LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 9,211
- 12,716
Lakini ndugai Ni kijana? Mbona muda wote anavunja katiba tu na Ni mzee?Vijana wametuangusha sana kipindi hicho cha Mwendazake! Pia mafunzo ya uongozi yasikome kufanyika kwa vijana wetu. Bado wanahitaji kupikwa kweli kweli. La sivyo hatutakaa tupate viongozi kutoka kwa vijana.