Kushukuru na kuaga...

Kuna watu wako adikted kiasi kwamba wakiwa bize sana wanamwomba Invizibo awapige BAN la hiari.

Waweza chukua staili hiyo, lakini si kuondoka mazima.

Ukiondoka ntalia. Na machozi ya babu ni mafuriko kwa mjukuu. Unapenda mafuriko weye?

Hee babu kwani mi nimesahau enzi za Elnino??? mi staki kabisa kusikia mafuriko....

Mjukuu anarudi taratibu jamvini.... Mjukuu ame-sarenda kwa Babu...
Bora ale ban (adhabu) kuliko kukaribisha mafuriko (machozi ya babu)
 
Hiyo Post Via Mobile bado uko kwenye ile gesti yako ya Tandale Uzuri?

Hiyo ndo adiksheni sasa, watu wanajivinjari na MMU sruu mobail foni. Betri mbili full charge ziko mfukoni incase of anything.

Babu tumempata "addicted" mwingine....
Huyu aombe ban... hali yake mbaya huyu...kama yangu...
 
hahahahahhha mnafurahisha :clap2::clap2::clap2:

lol, kunywa bia.. maji yana bacteria!!! hhhhahah

Ikunda huyo ndo babu bwana...ushauri wa babu sio ombi ati? wajukuu wote maji tumeweka pembeni....
Babu huwa anatuletea habari za "kiinteligesia" kama hizi...basi wajukuu tumampenda babu...
ILA MJUKUU MMOJA HAPA YUKO ADDICTED....
so Babu anatoa msaada...
 
Hee babu kwani mi nimesahau enzi za Elnino??? mi staki kabisa kusikia mafuriko....

Mjukuu anarudi taratibu jamvini.... Mjukuu ame-sarenda kwa Babu...
Bora ale ban (adhabu) kuliko kukaribisha mafuriko (machozi ya babu)

Sentensi tamu kama hizi zina hitaji hii:

The Following User Says Thank You to Leney For This Useful Post:

Asprin (Today)

Hebu nisomee hapo kwa kiswahili tafazali.
 
like you never said GOODBYE......!:coffee:

Like I never posted the thread...LOL
Ndo ujue mtoto nna addiction.... mara hii nimesahau kama niliaga...
But am serious though...am addicted.....
kahawa? no? I have learnt my lesson the hard way... "DONT DRINK JF KAHAWA"
 
Sentensi tamu kama hizi zina hitaji hii:

The Following User Says Thank You to Leney For This Useful Post:

Asprin (Today)

Hebu nisomee hapo kwa kiswahili tafazali.

"Mtu MUHIM sana kwenye jamvi anasema asante kwa andiko lako tam tam"
 
Like I never posted the thread...LOL
Ndo ujue mtoto nna addiction.... mara hii nimesahau kama niliaga...
But am serious though...am addicted.....
kahawa? no? I have my lesson the hard way... "DONT DRINK JF KAHAWA"

kuna wimbo mmoja wa WHITNEY HOUSTON na AKON kama sikosei unaitwa LIKE I NEVER LEFT jaribu kuusikiliza nadhani unakufaa sana
 
Aka hasemi mtu suuu...

With serious note:

Babu anatoka jamvini akamtumikie mkoloni wake kwa moyo wake wote....

Ukifanya masihara hapa utaishia kwenye keyboard, mkoloni takufukuza kazi watoto watakula posts zako kwenye MMU.

Nacheki na invizibo ani BAN mpaka saa tisa mchana.

Kwaherini kwa mpigo!
 
Ikunda huyo ndo babu bwana...ushauri wa babu sio ombi ati? wajukuu wote maji tumeweka pembeni....
Babu huwa anatuletea habari za "kiinteligesia" kama hizi...basi wajukuu tumampenda babu...
ILA MJUKUU MMOJA HAPA YUKO ADDICTED....
so Babu anatoa msaada...

babu huyu ana busara hadi kupendwa na wajukuu zake, hongera babu.
 
With serious note:

Babu anatoka jamvini akamtumikie mkoloni wake kwa moyo wake wote....

Ukifanya masihara hapa utaishia kwenye keyboard, mkoloni takufukuza kazi watoto watakula posts zako kwenye MMU.

Nacheki na invizibo ani BAN mpaka saa tisa mchana.

Kwaherini kwa mpigo!

Jamni babu mi nalia hapa....
Babu we nenda, mkoloni asipate sababu...
Mi mjukuu wako utanikuta tu babu....Like I never said Goodbye...
Asante Babu (addicted babu wangu)
 
Enyi watu wote pigeni makofi.....enyi watu wote pigeni makooofi.......
Mpigieni Bwana Mungu wetu, mshangilieni kwa vigelegele:

Kwako mjukuu wangu Leney:

Ahsante nakupatia,
Weme ulonifanyia,
Umeshindwa nigomea,
Ombi umelisikia.

Ninakuweka moyoni,
Sisahau asilani,
Hivi unajuani,
Jisikiavyo nafsini?

Kukulinda naahidi,
waweza weka shahidi,
Muda wako sina budi,
Kuutunza inabidi.

Au kwa kibongofleva:
Sasa huyo ndo leney sasa,
Vile amemsikia babu sasa,
Merudi jamvini kwa wema sasa,
nakuwa mtiifu kwa babu sasa....

Sasa vile amemtii babu sasa,
sasa vile amerudi jamvini sasa,
Sasa vile babu tamlinda sasa,
Sasa ulinzi keshapata sasa,
Babuye tatoa adiksheni vileeeee

kama haitoshi:

kamata na hii kama bakshishi na kumbukumbu yako na ya vizazi vijavyo.
The Following User Says Thank You to Leney For This Useful Post:

Asprin (Today)

Usisahau. SENKSI moja ya babu ni sawa na mia za wajukuu.

haha!wat a post,,,lol
 
Babu leo kanitungia mashairi...
amesema nitafte shahidi...na mi napendekeza wewe apo...
uhakikishe babu ananitoa kwenye addiksheni...

nakubali kuwa shaidi leney,kwa sharti moja tu la kutokuondoka
 
Lakini we wiselady hunipendi... babu alivo addicted hivo, si atanifundisha na kukesha kabisa??? (usimwambie kama nimekwambia)
 
duu!kweli JF ni kama family...hope utakuwa una-appear kwenye jf live chat

Tena mbona hii ni familia tosha kabisa chelenje??? na we pia mtoto wa familia hii...
Huko chat ndo hata staki kuthubutu... yaani hata inavofanya kazi staki kujua, maana hiyo itakuwa addiction bin addiksheni...
 
haha!wat a post,,,lol
Kagonge senksi fasta!

Lakini we wiselady hunipendi... babu alivo addicted hivo, si atanifundisha na kukesha kabisa??? (usimwambie kama nimekwambia)
Hajanambia bado, ila akija kwenye ukaguzi ataning'oneza.

Tena mbona hii ni familia tosha kabisa chelenje??? na we pia mtoto wa familia hii...
Huko chat ndo hata staki kuthubutu... yaani hata inavofanya kazi staki kujua, maana hiyo itakuwa addiction bin addiksheni...
:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom