Kutofanya mapenzi mpaka ndoa ni udhaifu?

Sio udhaifu. Ila kuendekeza mapenzi kabla ya ndoa ndio udhaifu.

Kutokana na jamii ya sasa kujikaririsha kuwa ni lazima sex, na imesahau kuwa ni condition tuliyojizoesha wenyewe.

Honesty ni vyema kuepuka sex kabla ya ndoa. Wengi wanaopenda sex kabla ya ndoa hufunga ndoa kwa vishawishi vya sex na sio kwa kuwaza deeply the meaning of marriage.

Ndoa sio sex tu. Sex ni aspect ndogo sana katika ndoa. Ni kama robo ya sehemu ya ndoa.

Usijione mdhaifu au mshamba. No one understand your relationship zaidi yenu wawili. Kama mna makubaliano kwa dhati, kujitunza its possible.
Strong Agree.
 
Habari za jioni.

Nina swali ambalo linanitatiza sana haswa pale ninapokuwa nimekaa na rafiki zangu

"Hivi ushamla yule(kufanya naye ngono) demu?"

Kiukweli kwa confidence huwa najibu hapana kwa sababu tumewekeana ahadi ya kuwa hakuna hicho kitu mpaka ndoa. Sasa cha ajabu ninapojibu hivyo wenzangu huwa hawaamini kwa kuwa mara kadhaa huyu mchumba wangu ambaye tayari nishamposa na kumtolea mahari anakuja nyumbani na kushinda nami muda mwingi.

"Kama hugongi basi unagongewa"

Hayo ndio majibu ya wenzangu.

Namuamini sana huyo msichana kwa sababu i knw ni virgin sio kwa kuambiwa kwa kuiona mimi mwenyewe.

Swali langu ni ushamba au ujinga kusubiri mpaka ndoa?
Uliona mwenyewe hiyo BIKRA dah...

Hakika utakuwa na macho kama binoculars
 
Mkuu hiyo Virgin umeionaje, nipe njia ambayo umeitumia kuiona hiyo kitu bila kupima oil. Hulitendei haki dushe kwakwel
 
Nina miaka zaidi ya 40 sijawahi kukutana na bikra duu
 
Mm niliweza aisee hadi tulipofunga ndoa yukaanza kazi. Kwani ww bro maisha na mipango yakobinaongozwa na washkaji zako??
 
Sio udhaifu. Ila kuendekeza mapenzi kabla ya ndoa ndio udhaifu.

Kutokana na jamii ya sasa kujikaririsha kuwa ni lazima sex, na imesahau kuwa ni condition tuliyojizoesha wenyewe.

Honesty ni vyema kuepuka sex kabla ya ndoa. Wengi wanaopenda sex kabla ya ndoa hufunga ndoa kwa vishawishi vya sex na sio kwa kuwaza deeply the meaning of marriage.

Ndoa sio sex tu. Sex ni aspect ndogo sana katika ndoa. Ni kama robo ya sehemu ya ndoa.

Usijione mdhaifu au mshamba. No one understand your relationship zaidi yenu wawili. Kama mna makubaliano kwa dhati, kujitunza its possible.
Majibu mazuri
 
Kwaiyo umeiona hiyo bikra yake, kwani yake imeakaaje hiyo bikra????
 
Sio udhaifu. Hiyo ni ishara ya kuonyesha how strong you are. Wengi wanashindwa kusubiri hadi ndoa hivyo wameishia ku sex tena wakiwa na umri mdogo na sasa wameshindwa kuacha.
You strong bro. Mungu akuepushe na vishawishi. Ubarikiwe.
 
Habari za jioni.

Nina swali ambalo linanitatiza sana haswa pale ninapokuwa nimekaa na rafiki zangu

"Hivi ushamla yule(kufanya naye ngono) demu?"

Kiukweli kwa confidence huwa najibu hapana kwa sababu tumewekeana ahadi ya kuwa hakuna hicho kitu mpaka ndoa. Sasa cha ajabu ninapojibu hivyo wenzangu huwa hawaamini kwa kuwa mara kadhaa huyu mchumba wangu ambaye tayari nishamposa na kumtolea mahari anakuja nyumbani na kushinda nami muda mwingi.

"Kama hugongi basi unagongewa"

Hayo ndio majibu ya wenzangu.

Namuamini sana huyo msichana kwa sababu i knw ni virgin sio kwa kuambiwa kwa kuiona mimi mwenyewe.

Swali langu ni ushamba au ujinga kusubiri mpaka ndoa?
Yuko bikira?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom