Wewe labda hao watoto wa secondary ila tu mdada anaejielewa harubuniwi kwa cm wanafanya vtu vya maana tena ambavyo hata mkewe afanyiwi kabisa na ukijua utazimiaHahaha wajinga sana wanarubuniwa na vijisent na vijisimu wanatoa nyabe na mwisho wa cku unaachwa unarud hap jf k ulia
Wanawake kwani mnaakiri? Akiri zenu mnazijua wenyewe tuWewe labda hao watoto wa secondary ila tu mdada anaejielewa harubuniwi kwa cm wanafanya vtu vya maana tena ambavyo hata mkewe afanyiwi kabisa na ukijua utazimia
Asanteeeeeeeeeeeee......namuachaaaaaaWewe mwanamke unayetembea na mume wa mtu ni mjinga sana, hivi wewe mwenzako katambulishwa wewe hujulikani zaidi ya guest acha ujinga unapotezewa muda ni sawa unasubiri basi la kwenda Zanzibar, nyie mnarudisha maendeleo nyuma wajinga sana, mnaleta migogoro katika familia wajinga sana, mnakumbatia bomu tumboni ondoka haraka katafute single mwenzako.
Ongea na huyo mume anayetoka nje ya ndoa yake. Wanawake wengi wanaotoka na waume za watu hawajali hayo maadili. Ujumbe umefika lakini.Wewe mwanamke unayetembea na mume wa mtu ni mjinga sana, hivi wewe mwenzako katambulishwa wewe hujulikani zaidi ya guest acha ujinga unapotezewa muda ni sawa unasubiri basi la kwenda Zanzibar, nyie mnarudisha maendeleo nyuma wajinga sana, mnaleta migogoro katika familia wajinga sana, mnakumbatia bomu tumboni ondoka haraka katafute single mwenzako.
Aaaaahhh atakuwa ameibiwa sasa kwa nini mume wake atongozeee????ha ha wamekuibia ? pole mkuu
HA HAHA SI KAPENDAAaaaahhh atakuwa ameibiwa sasa kwa nini mume wake atongozeee????
Hahaa haichekeshi lakini nimejikuta nacheka. Pole sana mkuu...ila sio mjinga anajua anachokifuata kwa mumeoWewe mwanamke unayetembea na mume wa mtu ni mjinga sana, hivi wewe mwenzako katambulishwa wewe hujulikani zaidi ya guest acha ujinga unapotezewa muda ni sawa unasubiri basi la kwenda Zanzibar, nyie mnarudisha maendeleo nyuma wajinga sana, mnaleta migogoro katika familia wajinga sana, mnakumbatia bomu tumboni ondoka haraka katafute single mwenzako.
Hataremume wako umemuumba wewe? ungekuwa mke kweli asingetoka nje
Emmyta kizuri kula na nduguzo bwanaKula na wenzake atiii.