hahahhahahahha mkuuHa ha ha , unataka uwe peke yako? We Mungu auu,
Huyo Mungu mwenyewe watu wamemuundia miungu wengine....
hahhaahhhahhahahha waambie hao maana now days ndio fashionWewe mwanamke unayetembea na mume wa mtu ni mjinga sana, hivi wewe mwenzako katambulishwa wewe hujulikani zaidi ya guest acha ujinga unapotezewa muda ni sawa unasubiri basi la kwenda Zanzibar, nyie mnarudisha maendeleo nyuma wajinga sana, mnaleta migogoro katika familia wajinga sana, mnakumbatia bomu tumboni ondoka haraka katafute single mwenzako.
Jaman tupendane mwache mwnzko naye ananiiiiiiiiiiiiiii alaaaaaaah!Hahaaaaa kwanza tuliza hasira vumilia tu tafuta kadogodogo kako utulize nafsi
Kizuri kula na wenzio
Teh!mume wako umemuumba wewe? ungekuwa mke kweli asingetoka nje
Teh teh teh kwan guest walienda kufanyeje?Mwanamke kutembea na mumeo hadi guest unakasirika hivi?
Ungesikia wana uhusiano wa kimapenzi si ungeua mtu?

Kwi kwi kwiiiiiiiiiiiTeh teh teh kwan guest walienda kufanyeje?![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
U made my eveningKwi kwi kwiiiiiiiiiii
Angemuuliza mumewe badala ya kupandisha hasira
Na wewe umeibiwa mkuuu??? Jf raha sanaKesho aje mwingine awasasambue mario wanaotembea na wake za watu
Kwel wanaume ni wachache inabid tuwe tunashare, kizur kula na mwenzio*New world population statistics*
Population 7.8 billion people on planet earth.
Women *5.6 billion*
Men *2.3 billion*
So baby gal shikilia...ikibidi Muone Miss chagga..akufunde kidogo
Wanaweza kuwa wakosaji wote lkn mwanamke kakosea zaidi. Angeongea na mr wake wayamalize sio kupambana na mchepuko. Atagombana na wangapi km tabia ya mume ndo hiyo? Angeng'oa shina sio kukata matawi.Mkuu mbona umemshambulia sana huyo mwanamke , wakati wote wawili huyo mwanamke na mwanaume ni wakosaji ?
Inabidi unywe maji kwanza maana sio kwa hasira hizo lol.Wewe mwanamke unayetembea na mume wa mtu ni mjinga sana, hivi wewe mwenzako katambulishwa wewe hujulikani zaidi ya guest acha ujinga unapotezewa muda ni sawa unasubiri basi la kwenda Zanzibar, nyie mnarudisha maendeleo nyuma wajinga sana, mnaleta migogoro katika familia wajinga sana, mnakumbatia bomu tumboni ondoka haraka katafute single mwenzako.