Kutoka BC - Regia & JF Friends Meeting....

Japo sikubahatika kuongea lakin nimependa sana na nashauri kuwe na conference kama hizi japo mara moja kwa mwezi ili watu waweze kujenga udugu na urafiki yote kwa nia ya kuelimishana kujuana na kupashana habari bila kusahau kuburudishana.

Mie nimetumia jina langu halisi Dr Hamza Yousuf Al Naamani

keep it up Mods
 
Kudos Barubaru mkuu tulikuwa tunakupigia via Skype inaita kweli
 
mi nataka kuongea ni add ID ya JF lakini hawakubali request yangu mbonaa...
 
Jamani mi nimeingia tu Ustream na ndio nikapata add ya durex play (Enhance your pleasure, get your free sample on facebook)... ama kweli!
but naona tunaendelea, watu wanapiga makofi.
 
Back
Top Bottom