nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,369
Ni makubaliano ya wawili...sidhani kama kuna watu wanazini eti huku hawajuhi marital status zao...
Na ni ngumu kwa mwanaume kumg'ang'aniza mke wa mtu mahusiano....ukisema sitaki mimi ni mke wa mtu ...ni ngumu mtu kuendeklea kukuganda....
wote wanakuwa na dhamira moja...mwanamke anakuwa kama alikuwa anasubiria atongozwe....
Sasa ukijiuliza ni kwa nini majibu yanaweza kuwa haya au yasiwe
1 kulipiza kisasi kwa mume mzinzi
2 Mume ana matatizo ya nguvu za kiume
3 Tabia tu ya mtu 'kunguru afugiki' na kwenye tabia najumlisha na kutaka kufaidika kwa cheo au pesa
Maana hainiingii akilini una mume rijali unapata wapi muda wa kula kona, na unatafuta nini kwa wanaume wengine?
Kwa wanaume sijuhi kwa nini mwanaume single ukafukuzie mke wa mtu...kwanza unakuwa ujitaki...Hata kwa aliyeoa unakuwa hujitaki...
Mfano mimi mume wangu akikukamata anaku- Mushi Ufoo aiseee....very risk