Matulanya Mputa
Senior Member
- Aug 14, 2023
- 105
- 203
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,
Mikoa ya Kusini ni mikoa ambayo inalima sana korosho, hasa mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma hasa wilaya ya Tunduru.
Lakini leo zao la korosho kwao limekuwa mwiba mchungu hasa kwa wakulima hawa,80% ya mikoa hiyo ni wakulima hasa wa korosho na ndiyo uchumi wao wanategemea.
Wananchi wa maeneo haya,malalamiko yao wengi wanalalamika kuhujumiwa na viongozi waandamizi wa serikali, miongoni mwa viongozi hao ni:
(I)VIONGOZI WASTAFU TOKA NDANI YA MKOA WA MTWARA NA LINDI.
(II)VIONGOZI WALIOPO MADARAKANI NA BAADHI YA VIONGOZI WA UPINZANI
(III)VIONGOZI WA BODI YA KOROSHO AMBAO WANAFUATA MAELEKEZO KUTOKA KWA MAKUNDI TAJWA HAPO JUU
Pia kuna kundi ambalo lina mshauri raisi Samia kuhusu zao la korosho, na kumdanganya kuhusu biashara ya zao ilo.
Kwahyo kwakua mikoa hii,haina wabunge wa kutetea zao la korosho na wameamua kuungana na madalali kuhujumu zao la korosho sasa wananchi wanawasubiri kwenye sanduku la kura japo mtatumia nguvu lakini haki itapatikana ata ikichelewa.
KAULI MBIU YA WANA KUSINI,:KATAA MADALALI WA KOROSHO KWA MASILAHI YA KUSINI.