Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,124
- 6,141
Kwa Tanzania Bara kumekuwa na ongezeko la Idadi ya shule za msingi kutoka shule 3,270 mwaka 1961 hadi shule 20,384 mwaka 2024.Shule za sekondari zimeongezeka kutoka 41 mwaka 1961 hadi kufikia shule 6,263 mwaka 2021.
Kwa mfano kila shule ikatengèwa billion 5 ili iwe katika kiwango kinachotakiwa
Jumla tunakadiria shule za msingi, sekondari, na vyuo vya ufundi jumla zitakuwa 30,000 (haya ni makadirio zinaweza zidi)
30,000×5,000000000= 150,000,000,000,000 (Shillingi trillion 150)
Hii fedha ni nyingi sana na hata budget yetu ya sasa haifikii, Mimi Dennis Robert Shughuru ninauwezo wa kutumia rasilimali za Tanzania na uwezo nilio nao kuzipata na kuboresha mazingira ya shule za Tanzania na zitakuwa na sifa zifuatazo;-

- Wanafunzi hawakai chini
- Ndani ya campus ya shule hakutakua na vumbi
- Maabara za computer, masomo ya science, zinajengwa kuanzaia shule ya msingi mpaka secondary na zitakuwa kubwa na za kisasa
- Madawati ya chuma
- Madarasa ya kisasa
- Kunakua na matundu mengi ya vyoo na vinakua visafi
- Shule zitakuwaa na uzio/ukuta