Kutendwa kumenifanya nisijielewe

Kutendwa kumenifanya nisijielewe

pole kwa yaliyokusibu.
swali: je kuna nafsi inakuambia urudiane naye au hata moyoni mwako hayumo?

kuna dada mmoja alitendwa vibaya sana na bf wake. akawa karibu sana nami. akaniambia mabaya mengi ya huyo jamaa(ambaye nilisoma naye) na akawa ananiapia kuwa hatarudiana nae tena.

baada ya muda mfupu nikamsikia anasema mara "jamaa ameokoka nimekutana naye kwenye semina", mara kilikwenda kikarudi....hatimaye wakarudiana.

hata mwezi haukuisha jamaa akamtenda tena yule dada. hadi leo dada wa watu kachanganyikiwa mno. kila me kwake ni sumu.

anyway, fanya yafuatayo:
1. usimpe nafasi ya kuumiza moyo wako tena
2. msamehe ili ufungue ukrasa mpya na wengine(najua ni ngumu lakini usipofanya hivyo hutapata amani ya moyo na kwa hiyo utishi na mume bila imani naye.
3. njoo kwangu, sijawahi kupenda, naanzia kwako, sitakusaliti.....teh teh teh!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] namba tatu umejipigia debe jombaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ucmkubali tena, kuwa single kama mm kwa mda then moyo utaachia tu wenyew. Jipe mda
 
Wapendwa ni matumaini yangu mpo wazima na mko vizuri katika majukumu yenu

Leo ninaomba kushare nanyi jambo ambalo limekua likinitatiza kwa muda sasa. Ninatambua kila mmoja wetu ana historia yake ya kimapenzi na wengi tumetendwa na wale ambao tuliwekeza mioyo yetu kwao kwa kuwaamini kwamba wataiendeleza furaha yetu, ila kwasababu mbalimbali au kwa bahati mbaya wengi hatukuweza kufikia matarajio yetu juu ya hao wenzetu.

Binafsi nilikua katika mahusiano na mtu ambae nilimpenda mno narudia tena nilimpenda tena mno. Na ndie mwanaume wangu wa kwanza kukutana nae kimwili.

Naye kwa upande wake alionyesha uaminifu na moyo wakujali,maneno yote mazuri yenye matumaini mtoto wa kike niliambiwa, kifupi tulipanga uhusiano wetu uzae ndoa.

Ilifika hatua mwezi wa sita mwaka jana akaja Arusha kwalengo la kujitambulisha nyumbani kwetu. Lakini ghafla katika hali ambayo sikuitarajia akabadilisha maamuzi yake akanipa visingizio.

Baada ya muda mfupi kabla ya yeye kurejea kwenye makazi yake, nikamfumania akiwa na rafiki yangu wa karibu, rafiki niliye mchukulia kama ndugu yangu na kushare nae baadhi ya mambo.

Waliosalitiwa bila shaka wanaelewa uzito wa maumivu hayo. Ikabidi niwe mpole,na kuwaambia waendelee mbele,siku zilivosonga yule binti akaanza mambo ya dharau kwangu ila namshkuru Mungu nilipata moyo wa kumsamehe na kupuuza dharau zake.

Ilipofika mwezi wa 9 yule binti aliacha kazi kwa shari na kurudi kwao.

Sasa kilichonifanya nije hapa mbele yenu leo, nikwamba yule mwanaume anataka kurudi kwangu na mimi moyo wangu unakua mzito kumrudia, nimetokea kumchukia.

Jambo linalonisumbua zaidi kila ninapoanza mahusiano mapya hua nashindwa kuendelea mbele, hofu ya kwamba huyu atanifanyia kama yule inanijia mara kwa mara na matokeo yake nakua sababu ya kuvunjika uhusiano huo.

Wapendwa nifanye nini kukabiliana na hali hii ya pili? Ninatamani sana hali hii iniondoke. Karibu kwa mchango wako kimawazo.
Kwenye makosa ya kiuandishi mnisamehe maana natumia simu.
Muombe Mungu akupe Mume bora wa ndoto zako .Labda wakat wako bado . Wait wait while you pray for that ..
 
Pole sana mkuu cha msingi usirudi nyuma mtu kama huyo hafai utakuja kukuta katembea na mdogo wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika Kweli tupu.Mwanaume awaye yeyote akikugeuka halafu Aje akurudie usikubari Nasema kwa undani usikubari.This time atakuletea kifo..According to Researchers?!!!
Aiseeeeeeeeeeeeee! Unatakiwa ukubali kwamba kusalitiana kupo, sio kwa watu wengine au kwenye filamu na maigizo ila kwa watu kama wewe na kwako inaweza kutokea kama ilivyotokea. Kutokana na nilivyokuelewa naomba ufanye yafuatayo;
1. Kubali kwamba huyo jamaa hakuwa chaguo lako na Mungu alikuepusha na mengi. Imagine mngeingia naye kwa ndoa halafu anatembea na rafiki yako. Kwa sababu hiyo jipange, ulishakubai matokeo so jirekebishe, kama unataka kuwa na mahusaino na mtu mwingine kubali kwamba binadamu tunatofautiana kwa hiyo sio kila mara na kila mtu atakusaliti...
2. Usikubali hata kidogo kurudiana na huyo mtu, never ever! Urafiki/Uchumba sio ndoa. Hata ingekuwa ni ndoa mtu aliykuacha nisingekushauri urudiane naye...ameona wangapi huko? Kwanini leo anarudi kwako?
Ni hayo tu ila tofauti na wengi watakaokuja hapa watakwambia uamuzi ni wako, mimi nakwambia USIKUBALI KURUDIANA NAYE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli Si umeona mpaka wanaume wenzake wana sema Usimrudie?? Wanajuana hawa .The fact Ni kwamba thus time atakuja Na maneno matamu sana Ili kukunasa.Ukiingia mtegoni tena this time hutapata muda wa kuandika Hapa Zaidi ya.kunywa Sumu.MUEPUKE.Run, Run and never Turn Back
Good men are still there.Ni vile tu.una mawazo ya nyuma Na some memories.
Maneno yako yamenitia nguvu,nashkuru sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri wako mzuri.But why ajihangaishe hivi muda wa Eti ajaribu Na kwingine Na pia amrudie akimzingua Aje kwingine hivi Upo Kweli??? Jamani.
Tumshauri mwenzetu vinavyowezekana kumuepusha Na Majanga Zaidi .
Kuna point za watu Hapa Eti Wanaume Ni walewale amrudiee weweeeee
Ndio wanaume wanaweza wakawa walewale wa kucheat but kwa Your best friend?? Real??
Hiyo Ni dharau kubwa sana tena isiyo Na chembe ya utu.
Jibu Ni kwamba
Aangalie mbele wake yupo Hata kama atachelewa.
Mkuu umeona ehh....nishawah kusoma sehemu sehemu,wanasema to win the dating game lazima ujifunze kukubali 'rejection' and jifunze kuona other opportunities, Mtoa Mada,always remember to love and take care of urself no matter what....and enjoy ur life ,ishi unavyotaka,..na nnarudia kama unampenda mrudie tu,mpe second chance,( mpe a hard tym kukupata and ajutie kosa)..
And since hujafikia ndoaFAHAMIANA NA OTHER MEN,ili uwe na options siku akizingua una weza hamia kwngne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe thread ya Miaka 6 nyuma??.
Valentina njoo tupe mrejesho.
Mimi nilidhani Ni ya Jana .
Hope mambo yalienda poa Na now you have a new family.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapendwa ni matumaini yangu mpo wazima na mko vizuri katika majukumu yenu

Leo ninaomba kushare nanyi jambo ambalo limekua likinitatiza kwa muda sasa. Ninatambua kila mmoja wetu ana historia yake ya kimapenzi na wengi tumetendwa na wale ambao tuliwekeza mioyo yetu kwao kwa kuwaamini kwamba wataiendeleza furaha yetu, ila kwasababu mbalimbali au kwa bahati mbaya wengi hatukuweza kufikia matarajio yetu juu ya hao wenzetu.

Binafsi nilikua katika mahusiano na mtu ambae nilimpenda mno narudia tena nilimpenda tena mno. Na ndie mwanaume wangu wa kwanza kukutana nae kimwili.

Naye kwa upande wake alionyesha uaminifu na moyo wakujali,maneno yote mazuri yenye matumaini mtoto wa kike niliambiwa, kifupi tulipanga uhusiano wetu uzae ndoa.

Ilifika hatua mwezi wa sita mwaka jana akaja Arusha kwalengo la kujitambulisha nyumbani kwetu. Lakini ghafla katika hali ambayo sikuitarajia akabadilisha maamuzi yake akanipa visingizio.

Baada ya muda mfupi kabla ya yeye kurejea kwenye makazi yake, nikamfumania akiwa na rafiki yangu wa karibu, rafiki niliye mchukulia kama ndugu yangu na kushare nae baadhi ya mambo.

Waliosalitiwa bila shaka wanaelewa uzito wa maumivu hayo. Ikabidi niwe mpole,na kuwaambia waendelee mbele,siku zilivosonga yule binti akaanza mambo ya dharau kwangu ila namshkuru Mungu nilipata moyo wa kumsamehe na kupuuza dharau zake.

Ilipofika mwezi wa 9 yule binti aliacha kazi kwa shari na kurudi kwao.

Sasa kilichonifanya nije hapa mbele yenu leo, nikwamba yule mwanaume anataka kurudi kwangu na mimi moyo wangu unakua mzito kumrudia, nimetokea kumchukia.

Jambo linalonisumbua zaidi kila ninapoanza mahusiano mapya hua nashindwa kuendelea mbele, hofu ya kwamba huyu atanifanyia kama yule inanijia mara kwa mara na matokeo yake nakua sababu ya kuvunjika uhusiano huo.

Wapendwa nifanye nini kukabiliana na hali hii ya pili? Ninatamani sana hali hii iniondoke. Karibu kwa mchango wako kimawazo.
Kwenye makosa ya kiuandishi mnisamehe maana natumia simu.
Aisee pole sana dada
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom