Kushukuru na kuaga...

Kagonge senksi fasta!

Hajanambia bado, ila akija kwenye ukaguzi ataning'oneza.

:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:

Babu mkoloni kasinzia nini??? mwambie aache ku-dose mchana...
Kuhusu wiselady...wrong choice...natafuta mwingine....
 
BAN limeisha....nikiona vipi naomba tena la nusu saa.

WiseLady wrong choice? Kwanini?
 
angalia babu usiombe ban la dakika moja...wakati pewa ban, ban ikaisha hapohapo....LOL

Wiselady nikimpa siri zangu atakunog'oneza....NOT ACCEPTED! haha
 
Ahaaaa LOL...babu slow learner asee!

na kalivo kambea, kangenambia kila kitu!
 
Babu zam yangu kuomba ban....
Nimefurahi babu kuchukua mda wako adim kunirudisha kundini..
Eeeh Mungu muongezee siku za kuishi huyu babu yetu kipenzi
Ili tuendelee kula mema ya jamvi....

signing off, thanks JF , will always miss you.
 
You are welcome:

Babu anatangaza rasmi........ thread.:closed_2::closed_2::closed_2:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom