Kutendwa kumenifanya nisijielewe

Kutendwa kumenifanya nisijielewe

.......nishetani tu
aliwapitia ilitakiwa uoneshe ujasiri wa kumshinda,samehe mia mara
sabini....utabata faraja,vinginevyo utazidi kuumia 'mia
mara sabin
i'

ila shetani nae tumuhurumie dah kila kosa yeye?
 
  • Thanks
Reactions: lin
Kumpenda mtu for 100% ni utumwa cz maumivu nayoskia hayana kipimo its hv bin mwezi na nusu but i it feels lyk yerstady..!!!namshukuru Mungu naweza kucheka asubui na kila mtu akaona its the same woman i hv always been ila moyoni mwangu najua..!!!what i blv it will take time but yatapita tu..!!!Especialy Mungu akiwa upande wangu..!!!
 
  • Thanks
Reactions: lin
aisee pole maana maumivu yake ni makubwa mno. ebu usikilize moyo kama ni mzito achana naye. kama ni bahati mbaya mbona hakukutongoza mata mbili?
 
kapime HIV Msamehe wanaume ndo tulivyo tamaaa mbele!
 
Kata hadi mawasiliano nae, mkijifanya marafiki na mnaendelea kuwasiliana possibility ya kirudiana ipo
 
Wapendwa ni matumaini yangu mpo wazima na mko vizuri katika majukumu yenu

Leo ninaomba kushare nanyi jambo ambalo limekua likinitatiza kwa muda sasa. Ninatambua kila mmoja wetu ana historia yake ya kimapenzi na wengi tumetendwa na wale ambao tuliwekeza mioyo yetu kwao kwa kuwaamini kwamba wataiendeleza furaha yetu, ila kwasababu mbalimbali au kwa bahati mbaya wengi hatukuweza kufikia matarajio yetu juu ya hao wenzetu.

Binafsi nilikua katika mahusiano na mtu ambae nilimpenda mno narudia tena nilimpenda tena mno. Na ndie mwanaume wangu wa kwanza kukutana nae kimwili.

Naye kwa upande wake alionyesha uaminifu na moyo wakujali,maneno yote mazuri yenye matumaini mtoto wa kike niliambiwa, kifupi tulipanga uhusiano wetu uzae ndoa.

Ilifika hatua mwezi wa sita mwaka jana akaja Arusha kwalengo la kujitambulisha nyumbani kwetu. Lakini ghafla katika hali ambayo sikuitarajia akabadilisha maamuzi yake akanipa visingizio.

Baada ya muda mfupi kabla ya yeye kurejea kwenye makazi yake, nikamfumania akiwa na rafiki yangu wa karibu, rafiki niliye mchukulia kama ndugu yangu na kushare nae baadhi ya mambo.

Waliosalitiwa bila shaka wanaelewa uzito wa maumivu hayo. Ikabidi niwe mpole,na kuwaambia waendelee mbele,siku zilivosonga yule binti akaanza mambo ya dharau kwangu ila namshkuru Mungu nilipata moyo wa kumsamehe na kupuuza dharau zake.

Ilipofika mwezi wa 9 yule binti aliacha kazi kwa shari na kurudi kwao.

Sasa kilichonifanya nije hapa mbele yenu leo, nikwamba yule mwanaume anataka kurudi kwangu na mimi moyo wangu unakua mzito kumrudia, nimetokea kumchukia.

Jambo linalonisumbua zaidi kila ninapoanza mahusiano mapya hua nashindwa kuendelea mbele, hofu ya kwamba huyu atanifanyia kama yule inanijia mara kwa mara na matokeo yake nakua sababu ya kuvunjika uhusiano huo.

Wapendwa nifanye nini kukabiliana na hali hii ya pili? Ninatamani sana hali hii iniondoke. Karibu kwa mchango waky o kimawazo.
Kwenye makosa ya kiuandishi mnisamehe maana natumia simu.
rward
pole sanaa,dont turn back,move forward,
 
Narudia tena, usithubutu kumrudia. Wanaume kucheat ni jadi yetu, lakini huwa tunacheat kwa kuiba kama kweli tumependa. Ukiona mwanaume anakucheat mchana kweupe tena kwa shosti wako ujue hakupendi.

Kwa taarifa yako kakuponda sana kwa shosti yako. Na ukimrudia ujue atakuponda tena kwa mwingine atakayekucheat naye.

Kifupi ni kuwa HAKUPENDI.

LoH!!!! babu unataka mjukuu anguke kifafa maana hilo neno ni dogo lkn ni gumu sana kulikubali pale unapompenda mtu.
 
Wapendwa ni matumaini yangu mpo wazima na mko vizuri katika majukumu yenu

Leo ninaomba kushare nanyi jambo ambalo limekua likinitatiza kwa muda sasa. Ninatambua kila mmoja wetu ana historia yake ya kimapenzi na wengi tumetendwa na wale ambao tuliwekeza mioyo yetu kwao kwa kuwaamini kwamba wataiendeleza furaha yetu, ila kwasababu mbalimbali au kwa bahati mbaya wengi hatukuweza kufikia matarajio yetu juu ya hao wenzetu.

Binafsi nilikua katika mahusiano na mtu ambae nilimpenda mno narudia tena nilimpenda tena mno. Na ndie mwanaume wangu wa kwanza kukutana nae kimwili.

Naye kwa upande wake alionyesha uaminifu na moyo wakujali,maneno yote mazuri yenye matumaini mtoto wa kike niliambiwa, kifupi tulipanga uhusiano wetu uzae ndoa.

Ilifika hatua mwezi wa sita mwaka jana akaja Arusha kwalengo la kujitambulisha nyumbani kwetu. Lakini ghafla katika hali ambayo sikuitarajia akabadilisha maamuzi yake akanipa visingizio.

Baada ya muda mfupi kabla ya yeye kurejea kwenye makazi yake, nikamfumania akiwa na rafiki yangu wa karibu, rafiki niliye mchukulia kama ndugu yangu na kushare nae baadhi ya mambo.

Waliosalitiwa bila shaka wanaelewa uzito wa maumivu hayo. Ikabidi niwe mpole,na kuwaambia waendelee mbele,siku zilivosonga yule binti akaanza mambo ya dharau kwangu ila namshkuru Mungu nilipata moyo wa kumsamehe na kupuuza dharau zake.

Ilipofika mwezi wa 9 yule binti aliacha kazi kwa shari na kurudi kwao.

Sasa kilichonifanya nije hapa mbele yenu leo, nikwamba yule mwanaume anataka kurudi kwangu na mimi moyo wangu unakua mzito kumrudia, nimetokea kumchukia.

Jambo linalonisumbua zaidi kila ninapoanza mahusiano mapya hua nashindwa kuendelea mbele, hofu ya kwamba huyu atanifanyia kama yule inanijia mara kwa mara na matokeo yake nakua sababu ya kuvunjika uhusiano huo.

Wapendwa nifanye nini kukabiliana na hali hii ya pili? Ninatamani sana hali hii iniondoke. Karibu kwa mchango wako kimawazo.
Kwenye makosa ya kiuandishi mnisamehe maana natumia simu.

Nimahusiano mapya mangapi uliyaanzisha pindi mmeachana mpaka ukawa una hofo ya kuendela mbele???samahani sana kwa usumbufu na pole kwa yaliyokukuta!!
 
Kwa huyo mwanaume usirudi. Hofu na kutojiamini ni adui wa maisha yako. Tafuta mwanaume mwingiene endela na maisha yako, basi.
 
Babu usijali nipo kwa sasa shule ilinibana sana nikawa siwezi hata kuingia humu, ila kwa sasa nipo na nitaendelea kuwepo.

Ewaaa........ Hebu twenzetu PM tukamalizie pale tulipoishia kwenye mtongozano wetu.
 
Babu unatakiwa uombe ruhusa kwa Tetra, sijui na yeye kama yupo? maana ndiye alikuwa mchumba akikuruhuru mm nitakwenda bila shaka.
 
Ngoja nimwombee kifo chema. Sikubali kushindwa kirahisi namna hii.
 
muonyeshe huyo mwanaume wako wa kwanza kuwa unaweza kuishi maisha yako binafsi bila yeye, hapo unachokifikiria zaidi si kutendwa bali huyo mwanaume wako wa kwanza...... mfute akilini mwako na pia futa mawazo ya kutendwa mamy, na usonge mbele, utaishi maisha mazuri sana na utafikia malengo yako na ndo mana mungu kaumba kusahau na kumbukumbu so inategemea wewe umelitanguliza lipi kati ya hayo.....pole sana
 
Back
Top Bottom