Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,368
Niliumizwa na msichana niliyempenda,ingawa tulifika mbali but ikafika mda akaanza kubadilika na madharau kibao,nikamwambia tuachane hataki,ila nafsi yangu haikuridhika na mwenendo wake mpya,coz lazima utamjua mtu ambaye anakucheat,tukaachana,iliniuma kwa mda mrefu,nikafuta mawasiliano yake,ingawa kila akinitafuta ndo kama naumia zaidi kumkumbuka,nikasema sintampenda mwanamke tena mpaka yeye anipende mwenyewe na sitongozi,baada ya kukaa mda mrefu nikasahau na kumwona wa kawaida,bahati nzuri now niliye naye ananipenda na ninampenda mpaka nimesahau kila kitu,ila usihofu baada ya mda utasahau kabisa hiyo hali