Kutendwa kumenifanya nisijielewe

Kutendwa kumenifanya nisijielewe

Da Valentina my dear friend, hii ni true kbs? If yes fuata maneno yangu ukipenda.

Moja, mtu ambae umempenda mno mno(u know the magnitude) sio rhs kumfuta 100% kwa huo mda umeutaja.Na huenda unachanganyikiwa kwa sababu ya 'hangovers' za huyo mr! Cha kufanya jipe mda, dont worry time takes care and never make decisions awkwardly just for the sake of kureplace huyo mr-utajuta

Pili, mimi siamini sana katika chuki. Ukimchukia what then? Unajiongezea stress tu; hii dunia wako watu 7B sasa wewe ujipe shida kwa mtu 1?. You either take it easy and go ahead or forgive him muanze upya. Hakuna mkamilifu, najua kusalit penz inauma lkn pia angalia investment ya moyo wako hadi stage ya kuamua kuwa mmeo-parefu mmmh! Kuja kufanya kwa mwingine likely ni expensive n time consuming na huenda ukapata worse person kwa angle nyingine.

At the end wewe ndio wa kuamua, take time and regurgitate succinctly my dear

My dear hiyo ni kweli kabisa,ushauri wako nimeupokea kwa mikono yote. Late me take easy and go ahead,ila kumsamehe na kumrudia ni ngumu....
 
Hahahaaa! Nashkuru umeniongezea siku kwa kicheko hapo mwisho. Kuhusu swali lako la kwanza ukweli ni kwamba kadri siku ziendavyo ndovo nazidi kumchukia. Sitamani kurudi kwake na ninamwomba Mungu anisikie na kunitia nguvu kamwe nisishawishike kumrudia

We best angu unanimix sasa, yani bado uko paralysed na sumu yake. A umeshafanya maamuzi? I think u are mimicing here dude. Kwa hali ka yako bado sio sahihi sana kusema hayo kwa sababu umespend nae mda mrf kuliko mlipo achana. Likely bado ana nafasi ktk moyo wako ambayo huioni ila inakuja kama reflex arc, yani bila kutaka. Jipe muda, utafakari vzr kbla ya kuamua, good night to you
 
Hiyo paragraph ya mwisho ni kali ajee? Yani awe na reserve list? Aaagh nao waje kuomba advice siku akiamua kwa mmoja aiseee!!

Yani hapo point yangu ni kwamba 'keep ur options open' maana lolote linaweza tokea,sio mwanaume akikuapproach unamtukana and all that,muweke karibu tu,mdiscuss mambo general ya kimaisha,hang out kdogo umjue,na vitu kama hivo,...aisee me nmejifunza nisiweke all my eggs in one basket,unless naona shela hyo apo tupo church tuna'sign vyeti vya ndoa,..kwenye ndoa ntatulia,though akizingua mtu,i wont waste my time
 
Wanaume huwa wana kitu kimoja; akishatembea na mwanamke anajua huyo ni wa kwake tu na hata wakiachana akimua kutaka kumrudia anajua atampata kwa vyovyote kwakuwa si walishakuwa pamoja huko nyuma. Wanapenda sana kuutumia huo mwanya. Huwa wana moto sana wakiwa mawindoni na wanakinai haraka mno wakishapata walichokuwa wanatafuta, na hutamani kupata kitu kipya. Kwahiyo kwakuwa mlishakuwa pamoja na mkatengana kwa kipindi fulani, ina maana ushakuwa kitu kipya kwake tofauti na alichokuwa akipewa pindi mlipoachana. Kwa ufupi inawezekana huyo anakutamani.
 
MONEY stuna unasikia haya maneno?
 
Last edited by a moderator:
Wewe Valentina usijiumize roho na kukremu kuwa kila mwanaume yuko hivyo!
...
For sure, unakosea na haiwezekani kosa la me m1 utubambikie me sote!!!
...
Tena uache kumbwelambela! Kama viki jitulize kwa Mashaxizo ule raha ya mapenzi!
Au nikuanzishie kathread ndio utaelewa?
 
Duuh...em jiulize moyoni,unampenda??kama ndio mrudie,bt msumbue kwanza,mapenzi hayana guarantee hata huko unakokwenda sio kwamna ndo u wl meet faithful men only,wanaume ni walewale,
KAMA UNAMPENDA RUDIANA,HUMPENDI MOVE ON
cha msingi,USIPOTEZE MALENGO YA KIMAISHA,
yani kuwa na source nyingi za furaha na mafanikio in ur life hata kama una mtu au huna,mfano,kuwa active,kwenye jamii,church,kazini,shule,michezo,kwaya nk,ipende family yako zaidi,marafiki,...inshort have a life,mwanaume awe part tu,ASIWE UR EVERYTHING,HATAKUCHANGANYA MTU,,above all mtegemee Mungu
I am team single,i moved on baada ya kutendwa and am so happy with my life kiukweli,i know ntapata another man,kama Money Stunna hivi,heheheh...so follow ur heart using ur mind

Nashkuru b shost,nitajichanganya zaidi huko uliposhauri. Nahitaji kumsahau huyu mtu kwa kadri iwezekanavyo.
 
Last edited by a moderator:
Pia nakushauri usome vitabu vya dada mmoja anaitwa Nancy Van Pelt
"To have and to hold"
"Heart to heart"
Vitakusaidia sana sana, achana na experience za wengine ambazo nyingine ni very situational, yani mtu anakushauri kwa jinsi yeye alivyoexperience personally

Itabidi nianze kua msomaji wa vitabu kwakweli. Vinapatikana wapi hivo?
 
MONEY stuna unasikia haya maneno?

hahahha,msinishtaki kwa mchuchu jmnniii...heheh ukishapitiwa kutendwa and all that unakuwa 'careful'..usichukie wanaume just understand them and urself....and u never know Mungu alikuepushia nini
 
Last edited by a moderator:
Itabidi nianze kua msomaji wa vitabu kwakweli. Vinapatikana wapi hivo?

Viko online nadhani, pia wainjilist wa kisabato huwa wanakua navyo ila ni expensive kdg coz ni colored na its hard cover, its tsh 55,000 kwa piece bei ya 2008
 
We best angu unanimix sasa, yani bado uko paralysed na sumu yake. A umeshafanya maamuzi? I think u are mimicing here dude. Kwa hali ka yako bado sio sahihi sana kusema hayo kwa sababu umespend nae mda mrf kuliko mlipo achana. Likely bado ana nafasi ktk moyo wako ambayo huioni ila inakuja kama reflex arc, yani bila kutaka. Jipe muda, utafakari vzr kbla ya kuamua, good night to you

Best good night sahizi! Nimekuelewa mkuu
 
Pole sana sister,kwa yaliyokukuta&hongera kwa kuwa na moyo wa kusamehe.
Mapenzi yanaumiza sana hasa tunaposhndwa kufuata mashauri&busara za ki-MUNGU dhdi ya mapenzi.
Nakushauri utulie ktk imani&wanaume wazuri wapo&Mungu atakupa mume bora,uwe mvumilivu&usichoke.
Kumbuka,wanaume waoaji&wenye mapenzi ya dhati,hawatangulizi ngono ktk mahusiano.
Amini yupo mume aliyeandaliwa na Mungu kwa ajili yako,na ndiye utaekuwa naye maishani mwako.
Kwa ushauri zaidi usisite kuni pm,uwe&amani.
 
Huyu jerrymsigwa naona yuko abroad...
'Valentina' usijali mummy,all in all fatilia tu ushauri changanya na zako then utaamua
 
Last edited by a moderator:
Wanaume huwa wana kitu kimoja; akishatembea na mwanamke anajua huyo ni wa kwake tu na hata wakiachana akimua kutaka kumrudia anajua atampata kwa vyovyote kwakuwa si walishakuwa pamoja huko nyuma. Wanapenda sana kuutumia huo mwanya. Huwa wana moto sana wakiwa mawindoni na wanakinai haraka mno wakishapata walichokuwa wanatafuta, na hutamani kupata kitu kipya. Kwahiyo kwakuwa mlishakuwa pamoja na mkatengana kwa kipindi fulani, ina maana ushakuwa kitu kipya kwake tofauti na alichokuwa akipewa pindi mlipoachana. Kwa ufupi inawezekana huyo anakutamani.

^^
Khadija umesema kweli, tena kweli. Hivyo ndivyo wanaume tulivyo! Lakini tunapenda kurudi kwa kuwa nyiwe wenyewe mpo dhaifu katika kutukubali, na tena kama ndio mwanaume alikuwa wa kwanza kwako!
Siku zote mheshimu sana mwanaume anaeachana na mwanamke kwa ugomvi au chuki, huyo ana msimamo na hujijengea ulinzi bora wa mahusiano yake baadae.
Kwake when it is over means over, sio yule mnaebembelezana kama kula papai kwa kijiko, huyo akiwa mumeo, jiandae kukimbizana na XX wake kwani hajui thamani ya kuwa na mke ndani.
^^
 
Zungumza na nafsi yako, sikiliza sauti kutoka ndani inakwambia nn, then move on.

Hii msg inakufaa. Be real face life. Forget the past. Kama unafanya kazi fanya sana as if nothing happened. You will develop your real you. Na maisha yatasonga. Trust your innerbeing. Mungu atakusimamia
 
Kwanza kabisa binti huyo mwanaume alozini na shosti wako wa karibu hakufai, eanaume wa hivyo huweA kutongoza na kutembea na hata hg wako mpaka ndugu zako, au akachakaza mashosti wako wote

Pili jua mapenzi ni risk, unapoingia mapenzini jitoe, na furahia every minute if it until further notice....

Ila pia kumbuka wanaume hawana mwamana, usiingie kichwa kichwa, kaa 50-50 ukimsoma, na akili yako uitune kuwa kuna uwezekano akabadilika

Furahia penzi jipya ila ili uweE kufurahia usiwe na mtu kwa kuwa upo single, bali uwe na mtu kwa kuwa ana sifa ulizozitaka, mpe chance mtu ila usimtumainie binadamu saaaaaaaanaaa
 
....mapenzi yanatesa sana.....
Chukua muda kidogo., usianze mahusiano mapya haraka kwani bado makovu hayajakauka.....

Love takes time to heal....
BAK unaweza dondosha hilo song hapa... Mariah Carey-Love takes time
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom