Kutofanya mapenzi mpaka ndoa ni udhaifu?

Kutofanya mapenzi mpaka ndoa ni udhaifu?

Nimesoma commends humu nimecheka pekeangu, anyways hilo janga mwenyewe limenikuta. Si kwamba sija wahi Fanya tendo lahasha nimefanya lakini huyu ninayetarajia kufunga naye ndoa sijawahi ingiza dushele zaidi kufanya dhambi ya kupima oil na romance za hapa na pale Mungu anisamehe. Sikutaka kufanya nae mapenzi coz nilihisi nitaweza muacha na kuendelea kujaribu mwingine.
Sina uhakika kama ni bikra au la ingawa yeye anadai imo ila sitaki kuamini kichwani mwangu. Anyways kufanya mapenzi kabla ya ndoa si vizuri but mh! Ni ngumu mno najitahidi kuvunga..but somehow possible.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unagongewa wewwww!!!
 
Kutofanya mapenzi kabla ya ndoa si udhaifu kama unajiheshimu na unamipango ya dhati ya baadae,
Udhaifu wa kwanza ni kusema unamuamini mtu still ukamvua nguo kuhakiki bikira yake, huko si kuaminiana. Ila ulionyesha udhaifu mkubwa zaidi baada ya kupima sijui kwa kipimo gani ukamuacha tu na ashk akavaa ch*pi akaondoka, hapo ulifeli zaidi.
NB: Kukaa faragha mda mwingi na mpenzi wako ambae mmepanga msifanye chochote kwanza ni makosa makubwa maana hamtajua saa wala dakika na ndo maana mnakuwa suspected
Mwisho: Bikra isiwe kigezo.
 
Mhh angalia broo.. m nlishagongewa demu wangu wa kwanza kabisa enzi izo nkamuacha..lkn nilijifunza kitu assee
 
mmhhhh mpaka ndoa wewe utakuwa mwanachama nguli wa chaputa
Exactly... yaan kuna mawil apa labda upigwe ghanxi na roho mtakatifu au uwe mwana chama yaan[emoji23] [emoji23]
 
Hiyo virgin uliionaje bila kumuingilia?
Wenzio siku hizi wanaweka za bandia shauri yako.
 
Sina sababu ya kukulazimisha uamini macho yangu yaliyoona na Mungu anayefahamu inatosha
Mungu unamshirikisha kwenye uchimvi, kama kumchungulia si umemchungulia wewe kwa utashi wako, bro siku hizi zipo za kutengeneza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Haina madhara na ndiyo jambo jema wewe endelea hivohivo
 
Kama ni wakugongwa atagongwa tu hata nikimgonga mkuu
bora ukubali matokeo!!

Ila tabia ya kuvuana chupi kumchezea kumuacha uiache...
unamtia ashki akitoka hapo anaenda kukojozwa na mwingine!
 
Mmmmmmh kiukweli tu Mimi mwanamme akiniletea maswala ya mpaka ndoa ..... Namuacha!!! Yaani simtaki kabisa

Eti mpaka ndoa .... khaaa
Uko vizur unanifaa, karibu Zenji bibie uje kula bata mpaka bata aseme bata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom