BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,079
Mmmmh hii hapa akija Nyama yao pamoja na BrendaJacob watabisha mpaka basi.Mi iwa nawaambia hii kitu tiGo ipo kwenye soko sasa hivi hadi akina baba nao wanaonja sana tu kwa vibinti vya sokoni.
Fidel nimekusikia, ha ha
Hilo suala la TG sikubisha kivile ila kila mtu anajua kinachomtoa nje ya ndoa kuenda kuonja vya nje wakati ameshajifunga kwa shida na raha.
Kama ushaonja kuacha ni ngumu inavyodaiwa! hivi unajisikiaje mbaba mzima anamchapa mtu kama mdogo wako(Mfano) na unajua nia ya hao kina baba kuwa wapo after TG,fikiria halafu elezea inavyouma. Japo ni starehe kama zingine ila hapana,kwanini hao wababa wasimalizane na wake zao? Ndo mana siku hizi ukikutana na binti yupo na mbaba anakutambulisha huyu ni mjomba wangu unabaki kuguna..
Halafu kama TG ipo kwenye soko sasahivi,kipi kitakuja tena sokoni?!Au ndo fasheni?
Turudi kwenye topiki, anayetembea na mke wa mtu na huyo mke mwenyewe wana makosa. Wote wanazini haijalishi nani kamuingiza mwenzie mtegoni mpaka wakafanya mapenzi.