Kutoka BC - Regia & JF Friends Meeting....

Kutoka BC - Regia & JF Friends Meeting....

duh ni ngumu sana kugundua nani ni nani humu aisee,but imagination zinakuja kwa baadhi ya watu,,nimeanza ku guess The Finest ni nani,BHT na Max
 
duh ni ngumu sana kugundua nani ni nani humu aisee,but imagination zinakuja kwa baadhi ya watu,,nimeanza ku guess The Finest ni nani,BHT na Max

umeshindwa kumjua huyu, then wewe ni mgeni hapa jukwaani
 
Kila la kheri wakuu....nipo mbali sana nimeshindwa kuhudhuria kwa skype,maana sina access na laptop yangu...hojatete na FF vipi mpo wandugu....all the best wapendwa
 
Japo sikubahatika kuongea lakin nimependa sana na nashauri kuwe na conference kama hizi japo mara moja kwa mwezi ili watu waweze kujenga udugu na urafiki yote kwa nia ya kuelimishana kujuana na kupashana habari bila kusahau kuburudishana.

Mie nimetumia jina langu halisi Dr Hamza Yousuf Al Naamani

keep it up Mods

Dr Barubaru, mie pia nimependa sana hii kitu nawapa pongezi wale wote waliofanikisha.
 
Back
Top Bottom