Kutembea na mume wa mtu

Wanawake ni wengi kuliko wanaume na wanataka wazoefu sio wanaojifunza,hahahahahahahhahahaha kizuri kula na mwenzako. Usimlaum mwizi wakati mwingine anayeibwa hujipeleka mwenyewe kwa mwizi tena kwakupiga magoti.
 
Acha basi roho mbaya na ubinafsi,unajua fika wanawake ni wengi kuliko wanaume,unataka kumkumbatia mumeo pekeyako,sasa wenzako unataka wapone wapi?,"kweli njaa isikie tu kwa mwenzako"
 
umeandika kwa hisia hadi htari,pole sana
 
Halooooooooo SI shushu hilo shostiii, umetoa ya moyoni haswaa halooooo na badoooooo
 
Hahahaaaa! Nimecheka kama mazuri maana sio kwa hasira hizo.
Yeye mjinga na mumeo je?

Pole mwaya,muombee mumeo akitulize asihangaike.
 
Unalia nini sasa?
Biblia yenyewe inayajuwa haya:
Isaya 4 : 1
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
Aisee, kumbe tunapitwa na wengine! 7? Mhh ebu unge m guote huu mstari huyu mama
Ngoja niutumie maana ni neno LA uzima.
 
Mmh pole sana punguza jazba, sipati picha huyo mchepuko angekua karibu yako ungemfanya nini
 
tehe tehe tehe tehe aise
Pole
mshamuibia mwenzenu
 
Hahaaaaaaaaaaaaaaa! Sasa mnavyotuita wanaume suruali...
 
Wanawake acheni wivu,mko wengi sana,mnataka wenzenu wafe na kiu au
 

Si bure kuna madhara sehemu hahaha umenadika kwa hasira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…