Kutofanya mapenzi mpaka ndoa ni udhaifu?

Ilikuwa zaman bint unamuoa bikra sio hawa wanaotumika tangu wakiwa la 7 pia wanawake tianeni usije kusubir ukapata kibamia bure na akina baba ukapata bahari

Mjomba la saba mbona mbali kuanzia chekechea watu washazibua kinachoendelea ni kutumia DRS tu kwenye Detection point [emoji1][emoji1] akifika darasa la 7 ukicheza naye mechi ya kirafiki unakuta mashine badala ya V8 kumbe ni 12 hapo sasa ukipiga resi tu unaweza kuzima kwenye gea pia kama tank lako siyo full ikibaki lita moja gari haiendi
 
Habari za jioni.

Nina swali ambalo linanitatiza sana haswa pale ninapokuwa nimekaa na rafiki zangu

"Hivi ushamla yule(kufanya naye ngono) demu?"

Kiukweli kwa confidence huwa najibu hapana kwa sababu tumewekeana ahadi ya kuwa hakuna hicho kitu mpaka ndoa. Sasa cha ajabu ninapojibu hivyo wenzangu huwa hawaamini kwa kuwa mara kadhaa huyu mchumba wangu ambaye tayari nishamposa na kumtolea mahari anakuja nyumbani na kushinda nami muda mwingi.

"Kama hugongi basi unagongewa"

Hayo ndio majibu ya wenzangu.

Namuamini sana huyo msichana kwa sababu i knw ni virgin sio kwa kuambiwa kwa kuiona mimi mwenyewe.

Swali langu ni ushamba au ujinga kusubiri mpaka ndoa?
Mmh sa ww umeionaje hiyo virgin?? Au kwa vitendo vyake tuu
 
Sio udhaifu. Ila kuendekeza mapenzi kabla ya ndoa ndio udhaifu.

Kutokana na jamii ya sasa kujikaririsha kuwa ni lazima sex, na imesahau kuwa ni condition tuliyojizoesha wenyewe.

Honesty ni vyema kuepuka sex kabla ya ndoa. Wengi wanaopenda sex kabla ya ndoa hufunga ndoa kwa vishawishi vya sex na sio kwa kuwaza deeply the meaning of marriage.

Ndoa sio sex tu. Sex ni aspect ndogo sana katika ndoa. Ni kama robo ya sehemu ya ndoa.

Usijione mdhaifu au mshamba. No one understand your relationship zaidi yenu wawili. Kama mna makubaliano kwa dhati, kujitunza its possible.
Yan mwsho wa siku ukikuta kibamia kule utataka kutoka kwenye ndoa lkn itakua too late, n bora muoane wote mkiwa mnajijua na kuridhia kabsa, hayo mambo ya mpka ndoa cjui yashaptwa na wkt
 
Habari za jioni.

Nina swali ambalo linanitatiza sana haswa pale ninapokuwa nimekaa na rafiki zangu

"Hivi ushamla yule(kufanya naye ngono) demu?"

Kiukweli kwa confidence huwa najibu hapana kwa sababu tumewekeana ahadi ya kuwa hakuna hicho kitu mpaka ndoa. Sasa cha ajabu ninapojibu hivyo wenzangu huwa hawaamini kwa kuwa mara kadhaa huyu mchumba wangu ambaye tayari nishamposa na kumtolea mahari anakuja nyumbani na kushinda nami muda mwingi.

"Kama hugongi basi unagongewa"

Hayo ndio majibu ya wenzangu.

Namuamini sana huyo msichana kwa sababu i knw ni virgin sio kwa kuambiwa kwa kuiona mimi mwenyewe.

Swali langu ni ushamba au ujinga kusubiri mpaka ndoa?
Amini unachokiona, hadithi za kufikirika sio mpango. Niliaminishwa huwezi pata bikra university, nilipata na ndio mke wangu mwaka wa tano sasa.
Za kuambiwa changanya na zako!
 
Sio udhaifu. Hiyo ni ishara ya kuonyesha how strong you are. Wengi wanashindwa kusubiri hadi ndoa hivyo wameishia ku sex tena wakiwa na umri mdogo na sasa wameshindwa kuacha.
You strong bro. Mungu akuepushe na vishawishi. Ubarikiwe.

You are right. Ku abstain in sex mkiwa katika mahusiano ni kipimo kizuri kujua how far someone yupo committed.

Kuanza sex bado wadogo inaweza kuwa sababu ya vijana wengi kupenda sex kabla ya ndoa na kuona haiwezekani kutosex kabla ya ndoa.
 
Yan mwsho wa siku ukikuta kibamia kule utataka kutoka kwenye ndoa lkn itakua too late, n bora muoane wote mkiwa mnajijua na kuridhia kabsa, hayo mambo ya mpka ndoa cjui yashaptwa na wkt

Kwanini kuna ndoa mkuu?
 
Si vibaya kusubiri mpaka ndoa, ni maamuzi yenu binafsi mlivyokubaliana,
Huu mfumo wa kufanya mapenzi na mwanamke kabla ya ndoa ni kizazi hiki tu kianzisha,
Mfumo huu pia huchangia uzuri kwa sababu unakuwa unamfahamu vizuri kimwili mchumba/ mpenzi wako,
Pia kuna madhara kama kupata magonjwa ya zinaa,

Kwa hiyo usiogope ukikuta ni bikra au sio bikra wala usijali ili mradi awe mkeo halali mwenye tabia njema na mwaminifu, mwenye upendo wa dhati katika ndoa yenu.
 
Mnahamasisha uzinzi!..hakuna udhaifu wowote ni maneno ya watu tu.
 
Yan mwsho wa siku ukikuta kibamia kule utataka kutoka kwenye ndoa lkn itakua too late, n bora muoane wote mkiwa mnajijua na kuridhia kabsa, hayo mambo ya mpka ndoa cjui yashaptwa na wkt
Ndio maana ndoa za vijana wengi kama nyie hua hazidumu!..
 
Kwa wasifu wa nje ni sawa lakini kwa wasifu wa ndani unapaswa kuonja maana unaweza subiri kumbe pana mto mkubwa ukawa unakukosesha furaha ya ndoa.
 
Habari za jioni.

Nina swali ambalo linanitatiza sana haswa pale ninapokuwa nimekaa na rafiki zangu

"Hivi ushamla yule(kufanya naye ngono) demu?"

Kiukweli kwa confidence huwa najibu hapana kwa sababu tumewekeana ahadi ya kuwa hakuna hicho kitu mpaka ndoa. Sasa cha ajabu ninapojibu hivyo wenzangu huwa hawaamini kwa kuwa mara kadhaa huyu mchumba wangu ambaye tayari nishamposa na kumtolea mahari anakuja nyumbani na kushinda nami muda mwingi.

"Kama hugongi basi unagongewa"

Hayo ndio majibu ya wenzangu.

Namuamini sana huyo msichana kwa sababu i knw ni virgin sio kwa kuambiwa kwa kuiona mimi mwenyewe.

Swali langu ni ushamba au ujinga kusubiri mpaka ndoa?
Hauko peke yako. Mimi mwenyewe mdada nilie nae tumekubaliana mpaka ndoa. Na hiyo ndoa kufunga, mpaka nimalize chuo na nipate kazi. Hapa naomba tu Mungu amuepushe na vishawishi maana tunaenda vyuo tofauti na hatukai mji mmoja.

Majority ya watu siku hizi wanapiga kabla ya ndoa alafu wachache ndo wanasubiri. Wewe subiri tu, mwagilizia bustani, utakula matunda baadae.

-callmeGhost
 
Kwangu kusubiri ni jambo jema lakini iwe kweli huyo mtu ni virgin sio story tu coz ukikubali kurubuniwa na hiyo kasumba lazima utaishi maisha hatarishi...
 
Habari za jioni,

Nina swali ambalo linanitatiza sana haswa pale ninapokuwa nimekaa na rafiki zangu.

"Hivi ushamla yule (kufanya naye ngono) msichana?"

Kiukweli kwa confidence huwa najibu hapana kwa sababu tumewekeana ahadi ya kuwa hakuna hicho kitu mpaka ndoa. Sasa cha ajabu ninapojibu hivyo wenzangu huwa hawaamini kwa kuwa mara kadhaa huyu mchumba wangu ambaye tayari nishamposa na kumtolea mahari anakuja nyumbani na kushinda nami muda mwingi.

"Kama hugongi basi unagongewa"

Hayo ndio majibu ya wenzangu.

Namuamini sana huyo msichana kwasababu i know ni 'virgin' sio kwa kuambiwa kwa kuiona mimi mwenyewe.

Swali langu ni ushamba au ujinga kusubiri mpaka ndoa?

Nakuhurumia sana kwa kuwa maelezo yako yanonesha kwamba you are still very young and naive. Ila pia nakuombea ndoa yako na huyo binti iwe ya heri na fanaka, na isiwe na disappointments and suprises za aina yoyote. Maana, kama ikitokea kwamba amekudanganya, lazima utaumia sana kihisia.

Kila la heri.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] asante kwa ujuzi mwingi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom