Bunge liliitungia Serikali sheria mbaya halafu Wabunge hapa walalamika kwa nini Serikali haijaleta pendekezo la kufuta sheria mbovu.

Kama Wabunge wanajua sheria waliyotunga ni mbovu, kwa nini wasubiri pendekezo kutoka kwa waliowatwika hiyo sheria mbovu ili kuifuta? Kazi yao nini kama sio kutunga na kufuta sheria mbovu bila kusubiri kuombwa?

Bunge halijatungia serikali sheria mbaya. Serikali ya CCM ilijutungia Sheria mbaya, bunge lenye wabunge wengi wa CCM likaipitisha kwa kishindo bajeti zilizopita.

Wabunge wa upinzani wanajua kuwa sheria ni mbovu lakini finance bill haiwezi kuletwa na mbunge binafsi kama muswada binafsi, ni muswada unaposwa kuambatana na bajeti ambayo huletwa na serikali.

Zitto kabwe kama mbunge wa upinzani amelisema tena hilo baada ya serikali ya CCM kuleta sheria mbovu, lakini waziri mkullo mbunge wa CCM hatafanya hayo marekebisho kwa kuwa anajua kuwa makada wenzake wataipitisha hiyo sheria mbovu na bajeti kanyaboya kwa kura ya NDIOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

Huku wakiendelea kufikiria kuhusu uchawi uchawi uchawi!

Asha
 
Bunge halijatungia serikali sheria mbaya.
Serikali ya CCM ilijutungia Sheria mbaya, bunge lenye wabunge wengi wa CCM likaipitisha kwa kishindo bajeti zilizopita.

Wabunge wa upinzani wanajua kuwa sheria ni mbovu lakini finance bill haiwezi kuletwa na mbunge binafsi kama muswada binafsi, ni muswada unaposwa kuambatana na bajeti ambayo huletwa na serikali.

Wrong!

Misamaha ya kodi ni sheria ya Bunge, The Tanzania Investment Act, 1997/26, na sio Finance Bill or Budget. Ndio maana inaelendelea kuwepo kila mwaka na sio lazima Mkulo aeilete katika finance bill ya kila mwaka.

Pili, Finance Bill ya Hazina haiwezi kufuta sheria ya The Tanzania Investment Act, 1997/26, ambayo Wabunge wanakubali ni mbovu, inakuwa abused! Ndio maana wiki mbili zilizopita Serikali iliilalamikia hii Sheria. Kama ingekuwa inauwezo wa kuifuta kutumia Finance Bill/Act wasingelilalamikia Bunge.

Tatu, japo Zitto hatakiwi, na hawezi kiutaratibu, kuleta finance bill kwa sababu yeye sio Mkulo, yeye bado anaweza -tena anatakiwa -kuleta muswada wake kufuta sheria ya Misamaha ya kodi kama anaamini Sheria ya Misamaha ya Kodi inakuwa abused. Hiyo ndio kazi yake!

Kwa hiyo Mbunge hawezi kutuambia anashangazwa Serikali haijaleta muswada wa kufuta misamaha ya kodi wakati ni Bunge ndio limetutwika hiyo Sheria mbovu.

Tena Mbunge wa upinzani anajua, au inabidi ajue zaidi, kwamba kama sheria ilikuwa ramroded na CCM kinguvu nguvu kama ulivyosema, da Asha, basi hawezi kusema anashangaa administration ya chama hicho hicho kije kirekebishe hiyo sheria.

Kwa hiyo tunarudi pale tulipoanzia: Mkulo anaweza kufuta sheria ya Bunge?

Jibu lako linalosema anaweza kutumia finance bill lina mushkeli!
 
Makala hii ya BUBU iliyotoka kwa MPAYUKAJI HOVYO INAMAKE SENSE KUWA SASA MAFIOSO WA CCM WAKO KAZINI KUJISAFISHA WAKIWATUMIA WAKUU WAO MAFIOSO MAFISADI WAKIONGOZWA NA DON KIKWETE KWA KUSAIDIWA NA KAPTEN MAKAMBA....

HIVI NANI ASIYEJUA KUWA SERA ZA CCM NI NZURI ILA IMETEKWA NA MAFIA?
NI UMAMUZI WAO KUSUKA AMA KUNYOA KWASABABU UMAFIA WAO TUMESHAUONA NA UFISADI WAO WA KISANII UPO UKINGONI?
Lowassa na Kikwete ni mafisadi wanaotaka kutuchezea akili....
NARUDIA TENA...HAWA WATU WALIENDA KWENYE KABURI La mwalimu huko musoma kuitambikia CCM kwasababu wao wanaaamini ni balaa za MWALIMU!
Wakagundua kuwa UCHAWI ndio nguzo muhimu ya kuendelea nayo kuwapumbaza wabongo!

NYIE WATANZANIA WENZETU NA WABUGE UJUMBE WANGU NI HUU....KAMA NYIE MMESHAROGWA..SISI BADO...IRUDISHENI SERIKALI KWA WANANCHI TUANZE UPYA...NA KAMA HAMUTAKI NI BORA MUGAWANYE NCHI KWASABABU SI WANANCHI WOTE WALIOROGEKA!
KILIMANJARO,ARUSHA NA KWINGINEKO BADO TUKO FITI NA CCM IKITAWALA NI BORA NCHI IGAWANYE KATI YA WAZALENDO NA MISUKULE ILI KILA MTU AUBEBE MSALABA WAKE!
WANANCHI WENGINE TUMESHACHOSHWA!

NEC imeamua kuwa chaka la mafisadi?

Nkwazi Nkuzi
Tanzania Daima~Sauti ya Watu

TAARIFA kwamba Waziri Mkuu mfukuzwa, Edward Lowassa, hakuwa na hatia bali alijiuzulu kuwajibika, ila hakuhusika katika kashfa ya Richmond, ni upuuzi wa mwaka.

Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) iliyokutana hivi karibuni ilitoa tamko hili la kuchusha na kukera kama lilivyokaririwa na vyombo vya habari.

Inashangaza na kukatisha tamaa kama chama kinachojidai kupigania masilahi ya Mtanzania kikiimba wimbo wa maisha bora kinaweza kuja na upuuzi kama huu! .

Kama hakuhusika na kashfa ya Richmond ni kwanini alijiuzulu? Je, ina maana taarifa nzuri ya kamati teule ya Bunge iliyoongozwa na Dk. Harrison Mwakyembe ni upuuzi?

Je, kitendo cha NEC si kulidharau na kulitukana Bunge na kulionyesha kama taasisi inayosema uongo? Je, Bunge limechukuliaje shambulio na kashfa hii? Kama Lowassa hakuhusika na Richmond, alijiuzulu kwa kosa gani au kashfa gani? Huu ni uchovu wa kisiasa usio na mfano. Huu ni mwanzo wa kifo cha CCM!

Badala ya Kamati Kuu ya CCM kufanya kazi za umma ilifanya kazi ya kusafishana. Na hii si mara ya kwanza kwa CCM kufanya hivyo. Mwanzoni akina Lowassa na wenzake walitaka kuitumia Tume ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) .
Nayo bila tahadhari wala kuona mbali ilijaribu kuwasafisha mafisadi hawa bila mafanikio hadi Bunge lilipoamua kuunda kamati iliyoweka historia ya kuwa Bunge la kwanza katika Afrika kumtimua mkuu wa shughuli za serikali bungeni, waziri mkuu.

CCM imekuwa ikipewa kila aina ya majina mabaya kutokana na maamuzi yake mabaya yaliyojikita kwenye kulindana na kubabaisha. Hivi ni Mtanzania gani awe hata mwanachama wa CCM damu asiyejua kuwa Lowassa alifukuzwa kazi na hakujiuzulu? Ni nani hajui kuwa kilichomfukuzisha Lowassa ni ufisadi wa nyuma ya Richmond? .

Kuna siku CCM watakuja kutwambia kuwa Tanzania ni nchi iliyoendelea. Maana wanaweza kujipayukia lolote kana kwamba wanawaambia ‘mataahira’! Baya zaidi wanapodanganya wanajidanganya na wao pia!

Kama tamko la NEC halitatenguliwa, basi hakuna siri, aliyosema Mwalimu Nyerere yanatimia. Mwalimu aliwahi kuionya CCM juu ya kuvamiwa na wafanyabiashara. Wakati ule tulijua wafanyabiashara, tusijue ni mafisadi.

Je, Mwenyekiti wa chama, Rais Jakaya Kikwete anapotuambia ana azima ya kupambana na ufisadi ilhali akikalia kiti kwenye kamati inayopitisha upuuzi na baraka kwa mafisadi, tumweleweje? .

Tunaambiwa kuwa hata waziri Nazir Karamagi na Ibrahim Msabaha, hawakuwa na kosa! Mbona Msabaha aliiambia Kamati Teule ya Bunge kuwa Richmond ulikuwa mradi wa waziri mkuu wa wakati ule na Mwarabu wake? Kwa nini NEC wamesahau kuwa yaliyoandikwa huwa hayaozi (scripta manenta)?

Kama CCM itashikilia upuuzi huu ningeishauri tume teule ya Bunge na Bunge lenyewe kwenda mahakamani kupinga dharau hii na matusi kwake.

Kama Lowassa na wenzake hawakuwa na hatia wala kushiriki kwenye uchafu wa Richmond, basi NEC ituambie nani wako nyuma ya Richmond. Au ni yale yale kuwa Richmond inafutikwa chini ya busati kuepuka kumtaja mhusika wa kweli aliyeiidhinisha? Je, Watanzania nao kwa upande wao watakubali kugeuzwa mabwege kiasi hiki ilhali kila kitu kiliwekwa wazi mbele yao na kamati teule ya Bunge? Enyi Watanzania ‘wapumbavu’, nani aliwaroga hadi mkaaminishwa kuwa Lowassa na wenzake hawakuwa na hatia bali waliwajibika? Mbona Lowassa na wenzake waliwekwa ‘uchi’ mbele zenu mkajionea na kusikia kila kitu! Namna hii inatisha na si vibaya kusema: Sasa, rasmi CCM imeikabidhi nchi kwa mafisadi .

Tuliwahi kuonya kuwa CCM, kwa sasa ina ombwe la uongozi wenye akili timamu. Tulionya kuwa uchafu wa wakuu wa CCM utaiangamiza nchi. Kweli kama Lowassa hahusiki na Richmond, ni kwa nini ametupwa nje? Je, hii inaweza kuwa janja ya kumsafisha ili arudishwe kwa mlango wa nyuma? Je, uswahiba wake na Kikwete umeshinda hata haki? Je, akirudishwa, Watanzania watamkubali na kumpokea? Maana, kupitia wapambe na ‘waganga’ wake aliwahi kukaririwa bila hata chembe ya aibu akijilinganisha na mzee Ali Hassan Mwinyi aliporejea kwenye siasa na kuwa rais baada ya Wizara yake ya Mambo ya Ndani wakati ule kukumbwa na kashfa ya mauaji ya kina Nzegenuka .

Hivi karibuni Katibu Mwenezi wa CCM, John Chiligati, alikaririwa akipindisha maneno ya tume teule ya Bunge kuwa waziri mkuu wa zamani Lowassa, apime na kuamua la kufanya. Baada ya Lowassa kupima aliamua kujiuzulu. Je, huyu kama aliamua mwenyewe kujiuzulu kama tunavyoaminishwa, hii si ishara ya kukiri kuwa alifanya makosa? Kinachonichefua zaidi ni ile hatua ya NEC kuwamwagia sifa mafisadi shutumiwa waliojiuzulu kuwa walikiletea heshima chama hicho! Je, maana yake hii ni nini? Au ni yale kuwa Lowassa aliamua kuachia ngazi ili serikali yote isianguke? Kama Lowassa aliubeba msalaba wa serikali chafu inayonuka, basi iwe ni kwa faida ya walioko nyuma ya kashfa hizi na si kuwahadaa Watanzania kuwa Lowassa na wenzake hawakuwa na makosa .

Kama CCM ingekuwa ni ile ya Nyerere, Lowassa na wenzake walipaswa kufukuzwa kwenye chama hapo hapo na kuchukuliwa hatua za kisheria, badala ya kumwangiwa sifa za uongo na NEC. Kama kuna kitu kimefanywa na NEC kwa kuwatetea na kuwapongeza kina Lowassa, si kingine bali kuonyesha sura halisi ya Kikwete, wenzake na CCM.

Kinachoonekana hapa ni kwamba CCM sasa ni chama cha mafisadi. Kinachojibainisha hapa ni kwamba pesa iliyoibwa na hawa watu na washirika wao si chochote, isipokuwa ushindi kwa CCM! Je, CCM imewapongeza hawa mashujaa wake kutokana na kazi yao njema ya kulihujumu taifa ili CCM ishinde kupitia takrima? .

Kama si hivyo, sasa ni nini kilichoishawishi kamati kuu kufanya upuuzi wa mwaka? Je, wajumbe nao walihongwa kiasi cha kuja na usanii huu usioingia akilini?

CCM sasa inafikia ukingoni. Katika kikao hiki cha NEC, tunaarifiwa kuwa kulikuwa na mgawanyiko. Wana CCM safi walitaka mafisadi wasulubiwe huku wakubwa wao wakiwapinga. Je, wadogo walilazimishwa na wakubwa kuridhia upuuzi huu? Je, NEC imeamua kutoa taarifa yake na si ya wajumbe? Maana hatujaambiwa jinsi walivyofikia kutoa tamko hili hatari kwa nchi na hata kwa chama chenyewe

Je, wale wana CCM safi watakubali kuburuzwa na kuonekana wasaliti kwa taifa lao kwa kuogopa wakubwa wao? Je, tutegemee nini? Wapo watakaojitenga na CCM kuhakikisha haki inatendeka au nao watageuka wanafiki na wachumia tumbo kiasi cha kukubaliana na jinai hii? Hata kama CCM itazika tofauti zake kwa ujanja au nguvu, ukweli ni kwamba ina nyufa nyingi kiasi cha kushindikana kuzibwa. Na hili likiongezewa na kuwa na uongozi mgando usio na visheni wala udhu, siku za CCM zinaanza kuhesabika .

Kama imeweza kutekwa na kushindwa na kundi la wahalifu wachache, kweli kitaweza kupambana na changamoto za kuendesha taifa kubwa kwenye karne hii ya sayansi na teknolojia, ambapo kashfa za wateule wake zinavujishwa kwenye mitandao kila uchao? Je, huu ni mwanzo wa mwisho wa CCM? Nani anajua? Tuhitimishe: Taarifa ya Kamati Kuu ya CCM ni matusi na kejeli kwa Watanzania. Inapingana na anayotuaminisha kila uchao Rais Jayaka Kikwete na mwenyekiti wa CCM. Hakika chama hicho kimegeuka chaka la ufisadi .

Je, kwa CCM hii ya mafisadi tutaweza kuushinda ufisadi na kuwaletea Watanzania maisha bora? Kama CCM inataka kurejea kwenye uchaguzi ujao, basi badala ya kuwasafisha mafisadi, ije na hoja ya kuwabana warejeshe pesa yetu na kushitakiwa kwa ufisadi.

Isiharibu ushahidi utokanao na kuwajibika kwao. Na kama kuna ndoto ya kumrudisha kwenye ulingo wa siasa yeyote kati ya wale tuliokwisha kuwatimua, ijulikane ni ndoto ya mchana

NEC imeamua kuwa chaka la mafisadi?

Nkwazi Nkuzi
Tanzania Daima~Sauti ya Watu

TAARIFA kwamba Waziri Mkuu mfukuzwa, Edward Lowassa, hakuwa na hatia bali alijiuzulu kuwajibika, ila hakuhusika katika kashfa ya Richmond, ni upuuzi wa mwaka.

Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) iliyokutana hivi karibuni ilitoa tamko hili la kuchusha na kukera kama lilivyokaririwa na vyombo vya habari.

Inashangaza na kukatisha tamaa kama chama kinachojidai kupigania masilahi ya Mtanzania kikiimba wimbo wa maisha bora kinaweza kuja na upuuzi kama huu! .

Kama hakuhusika na kashfa ya Richmond ni kwanini alijiuzulu? Je, ina maana taarifa nzuri ya kamati teule ya Bunge iliyoongozwa na Dk. Harrison Mwakyembe ni upuuzi?

Je, kitendo cha NEC si kulidharau na kulitukana Bunge na kulionyesha kama taasisi inayosema uongo? Je, Bunge limechukuliaje shambulio na kashfa hii? Kama Lowassa hakuhusika na Richmond, alijiuzulu kwa kosa gani au kashfa gani? Huu ni uchovu wa kisiasa usio na mfano. Huu ni mwanzo wa kifo cha CCM!

Badala ya Kamati Kuu ya CCM kufanya kazi za umma ilifanya kazi ya kusafishana. Na hii si mara ya kwanza kwa CCM kufanya hivyo. Mwanzoni akina Lowassa na wenzake walitaka kuitumia Tume ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) .
Nayo bila tahadhari wala kuona mbali ilijaribu kuwasafisha mafisadi hawa bila mafanikio hadi Bunge lilipoamua kuunda kamati iliyoweka historia ya kuwa Bunge la kwanza katika Afrika kumtimua mkuu wa shughuli za serikali bungeni, waziri mkuu.

CCM imekuwa ikipewa kila aina ya majina mabaya kutokana na maamuzi yake mabaya yaliyojikita kwenye kulindana na kubabaisha. Hivi ni Mtanzania gani awe hata mwanachama wa CCM damu asiyejua kuwa Lowassa alifukuzwa kazi na hakujiuzulu? Ni nani hajui kuwa kilichomfukuzisha Lowassa ni ufisadi wa nyuma ya Richmond? .

Kuna siku CCM watakuja kutwambia kuwa Tanzania ni nchi iliyoendelea. Maana wanaweza kujipayukia lolote kana kwamba wanawaambia ‘mataahira’! Baya zaidi wanapodanganya wanajidanganya na wao pia!

Kama tamko la NEC halitatenguliwa, basi hakuna siri, aliyosema Mwalimu Nyerere yanatimia. Mwalimu aliwahi kuionya CCM juu ya kuvamiwa na wafanyabiashara. Wakati ule tulijua wafanyabiashara, tusijue ni mafisadi.

Je, Mwenyekiti wa chama, Rais Jakaya Kikwete anapotuambia ana azima ya kupambana na ufisadi ilhali akikalia kiti kwenye kamati inayopitisha upuuzi na baraka kwa mafisadi, tumweleweje? .

Tunaambiwa kuwa hata waziri Nazir Karamagi na Ibrahim Msabaha, hawakuwa na kosa! Mbona Msabaha aliiambia Kamati Teule ya Bunge kuwa Richmond ulikuwa mradi wa waziri mkuu wa wakati ule na Mwarabu wake? Kwa nini NEC wamesahau kuwa yaliyoandikwa huwa hayaozi (scripta manenta)?

Kama CCM itashikilia upuuzi huu ningeishauri tume teule ya Bunge na Bunge lenyewe kwenda mahakamani kupinga dharau hii na matusi kwake.

Kama Lowassa na wenzake hawakuwa na hatia wala kushiriki kwenye uchafu wa Richmond, basi NEC ituambie nani wako nyuma ya Richmond. Au ni yale yale kuwa Richmond inafutikwa chini ya busati kuepuka kumtaja mhusika wa kweli aliyeiidhinisha? Je, Watanzania nao kwa upande wao watakubali kugeuzwa mabwege kiasi hiki ilhali kila kitu kiliwekwa wazi mbele yao na kamati teule ya Bunge? Enyi Watanzania ‘wapumbavu’, nani aliwaroga hadi mkaaminishwa kuwa Lowassa na wenzake hawakuwa na hatia bali waliwajibika? Mbona Lowassa na wenzake waliwekwa ‘uchi’ mbele zenu mkajionea na kusikia kila kitu! Namna hii inatisha na si vibaya kusema: Sasa, rasmi CCM imeikabidhi nchi kwa mafisadi .

Tuliwahi kuonya kuwa CCM, kwa sasa ina ombwe la uongozi wenye akili timamu. Tulionya kuwa uchafu wa wakuu wa CCM utaiangamiza nchi. Kweli kama Lowassa hahusiki na Richmond, ni kwa nini ametupwa nje? Je, hii inaweza kuwa janja ya kumsafisha ili arudishwe kwa mlango wa nyuma? Je, uswahiba wake na Kikwete umeshinda hata haki? Je, akirudishwa, Watanzania watamkubali na kumpokea? Maana, kupitia wapambe na ‘waganga’ wake aliwahi kukaririwa bila hata chembe ya aibu akijilinganisha na mzee Ali Hassan Mwinyi aliporejea kwenye siasa na kuwa rais baada ya Wizara yake ya Mambo ya Ndani wakati ule kukumbwa na kashfa ya mauaji ya kina Nzegenuka .

Hivi karibuni Katibu Mwenezi wa CCM, John Chiligati, alikaririwa akipindisha maneno ya tume teule ya Bunge kuwa waziri mkuu wa zamani Lowassa, apime na kuamua la kufanya. Baada ya Lowassa kupima aliamua kujiuzulu. Je, huyu kama aliamua mwenyewe kujiuzulu kama tunavyoaminishwa, hii si ishara ya kukiri kuwa alifanya makosa? Kinachonichefua zaidi ni ile hatua ya NEC kuwamwagia sifa mafisadi shutumiwa waliojiuzulu kuwa walikiletea heshima chama hicho! Je, maana yake hii ni nini? Au ni yale kuwa Lowassa aliamua kuachia ngazi ili serikali yote isianguke? Kama Lowassa aliubeba msalaba wa serikali chafu inayonuka, basi iwe ni kwa faida ya walioko nyuma ya kashfa hizi na si kuwahadaa Watanzania kuwa Lowassa na wenzake hawakuwa na makosa .

Kama CCM ingekuwa ni ile ya Nyerere, Lowassa na wenzake walipaswa kufukuzwa kwenye chama hapo hapo na kuchukuliwa hatua za kisheria, badala ya kumwangiwa sifa za uongo na NEC. Kama kuna kitu kimefanywa na NEC kwa kuwatetea na kuwapongeza kina Lowassa, si kingine bali kuonyesha sura halisi ya Kikwete, wenzake na CCM.

Kinachoonekana hapa ni kwamba CCM sasa ni chama cha mafisadi. Kinachojibainisha hapa ni kwamba pesa iliyoibwa na hawa watu na washirika wao si chochote, isipokuwa ushindi kwa CCM! Je, CCM imewapongeza hawa mashujaa wake kutokana na kazi yao njema ya kulihujumu taifa ili CCM ishinde kupitia takrima? .

Kama si hivyo, sasa ni nini kilichoishawishi kamati kuu kufanya upuuzi wa mwaka? Je, wajumbe nao walihongwa kiasi cha kuja na usanii huu usioingia akilini?

CCM sasa inafikia ukingoni. Katika kikao hiki cha NEC, tunaarifiwa kuwa kulikuwa na mgawanyiko. Wana CCM safi walitaka mafisadi wasulubiwe huku wakubwa wao wakiwapinga. Je, wadogo walilazimishwa na wakubwa kuridhia upuuzi huu? Je, NEC imeamua kutoa taarifa yake na si ya wajumbe? Maana hatujaambiwa jinsi walivyofikia kutoa tamko hili hatari kwa nchi na hata kwa chama chenyewe

Je, wale wana CCM safi watakubali kuburuzwa na kuonekana wasaliti kwa taifa lao kwa kuogopa wakubwa wao? Je, tutegemee nini? Wapo watakaojitenga na CCM kuhakikisha haki inatendeka au nao watageuka wanafiki na wachumia tumbo kiasi cha kukubaliana na jinai hii? Hata kama CCM itazika tofauti zake kwa ujanja au nguvu, ukweli ni kwamba ina nyufa nyingi kiasi cha kushindikana kuzibwa. Na hili likiongezewa na kuwa na uongozi mgando usio na visheni wala udhu, siku za CCM zinaanza kuhesabika .

Kama imeweza kutekwa na kushindwa na kundi la wahalifu wachache, kweli kitaweza kupambana na changamoto za kuendesha taifa kubwa kwenye karne hii ya sayansi na teknolojia, ambapo kashfa za wateule wake zinavujishwa kwenye mitandao kila uchao? Je, huu ni mwanzo wa mwisho wa CCM? Nani anajua? Tuhitimishe: Taarifa ya Kamati Kuu ya CCM ni matusi na kejeli kwa Watanzania. Inapingana na anayotuaminisha kila uchao Rais Jayaka Kikwete na mwenyekiti wa CCM. Hakika chama hicho kimegeuka chaka la ufisadi .

Je, kwa CCM hii ya mafisadi tutaweza kuushinda ufisadi na kuwaletea Watanzania maisha bora? Kama CCM inataka kurejea kwenye uchaguzi ujao, basi badala ya kuwasafisha mafisadi, ije na hoja ya kuwabana warejeshe pesa yetu na kushitakiwa kwa ufisadi.

Isiharibu ushahidi utokanao na kuwajibika kwao. Na kama kuna ndoto ya kumrudisha kwenye ulingo wa siasa yeyote kati ya wale tuliokwisha kuwatimua, ijulikane ni ndoto ya mchana
 
Wrong!

Misamaha ya kodi ni sheria ya Bunge, The Tanzania Investment Act, 1997/26, na sio Finance Bill or Budget. Ndio maana inaelendelea kuwepo kila mwaka na sio lazima Mkulo aeilete katika finance bill ya kila mwaka.

Pili, Finance Bill ya Hazina haiwezi kufuta sheria ya The Tanzania Investment Act, 1997/26, ambayo Wabunge wanakubali ni mbovu, inakuwa abused! Ndio maana wiki mbili zilizopita Serikali iliilalamikia hii Sheria. Kama ingekuwa inauwezo wa kuifuta kutumia Finance Bill/Act wasingelilalamikia Bunge.

Tatu, japo Zitto hatakiwi, na hawezi kiutaratibu, kuleta finance bill kwa sababu yeye sio Mkulo, yeye bado anaweza -tena anatakiwa -kuleta muswada wake kufuta sheria ya Misamaha ya kodi kama anaamini Sheria ya Misamaha ya Kodi inakuwa abused. Hiyo ndio kazi yake!

Kwa hiyo Mbunge hawezi kutuambia anashangazwa Serikali haijaleta muswada wa kufuta misamaha ya kodi wakati ni Bunge ndio limetutwika hiyo Sheria mbovu.

Tena Mbunge wa upinzani anajua, au inabidi ajue zaidi, kwamba kama sheria ilikuwa ramroded na CCM kinguvu nguvu kama ulivyosema, da Asha, basi hawezi kusema anashangaa administration ya chama hicho hicho kije kirekebishe hiyo sheria.

Kwa hiyo tunarudi pale tulipoanzia: Mkulo anaweza kufuta sheria ya Bunge?

Jibu lako linalosema anaweza kutumia finance bill lina mushkeli!

Mi nimesema finance bill, we umekurukia kwingine kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Je, mbunge anaruhusiwa kuleta kama muswada binafsi mapendekezo ya sheria ambayo ikipitishwa inaingiza gharama kwa serikali?

halafu si uliona walivyoisulubu hoja binafsi dhidi ya Karamagi?

tatizo haliko kwa upinzani. Tatizo liko kwa chama cha mafisadi

Ila una hoja kweli kuhani mkuu jamani, kwanini usiunge mkono upinzani?

Nyie CHADEMA ACHENI UTAPELI!
SINCE WHEN CRABS IN A BUCKET WONT PULL EACH OTHER DOWN?
Yani nyie mmekomalia mijadala iendelee wakati mko chungu kimoja na MAFIOSO?
Mnajadili ili muwabane CCM wawavutie pesa za UFISADI?
Msituletee kizungu zungu hapa!
Huko Bungeni hakuna cha kujadili kama msipoanza na EPA na RICHOMOND ILI MAFISADI WAKAMATWE KWA AMRI YENU WATUNGA SHERIA NA WAWAKILISHI WETU!
KAMA HAMTAKI VUNJENI BUNGE DAMN IT!
 
Bunge Likivunjwa Na Serikali Kurudishwa Kwa Wananchi Tutajua Mengi Tu!
Top Mafioso Don Kikwete Akisaidiana Na Kapten Makamba Hawatakuwa Na Kazi Na Hapo Tutaanza Upya Na Ukweli Kujulikana!
Narudia Tena...la Sivyo Nchi Ipigwe Panga Na Misukule Waendelee Na Owners Wao Na Wazalendo Tujipange Kuirudisha Nchi Yote Mikononi Mwa Wananchi!
Mimi Niko Radhi Kuingia Msituni Walahi Vile!
 
Nyie CHADEMA ACHENI UTAPELI!
SINCE WHEN CRABS IN A BUCKET WONT PULL EACH OTHER DOWN?
Yani nyie mmekomalia mijadala iendelee wakati mko chungu kimoja na MAFIOSO?
Mnajadili ili muwabane CCM wawavutie pesa za UFISADI?
Msituletee kizungu zungu hapa!
Huko Bungeni hakuna cha kujadili kama msipoanza na EPA na RICHOMOND ILI MAFISADI WAKAMATWE KWA AMRI YENU WATUNGA SHERIA NA WAWAKILISHI WETU!
KAMA HAMTAKI VUNJENI BUNGE DAMN IT!

Mushi

Are you in your mind? Wabunge 11 wa CHADEMA watavunja vipi bunge mbele ya Wabunge zaidi ya 200 wa CCM?

Zitto alipeleka hoja ya Karamagi matokeo yake CCM wakamsimamisha.

Dr Slaa alipeleka hoja ya BOT wakaipiga dana dana.

Wapinzani wakaenda kwa umma. Matokeo yake, Waziri Mkuu akajiuzulu na Baraza kuvunjwa kutokana na Richmond baada ya Kamati tuele iliyoundwa baada ya mawaziri kuzomewa zomewa.

Kikwete baada ya kuzomewa akaunda Kamati ya Bomani na kujipendekeza kumchukua Zitto.

Sasa subiri uone mambo yanayokuja.

Wakati mwenzako Masaka anapata uongofu wewe ndio unapata upofu?

Aiiiii weewe Mushi, mbona unanisikitisha?

Au huko ulipojificha kwa muda na kurejea walikupeleka kwenye vitisho?

Asha
 
Nyie wabunge wa UPINZANI ni wazi hamjakubaliana na BUDGET...Sasa hao wa CCM ambao ni wazalendo...Mujiunge pamoja halafu muikatae bajeti ili BUNGE LIVUNJWE NA SERIKALI IVUNJIKE ILI TUANZE UPYA!
Other than that mtatupeleka kwenye MACHAFUKO!
 
Back
Top Bottom