Kutendwa kumenifanya nisijielewe

Kutendwa kumenifanya nisijielewe

Wapendwa ni matumaini yangu mu wazima na mko vizuri katika majukumu yenu:

Leo ninaomba kushare nanyi jambo ambalo limekua likinitatiza kwa muda sasa. Ninatambua kila mmoja wetu ana historia yake ya kimapenzi na wengi tumetendwa na wale ambao tuliwekeza mioyo yetu kwao kwa kuwaamini kwamba wataiendeleza furaha yetu, ila kwasababu mbalimbali au kwa bahati mbaya wengi hatukuweza kufikia matarajio yetu juu ya hao wenzetu....

Binafsi nilikua katika mahusiano na mtu ambae nilimpenda mno narudia tena nilimpenda tena mno. Na ndie mwanaume wangu wa kwanza ku........
Nae kwa upande wake alionyesha uaminifu na moyo wakujali,maneno yote mazuri yenye matumaini mtoto wa kike niliambiwa,Kifupi tulipanga uhusiano wetu uzae ndoa.

Ilifika hatua mwezi wa sita mwaka jana akaja Arusha kwalengo la kujitambulisha nyumbani kwetu. Lakini gafla katika hali ambayo sikuitarajia akabadilisha maamuzi yake akanipa visingizio. Baada ya muda mfupi kabla ya yeye kurejea kwenye makazi yake,nikamfumania akiwa na rafiki yangu wa karibu,rafiki niliye mchukulia kama ndugu yangu na kushare nae baadhi ya mambo.

Waliosalitiwa bila shaka wanaelewa uzito wa maumivu hayo. Ikabidi niwe mpole,na kuwaambia waendelee mbele,siku zilivosonga yule binti akaanza mambo ya dharau kwangu ila namshkuru Mungu nilipata moyo wa kumsamehe na kupuuza dharau zake. Ilipofika mwezi wa 9 yule binti aliacha kazi kwa shari na kurudi kwao.
Sasa kilichonifanya nije hapa mbele yenu leo,nikwamba yule mwanaume anataka kurudi kwangu na mimi moyo wangu unakua mzito kumrudia,nimetokea kumchukia.

Jambo linalonisumbua zaidi kila ninapoanza mahusiano mapya hua nashindwa kuendlea mbele,hofu ya kwamba huyu atanifanyia kama yule inanijia mara kwa mara na matokeo yake nakua sababu ya kuvunjika uhusiano huo.
Wapendwa nifanye nini kukabiliana na hali hii ya pili? Ninatamani sana hali hii iniondoke. Karibu kwa mchango wako kimawazo.
Kwenye makosa ya kiuandishi mnisamehe mana natumia cm.

Njoo kwangu ewe mrembo, nami nitakupumzisha kwenye mahaba ya milele.

"wewe wajua nikisemacho"
 
In short usikubali kurudiana nae maana tayari ameshaonesha hana upendo wa dhati kwako!
(ukimrudia usije kulalamika tena hapa)
halafu muombe Mungu akusaidie kwenye hali kama hiyo!
Kingine nafikiri ungesubiri kwanza moyo wako upone ndo uanze uhusiano mwingine!
Mkuu leo hudai picha. Valentina kurudi nyuma mwiko songa mbele.
 
Last edited by a moderator:
Best yangu 'Valentina', sikuona hii tokea ulipoipandisha.

Mimi si mshauri mzuri sn kwny mambo ya mapenzi kwsbb Shauri nyng nlizozitoa haziku-work out, na mwisho wake mi ndo nikaonekana mbaya.

Sasa kwa ishu yako hii, kweli imeniumiza sn, jamaako alikutenda pakubwa sn. Ishu ya kukugeuka kwa rafiki yako ni nyeti.

Lakini, ninachokiona kwa first sight kutoka kwenye thread yako ni kwamba huyo jamaa bado chumba chake kipo moyoni mwako, wala hujakipangisha kwa mtu...aidha ni kwamba tangu ulipoachana nae mwaka jana hujawahi kuacha kumuwaza, tena unamuwaza kimahaba(sitaki kuuliza alikuwa anakupa kitu gani).

Sasa kwa muktadha huo kuna uwezekano umekuja kuomba ushauri kwa kuchelewa...nikimaanisha tayari ulishafanya maamuzi kwenye Kamati Tendaji ya kichwa chako, tena maamuzi yenyewe ni positive towards him.

Binafsi naona bado unampenda huyo jamaa...ingekuwa tofauti wala usingekuja hata hapa kuomba ushauri.

Nikwambie kitu, kitendo cha kuja hapa kuomba ushauri wa suala hilo, kwetu sisi wazoefu wa mahusiano maana yake kimahesabu ni kwamba probability ya yeye kukubaliwa ni 50:50.
Sasa ogopa pale mwanamke anapompenda mwanaume kwa staili ya 'nataka-sitaki'.

Ushauri wa bure(free of charge):

-msikilize kwa makini maneno anayotamka this time, na umhusishe ndugu yako wa karibu, i mean iwe kama mkataba usio rasmi.

-mpe sharti la kufanya testing pale angaza, bahati nzuri ni pua na mdomo na mnapoishi.

-kama mtajikuta sawa oaneni mkaishi salama.

-kama atakuwa kinyume na hayo ya juu elewa kwamba hana dhati ya moyo,kaa mbali nae.

Naomba niishie hapo.
 
Naunga mkono hoja,
Umenena!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Bora ufanye mahusiano na mtu mwingine mpya kuliko huyo kwakuwa hujui nia na lengo lake la kurudi kwako! Na pindi akikutenda kwa mara ya pili, utakuwa na maswali mengi ya kujiuliza na ambayo yatageuka na kuwa uchuro kwako. TAFAKARI.
 
Nikweli kabisa kwn anaweza kumsaliti kwa njia hiyo*2 tena na ndipo atakapo umia zaidi utatamani kufanya yote kipindi hicho lakini hutoweza utabaki unaumia pasipo mafanikio na kila mwanaume utakayemwona atakuwa adui yako. Mimi ninachokushauri uckubali kumrudia hata kama bado unampenda amua kumtangazia msamaha ndipo utakapo anza kumsahau taratibu.
 
Best yangu 'Valentina', sikuona hii tokea ulipoipandisha.

Mimi si mshauri mzuri sn kwny mambo ya mapenzi kwsbb Shauri nyng nlizozitoa haziku-work out, na mwisho wake mi ndo nikaonekana mbaya.

Sasa kwa ishu yako hii, kweli imeniumiza sn, jamaako alikutenda pakubwa sn. Ishu ya kukugeuka kwa rafiki yako ni nyeti.

Lakini, ninachokiona kwa first sight kutoka kwenye thread yako ni kwamba huyo jamaa bado chumba chake kipo moyoni mwako, wala hujakipangisha kwa mtu...aidha ni kwamba tangu ulipoachana nae mwaka jana hujawahi kuacha kumuwaza, tena unamuwaza kimahaba(sitaki kuuliza alikuwa anakupa kitu gani).

Sasa kwa muktadha huo kuna uwezekano umekuja kuomba ushauri kwa kuchelewa...nikimaanisha tayari ulishafanya maamuzi kwenye Kamati Tendaji ya kichwa chako, tena maamuzi yenyewe ni positive towards him.

Binafsi naona bado unampenda huyo jamaa...ingekuwa tofauti wala usingekuja hata hapa kuomba ushauri.

Nikwambie kitu, kitendo cha kuja hapa kuomba ushauri wa suala hilo, kwetu sisi wazoefu wa mahusiano maana yake kimahesabu ni kwamba probability ya yeye kukubaliwa ni 50:50.
Sasa ogopa pale mwanamke anapompenda mwanaume kwa staili ya 'nataka-sitaki'.

Ushauri wa bure(free of charge):

-msikilize kwa makini maneno anayotamka this time, na umhusishe ndugu yako wa karibu, i mean iwe kama mkataba usio rasmi.

-mpe sharti la kufanya testing pale angaza, bahati nzuri ni pua na mdomo na mnapoishi.

-kama mtajikuta sawa oaneni mkaishi salama.

-kama atakuwa kinyume na hayo ya juu elewa kwamba hana dhati ya moyo,kaa mbali nae.

Naomba niishie hapo.

Best nimekuelewa kwa makini sana,ninashkur kwa busara zako. Ubarikiwe
 
Last edited by a moderator:
Bora ufanye mahusiano na mtu mwingine mpya kuliko huyo kwakuwa hujui nia na lengo lake la kurudi kwako! Na pindi akikutenda kwa mara ya pili, utakuwa na maswali mengi ya kujiuliza na ambayo yatageuka na kuwa uchuro kwako. TAFAKARI.
Kwa mujibu wangu, 'Valentina' bado anampenda sn jamaa, kwahiyo lolote laweza kutokea kati yaog
 
Last edited by a moderator:
basi sawa mdada but angalia ucje tesa moyo sikikiza moyo wako unataka nn? anyway nafurah upo single ni mda wangu sasa wakukutupia ndoana
 
Pole Valentina dear, muamuzi wa mwisho niwewe mwenyewe ila kwa ushauri tu huyo mwanaume kama alienda kuwa na huyo mdada na akili zake mwenyewe sikushauri mrudiane.
Kwasasa pumzika kabisa mauhusiano yaani hii nakwambia kutoka moyoni mimi napitia hili japo ni kesi tofauti si ya kucheat, nilihisi kuwa single ni ngumu kumbe ni rahisi na miezi inakatika niko okay.
Hope now ushazoea pia life goes on.
 
Back
Top Bottom