Kutembea na wake za watu: Nani ana MAKOSA?

Ni makubaliano ya wawili...sidhani kama kuna watu wanazini eti huku hawajuhi marital status zao...

Na ni ngumu kwa mwanaume kumg'ang'aniza mke wa mtu mahusiano....ukisema sitaki mimi ni mke wa mtu ...ni ngumu mtu kuendeklea kukuganda....

wote wanakuwa na dhamira moja...mwanamke anakuwa kama alikuwa anasubiria atongozwe....

Sasa ukijiuliza ni kwa nini majibu yanaweza kuwa haya au yasiwe

1 kulipiza kisasi kwa mume mzinzi
2 Mume ana matatizo ya nguvu za kiume
3 Tabia tu ya mtu 'kunguru afugiki' na kwenye tabia najumlisha na kutaka kufaidika kwa cheo au pesa

Maana hainiingii akilini una mume rijali unapata wapi muda wa kula kona, na unatafuta nini kwa wanaume wengine?

Kwa wanaume sijuhi kwa nini mwanaume single ukafukuzie mke wa mtu...kwanza unakuwa ujitaki...Hata kwa aliyeoa unakuwa hujitaki...

Mfano mimi mume wangu akikukamata anaku- Mushi Ufoo aiseee....very risk
 
The Boss soma mstari wa mwisho kwa makini sana
 
Last edited by a moderator:
kuna msemo waungwana walinena '.........MKE WA MTU NI SUMU..........'

kwanini isiwe mume wa mtu NI SUMU?

SIELEWI ELEWI HAPA.kwa kauli hiyo hapo juu,inaonyesha katika uzinzi huu,KIBINADAMU mwanamke ndo mwenye makosa,,,,,,,,,,,...........au?

Siku hizi wenyewe wanasema MKE WA MTU SUMU, LAKINI MUME WA MTU MAZIWA....so wana-neutraliziana wenyewe kwa wenyewe!
 
!Kuna wanaume wanayo taabia ya KUTEMBEA NA WAKE ZA WATU.

Kuna kasumba moja imetawala vichwa vya tulio wengi:

Sasa uchunguzi umedhihirisha wazi kwamba MWANAUME anae chukua mke wa mtu ndiye huonekana MKOSAJI SANA,na pengine hunyooshewa sana mikono mtaani!

Sasa mimi nashindwa kuelewa,kwanini yule mwanamke aliyechukuliwa ASINYOOSHEWE KIDOLE?au asionekane mkosaji kwa kiwango kile kile?ukizingatia walikubaliana?

Hii dhana inaanzia wapi jamani?

At tyms hizi issue ziko risky sana...unakutana na mdada yuko makini sana...katika kutupia sound mbili tatu anakuambia yuko single wakat huo hata pete hajavaa.....kumbe mke wa mtu mazee. Kama mwanamme sio mjanja lazma unaingia mkenge tu. Nashindwa kuelewa kwann most of them wanakua na tabia hzi. Ni tamaa au kitu gan ??

Perhaps NyumbaKubwa hapo juu ameshaeleza yote.
 
ha haaa msome vizuri nyumba kubwa
kasema ikotokea ujue wote wawili mmedhamiria..
so bettwen me and her tukidhamiria hata huyo mumewe hatajua..
we are too smart to get caught..lol

halafu platozoom why unahisi me and her we are about to get caught ?

Nina imani kubwa sana na nyumba kubwa, 'she's smart lady', hakuna kitakachoharibika. Gud luck with your next move lol!!
 
Last edited by a moderator:
mi nadhani mwanamke ndo mwenye makosa. Wengi niliotembea nao (kabla sijaachana na vidumu) walinianza wao kwa kunisifia, au kunikodolea macho, na wengine kueleza shida za waume zao kwamba hawajui kunanihi au kuwajali. Hapo ndo mtego unaanzia. sasa wanaume sisi ni dhaifu, akisha kuambia hivyo unasogeza mkono na mambo yanaanza. Hapo nani mwenye makosa?
 
!Kuna wanaume wanayo taabia ya KUTEMBEA NA WAKE ZA WATU.

Kuna kasumba moja imetawala vichwa vya tulio wengi:

Sasa uchunguzi umedhihirisha wazi kwamba MWANAUME anae chukua mke wa mtu ndiye huonekana MKOSAJI SANA,na pengine hunyooshewa sana mikono mtaani!

Sasa mimi nashindwa kuelewa,kwanini yule mwanamke aliyechukuliwa ASINYOOSHEWE KIDOLE?au asionekane mkosaji kwa kiwango kile kile?ukizingatia walikubaliana?

Hii dhana inaanzia wapi jamani?[/Wanawake ndio chanzo cha kujipeleka kwa wadau kwa sababu ya kiu ya muda mrefu]
 
Wote wanamakosa tuu!
Kwa mwanamke aliyeolewa jukum lake ni kulinda / kutunza/ kuhashimu ndoa yake.
Kwanza nakereka sana kuona wadada walioolewa wanatoka nje ya ndoa zao!
 
Wote wanamakosa tuu!
Kwa mwanamke aliyeolewa jukum lake ni kulinda / kutunza/ kuhashimu ndoa yake.
Kwanza nakereka sana kuona wadada walioolewa wanatoka nje ya ndoa zao!

very true...kama wee mwanamke basi wafaa kuwa mke
 
kitambo sana mpwa.....!

kuna baadhi ya threads huwa najiuliza 'what happened to me?'....

labda 'ilitokea tu'...:cool:

unaukumbuka wimbo wa maalim gurumo 'wakati wa ujana wangu mimi baba yenu...shati shilingi sita unapata.......kwa hiyo wanangu muishi kulingana na wakati'

ndio ivo hebu plot thinking versus time uone shape yake inakuwaje mpwa
 
ujue humu duniani kila mtu ni wa mtu, asipokuwa mke wa mtu atakuwa dada wa mtu au mama wa mtu!
 
wote ni wezi tu, hakuna mwenye afadhali, ila hasa kosa ni la mwanamke coz kama akikataa kuendekeza ujinga basi mwanaume anakosa nafasi.
 
!Kuna wanaume wanayo taabia ya KUTEMBEA NA WAKE ZA WATU.

Kuna kasumba moja imetawala vichwa vya tulio wengi:

Sasa uchunguzi umedhihirisha wazi kwamba MWANAUME anae chukua mke wa mtu ndiye huonekana MKOSAJI SANA,na pengine hunyooshewa sana mikono mtaani!

Sasa mimi nashindwa kuelewa,kwanini yule mwanamke aliyechukuliwa ASINYOOSHEWE KIDOLE?au asionekane mkosaji kwa kiwango kile kile?ukizingatia walikubaliana?

Hii dhana inaanzia wapi jamani?

Huwa inategemea mahusiano yako na mtenda kosa. e.g Kama wewe ni mke then mumeo amecheat na mke wa mtu mwenye kosa lazima atakuwa ni mmeo tu and vice versa.
 
hakuna mwenye kosa watu wanapeana ufundi waacheni ..ndoa bongo bana...watu wamepigika na ndoa kiama ndo maana wanauza timu tu kwani kitu gani bana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom