Unaongeaga point weweèe
Endelea kuamuamin hvo mwanamke atakutoa choziiKwa sababu binadamu tumeumbiwa kuamini kwa unachokiona kusikia na kugusa
Mkuu kwa nini hujasex naye?Ikiwa haujasex naye kwa kuwa ni machukizo machoni pa Mungu basi amini nakwambia Machoni pake wewe ni mzinzi mkubwa mno,Umesema umehakikisha bikra yake kwa macho yako bila shaka uliyatoa mavazi yake ukauona utupu wake (kwa kina)Hilo ni chukizo kwa Mungu.Habari za jioni.
Nina swali ambalo linanitatiza sana haswa pale ninapokuwa nimekaa na rafiki zangu
"Hivi ushamla yule(kufanya naye ngono) demu?"
Kiukweli kwa confidence huwa najibu hapana kwa sababu tumewekeana ahadi ya kuwa hakuna hicho kitu mpaka ndoa. Sasa cha ajabu ninapojibu hivyo wenzangu huwa hawaamini kwa kuwa mara kadhaa huyu mchumba wangu ambaye tayari nishamposa na kumtolea mahari anakuja nyumbani na kushinda nami muda mwingi.
"Kama hugongi basi unagongewa"
Hayo ndio majibu ya wenzangu.
Namuamini sana huyo msichana kwa sababu i knw ni virgin sio kwa kuambiwa kwa kuiona mimi mwenyewe.
Swali langu ni ushamba au ujinga kusubiri mpaka ndoa?
Yah ni kweli najua nimemchukiza Mungu lakini ilibidi kuthibitisha ili nikubali kusubiri mpaka ndoaMkuu kwa nini hujasex naye?Ikiwa haujasex naye kwa kuwa ni machukizo machoni pa Mungu basi amini nakwambia Machoni pake wewe ni mzinzi mkubwa mno,Umesema umehakikisha bikra yake kwa macho yako bila shaka uliyatoa mavazi yake ukauona utupu wake (kwa kina)Hilo ni chukizo kwa Mungu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we uliona wapi?hyo bikra...Habari za jioni.
Nina swali ambalo linanitatiza sana haswa pale ninapokuwa nimekaa na rafiki zangu
"Hivi ushamla yule(kufanya naye ngono) demu?"
Kiukweli kwa confidence huwa najibu hapana kwa sababu tumewekeana ahadi ya kuwa hakuna hicho kitu mpaka ndoa. Sasa cha ajabu ninapojibu hivyo wenzangu huwa hawaamini kwa kuwa mara kadhaa huyu mchumba wangu ambaye tayari nishamposa na kumtolea mahari anakuja nyumbani na kushinda nami muda mwingi.
"Kama hugongi basi unagongewa"
Hayo ndio majibu ya wenzangu.
Namuamini sana huyo msichana kwa sababu i knw ni virgin sio kwa kuambiwa kwa kuiona mimi mwenyewe.
Swali langu ni ushamba au ujinga kusubiri mpaka ndoa?
Zipo fake so sitaki nije kula kombo la kufa mtu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we uliona wapi?hyo bikra...
we kijana!!km wataka oa muoe tu!
usimlie yamini km umemzaa ww!
Tulikubaliana na si kweli kama angekataa yeye mimi ningetaka angeninyima na tumekuwa na nia ya dhati kua hakuna sababu ya kufanya mpaka ndoa hivyo bikra haikuwa sababu hiyo ilikuwa ni nyongeza ya makubaliano yetuKumbe hautembei naye kwa kuwa kakataa yeye kuwa ni bikra na angependa mpaka ndoa?Kwa jibu hilo kumbe hautembei naye kwa kuwa wewe pia ulipenda hivyo bali ni shinikizo la huyo mtarajiwa?Kwa maana hiyo wewe unapiga nje au unajichua hii ni kwa kuwa binafsi hauoni ngono kabla ya ndoa ni kitu kibaya ila umelazimika kufuata alichopropose mtarajiwa.
Ndo unakoelekea huko kula kombo!!Zipo fake so sitaki nije kula kombo la kufa mtu
Haitokei hiyoNdo unakoelekea huko kula kombo!!
Ila usijiamini sana!.
Ukute hyo ndo gia ya kuolewa hvyoo!!
Ndo ushaapa viapo v3 unaenda unakuta'mtera'
[emoji23] [emoji23] [emoji23] .......
kwa nini?Haitokei hiyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] whyyy!?Mmmmmmh kiukweli tu Mimi mwanamme akiniletea maswala ya mpaka ndoa ..... Namuacha!!! Yaani simtaki kabisa
Eti mpaka ndoa .... khaaa