Kutembea na mume wa mtu

Acha hasira wewe huoni wanawake mko wengi kuliko sisi unataka wenzio wakagongwe wapi..... mm nina mke na vimada wanne na wote nimewaambia nina mke na wapo hepi kinyama
 
Huuuhh.! Jamani muhusika hopeful nimeingia late on thread but naona kabisa your phone&Brain vimepiga alarm ya tiii tiii na message ipo sent
 
Du! Umepatwa na masaibu gani? Pole sana.
 
Pole mkuu, atakua ashagawa Mimba huko nje jiandae kuletewa mtoto ulee
 
Kwani yumo humu jf....[emoji15] [emoji15]
 
Tayari amekuanzishia uzi hukooo.....[emoji12] Kwamba ukitaka uwe bodyguard wa mumeo...[emoji23]
Hatari sana hii.....[emoji15] [emoji15]
 
Hivi kweli sisi wanaume tukiamua kuwa wachoyo itakuaje?? Si unaona kuwa wanawake wote watakosa wanaume?? Wahurumie wenzio, dont take it too serious
Mkiwa wachoyo tunawabaka tu
 
Anayeumia ni mhusika huwez jua kosa ni la nani kwa kusikiliza utetezi wa upande mmoja pekee
Well said. Ila wanaume nao hata km huna kosa yaan kuchepuka loooh simalizii[emoji85]
 
Kwanza ningetaka kujua gender yako kama n mwanaume unaeza kua mjinga namba moja n wewe unaemfata mdada wa watu alikuita au kisabengo chako kama n mdada mjinga n wew ambae umeahndwa kumfunga kamba mumeo had anaenda nje... Nakushaur mtie kwapan uone kama kuna m2 atamchukua and hao unaosema wajinga kuna dada zako au ndugu zako n wamekubuhu kutembea na waume za watu cwatetei ila uez jua maisha wanayoptia had kutembea na wanaume za watu so just sit back and do ur things you can't control everything ktk hii dunia afu vngne viache tu.... Maisha yenyew mafup uez jua waache na wao wale kwa zamu yao as long as hawakufat kwako..... I just said
 
Hahaha wajinga sana wanarubuniwa na vijisent na vijisimu wanatoa nyabe na mwisho wa cku unaachwa unarud hap jf k ulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…