asanteelimu2016
JF-Expert Member
- Sep 23, 2016
- 248
- 146
Habari za jioni,
Nina swali ambalo linanitatiza sana haswa pale ninapokuwa nimekaa na rafiki zangu.
"Hivi ushamla yule (kufanya naye ngono) msichana?"
Kiukweli kwa confidence huwa najibu hapana kwa sababu tumewekeana ahadi ya kuwa hakuna hicho kitu mpaka ndoa. Sasa cha ajabu ninapojibu hivyo wenzangu huwa hawaamini kwa kuwa mara kadhaa huyu mchumba wangu ambaye tayari nishamposa na kumtolea mahari anakuja nyumbani na kushinda nami muda mwingi.
"Kama hugongi basi unagongewa"
Hayo ndio majibu ya wenzangu.
Namuamini sana huyo msichana kwasababu i know ni 'virgin' sio kwa kuambiwa kwa kuiona mimi mwenyewe.
Swali langu ni ushamba au ujinga kusubiri mpaka ndoa?