Kutembea na mume wa mtu

Kutembea na mume wa mtu

kizuri kula na nduguzo mie umri ushankimbia huyo singo namtoa wapi mpaka nsubiri mtu afiwe leo
 
Nawewe kamchukulie baba yake ili aone machungu anayoyapata mama yake.Mimi ndukiiii huyoooo nimeshamiliza kufanya uchochezi.
 
Wanaweza kuwa wakosaji wote lkn mwanamke kakosea zaidi. Angeongea na mr wake wayamalize sio kupambana na mchepuko. Atagombana na wangapi km tabia ya mume ndo hiyo? Angeng'oa shina sio kukata matawi.
Nakubaliana na wewe ndio mana nikashangaa hakuangalia upande wa pili ambapo ndio kuna tatizo.
 
Watakao pingana na mada hii ndio wanajihushisha na waume za watu ,
 
Watakao pingana na mada hii ndio wanajihushisha na waume za watu ,
so unataka tuwe upande wa mlalamikaji, hutupati.

ila kama ulitaka watu wote wawe upande wa mlalamikaji.

Angeandika mimi nimesema hivi na sitaki mtu anichangie au angenyamaza kimya akijua analowaza ni sawa.

Hatupendagi ujinga ujue hapa tuko huru kuchangia.
 
Mhurumie mumeo atakuwa amewindwa na kutegwa na huyo bi dada! Ila mumeo nae mchimbe biti la nguvu ! Mwisho wa Siku pia unaweza mpuuza tu huyo mumeo !
 
Wewe mwanamke unayetembea na mume wa mtu ni mjinga sana, hivi wewe mwenzako katambulishwa wewe hujulikani zaidi ya guest acha ujinga unapotezewa muda ni sawa unasubiri basi la kwenda Zanzibar, nyie mnarudisha maendeleo nyuma wajinga sana, mnaleta migogoro katika familia wajinga sana, mnakumbatia bomu tumboni ondoka haraka katafute single mwenzako.
Daaaaaah unahasira kweli....
We komaaa na Mumeo.....
Labda humfikishi kunako takiwa......nk
 
kizuri kula na mwenzio ebo.....nawewe njoo utembee na mimi ufidie hasira zako......
Eeh mwaya! Kibaya mrushie paka akahangaike nacho mbele.Lakini si ungesema tu na huyo beibe?maana hivyo vya sijui kutambulishana na wewe ulianzia huko huko.jiangalie kibasi kimejaa hicho mummy!nani anataka kusimama mpaka mwanza???
 
Kutambulishwa kwako wewe ni kama chambo tu nyuma yako wako kibao so ni baba wa familia nyingi huyo ha ah aha ha
 
Wanawake ni wengi kuliko wanaume na wanataka wazoefu sio wanaojifunza,hahahahahahahhahahaha kizuri kula na mwenzako. Usimlaum mwizi wakati mwingine anayeibwa hujipeleka mwenyewe kwa mwizi tena kwakupiga magoti.
NIKWELI KABISA WANAUME NI WACHACHE SANA. WALIOBAKI NI LOSERS, MATEJA, MAJAMBAZI, WAVIZIA KULELEWA, WASIO NA MBELE WALA NYUMBA. Yaani wanaume ni wachache sana kubahatika kuwa nao wenye professionals zao, watu wa principles e. t. c
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom