philbert kuwingwa
Member
- Oct 13, 2016
- 30
- 8
[emoji85][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji85][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Habari za jioni.
Nina swali ambalo linanitatiza sana haswa pale ninapokuwa nimekaa na rafiki zangu
"Hivi ushamla yule(kufanya naye ngono) demu?"
Kiukweli kwa confidence huwa najibu hapana kwa sababu tumewekeana ahadi ya kuwa hakuna hicho kitu mpaka ndoa. Sasa cha ajabu ninapojibu hivyo wenzangu huwa hawaamini kwa kuwa mara kadhaa huyu mchumba wangu ambaye tayari nishamposa na kumtolea mahari anakuja nyumbani na kushinda nami muda mwingi.
"Kama hugongi basi unagongewa"
Hayo ndio majibu ya wenzangu.
Namuamini sana huyo msichana kwa sababu i knw ni virgin sio kwa kuambiwa kwa kuiona mimi mwenyewe.
Swali langu ni ushamba au ujinga kusubiri mpaka ndoa?
Kila binadamu aliyekamilika anahitaji la sex (4th human basic need) isipokua namna ya kulikamilisha hili hitaji ndio inatofautiana.Ni perc
Ni mtazamo
Kila mtu ana mtazamo wake ambao ameuchagua aufuate
Kwa mimi mtazamo nnaoufuata, ambao umeshikamana n imani yangu
Kusubiri mpaka ndoa ni ujasiri,ni kitendo cha kusifiwa the same way ilivyo kitendo cha kusifiwa pale mwanaume anapotoka na kwenda kumuua simba aliyekuwa anasumbua wanakijiji
Kwa hiyo ni suala la mtazamo
Kumbe kuna za bandia zikoje hizo?Hiyo virgin uliionaje bila kumuingilia?
Wenzio siku hizi wanaweka za bandia shauri yako.
Siku ukikutana nayo utajua tu kama ni mtaalamu.Kumbe kuna za bandia zikoje hizo?
Na kama si mtaalamu nitajuaje INA maana zinauzwa dukaniSiku ukikutana nayo utajua tu kama ni mtaalamu.
Upo sahihi kabisa.Na kama si mtaalamu nitajuaje INA maana zinauzwa dukani
Daaah mambo yamebadilika kumbeUpo sahihi kabisa.
Siku hizi ni bidhaa so ukitaka bikra unaenda kununua dukani.
Chezea utandawazi
Wazungu wametuteka vilivyo.Daaah mambo yamebadilika kumbe