Kutembea na mume wa mtu

daah, yani mumemkatisha tamaa sidhani kama hamu anayo tena
 
hahhaahhhahhahahha waambie hao maana now days ndio fashion
 
Abiria chunga mzigo wako, mie nimetangaza vita nikikufuma unapotea kama wa Saanane tuu Sipendi mchezoo
 
Wa kulaumiwa walaa sio wanawake jaman unless kama kamloga kwa nguvu ila kama ni
 
Ilaa. Kam ni mumeo hatuliz kikojoleoo jjee unamlaum vip mwanamke stupid to deal na mumeo siungi mkono waale. Wanaotembea na waume za watu ila wakubadilika ni mume kwan hajijui kaama yy n mume wa mtu
 
Mwanamke kutembea na mumeo hadi guest unakasirika hivi?
Ungesikia wana uhusiano wa kimapenzi si ungeua mtu?
 
Mwanamke kutembea na mumeo hadi guest unakasirika hivi?
Ungesikia wana uhusiano wa kimapenzi si ungeua mtu?
Teh teh teh kwan guest walienda kufanyeje?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
*New world population statistics*
Population 7.8 billion people on planet earth.

Women *5.6 billion*
Men *2.3 billion*

So baby gal shikilia...ikibidi Muone Miss chagga..akufunde kidogo
Kwel wanaume ni wachache inabid tuwe tunashare, kizur kula na mwenzio
 
Mkuu mbona umemshambulia sana huyo mwanamke , wakati wote wawili huyo mwanamke na mwanaume ni wakosaji ?
Wanaweza kuwa wakosaji wote lkn mwanamke kakosea zaidi. Angeongea na mr wake wayamalize sio kupambana na mchepuko. Atagombana na wangapi km tabia ya mume ndo hiyo? Angeng'oa shina sio kukata matawi.
 
Inabidi unywe maji kwanza maana sio kwa hasira hizo lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…